Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Mungu ni mmoja na dini ni Moja na manabii wote walifunuliwa Mungu ni mmoja na dini ni Moja

Hi ni orodha ya manabii waliotajwa ndani ya Quran kuwa walifunuliwa Mungu ni mmoja na dini ya kweli ni Moja ( Uislam)

1)Adam
2)Idris
3)Nuh
4)Saleh
5)Shuayb
6)Hud
7)Ibrahim
8)Lut
9)Ismail
10)Is-haq
11)Yaqub
12)Yusuph
13)Yunus
14)Mussa
15)Harun
16)Ayyub
17)Daud
18)Sulayman
19)Ilyas
20)Alyasa
21)Dhul-kifl
22)Zakaria
23)Yahya
24)Issa
25)Muhammad
1) Adam
2) Henoko
3) Nuhu
4) Melkizedeki
5)Shuayb
6) HUD
7) Ibrahim
8)Lutu
9)Ismail
10)Isaka
11) Yakobo
12)Yusufu
13)Yona
14)Musa
15)Haruni
16)Ayubu
17)Daudi
18) Mfalme Suleimani
19)Nabii Eliya
20)Nabii Elisha
21)Nabii Ezekieli
22)Kuhani Zakaria baba wa Yohana Mbatizaji
23) Yohana Mbatizaji
24)Yesu mwana wa Mariamu
25)Mtume Muhammad
 
Yaani nashangaa Sana watu. Mnaambiwa Mungu yupo kila sehemu, afu mnaambiwa Imani zenu sio za kweli. Kama Mungu yupo kila sehemu mbona kila sehemu Ina dini na utamaduni tofauti. Kwa Nini tuchukue dini ya wayahudi, waarabu au wapalestina na kuifanya ya ukweli dunia nzima. Hivi huwezi jiuliza hio dini unayoiamini imepitia vingapi kufika kwako. Watu wameuliwa, wametawaliwa na wengine kuonewa ili tu Imani za watu kadhaa zienee dunia nzima. Just because billions of people wanaamini kitu doesn't mean Ni Cha ukweli. We mtu anakuambia nimetokewa na Mungu pangoni na anakupa sheria zake na wewe unakubali. Mwisho wa siku kila mtu anakuja na zake na ana sheria zake na dini zinakuwa maelfu. Na watu walivyokuwa waoga na wajinga wanakubali kisa wameambiwa Kuna mbinguni na motoni. Hamna mtu kaenda huko, na kwa sababu wanajua kifo ndo mwisho ndo maana wanakuambia utamwona ukifa, mwishowe utapoteza maisha yako kumfaidisha mtu au taasisi na ukifa huendi popote na hutajua chochote lakini maisha yako umekuwa mtumwa kwa vitu vya uwongo na vya kufikirika. Tafuteni ukweli kuhusu dini zenu, historia zenu na maana zake. Mwisho wa siku wote Ni binadamu. Bora tupambane dunia iendelee kuwa na maisha Bora kuliko kukazana kuishi Kama wafuga mbuzi na kondoo miaka 3000 iliyopita. Kipindi ambacho watu walijua magonjwa Ni mapepo, kipindi ambacho wanawake walikuwa kazi Yao Ni kuzaa tu na kipindi ambacho kuuwana ilikuwa kitu Cha kawaida. In short humanity is growing up, it's time to leave out childish things.
 
View attachment 2604030
Soma hiki kitabu.. utaelewa Ukuu wa Mungu.
Gifted hands kitabu ni kizuri kinaelezea.. Bingwa wa Upasuaji ... Ben Carson jinsi anapoanza shule.. kuonekana KilazA darasani.. baba yake anavyokimbia FamiliA.. kuwatosA.. Mama anavyomsisitizA Ben kusoma kwa bidii.. Ben ana hofu ya MUNGU.. hatimaye anakua Daktari bingwa wa Upasuaji Ubongo/ Mifumo ya fahamu.. Marekani..
1. Wanawake wanabeba majukumu makubwa katika kuleta nafanikio ya Watoto wao wakati Wanaume TunakimbiA majukumu.. mfano Diamond.. Tupac.
 
Safi umeanza kupevuka kiakili niseme sio watu wengi hujiuliza kwa undani hivi. Mimi nami katika kujibu maswali ya watu huwajibu kulingana na level yao.

Usitetereke kiimani hata mimi naamini uwepo wa Mungu. Lakini yakupasa kujua kuwa Mungu tunayesoma habari zake vitabuni (Biblia, Quran) sio yule Mungu halisi kwani ameelezewa kulingana na jinsi mtu flani alivyoona, ndio kusema ni vigumu kumwelezea Mungu kwa utimilifu wake kwani kuna tatizo kubwa la kumwelewa Mungu (epistemological problem).

Ni kweli yeye ni mkamilifu na mweza wa vyote ameumba vyote na kuvipa uhuru ikiwa ni pamoja na shetani. Shetani au mwanadamu akitumia uhuru wake kufanya ubaya Mungu hawezi kulaumiwa.

Ubaya au uovu ni jinsi unavyoona wewe tu niseme in absolute terms hakuna kitu kama hicho! Kwani simba akila swala ni uovu? Je simba akila mtu ni uovu! Au mtu akila swala ni uovu? Mtu akila ndizi ni uovu? Na je mtu akila mtu ni uovu?

Ni “hatari “ kutaka kumjua sana Mungu na unatakiwa uwe na uelewa flani wa mambo la sivyo utaishia kuwa hovyo. Nitaachia hapo kwani kujua kunaambatana na majukumu makubwa.
Ayubu 22:21
[21]Mjue sana Mungu, ili uwe na amani;
Ndivyo mema yatakavyokujia.
Acquaint now thyself with him, and be at peace: thereby good shall come unto thee.

MBONA inasema hivyo
 
Safi umeanza kupevuka kiakili niseme sio watu wengi hujiuliza kwa undani hivi. Mimi nami katika kujibu maswali ya watu huwajibu kulingana na level yao.

Usitetereke kiimani hata mimi naamini uwepo wa Mungu. Lakini yakupasa kujua kuwa Mungu tunayesoma habari zake vitabuni (Biblia, Quran) sio yule Mungu halisi kwani ameelezewa kulingana na jinsi mtu flani alivyoona, ndio kusema ni vigumu kumwelezea Mungu kwa utimilifu wake kwani kuna tatizo kubwa la kumwelewa Mungu (epistemological problem).

Ni kweli yeye ni mkamilifu na mweza wa vyote ameumba vyote na kuvipa uhuru ikiwa ni pamoja na shetani. Shetani au mwanadamu akitumia uhuru wake kufanya ubaya Mungu hawezi kulaumiwa.

Ubaya au uovu ni jinsi unavyoona wewe tu niseme in absolute terms hakuna kitu kama hicho! Kwani simba akila swala ni uovu? Je simba akila mtu ni uovu! Au mtu akila swala ni uovu? Mtu akila ndizi ni uovu? Na je mtu akila mtu ni uovu?

Ni “hatari “ kutaka kumjua sana Mungu na unatakiwa uwe na uelewa flani wa mambo la sivyo utaishia kuwa hovyo. Nitaachia hapo kwani kujua kunaambatana na majukumu makubwa.
Nimependa ur concept. Morality isn't absolute.
 
Yaani nashangaa Sana watu. Mnaambiwa Mungu yupo kila sehemu, afu mnaambiwa Imani zenu sio za kweli. Kama Mungu yupo kila sehemu mbona kila sehemu Ina dini na utamaduni tofauti. Kwa Nini tuchukue dini ya wayahudi, waarabu au wapalestina na kuifanya ya ukweli dunia nzima. Hivi huwezi jiuliza hio dini unayoiamini imepitia vingapi kufika kwako. Watu wameuliwa, wametawaliwa na wengine kuonewa ili tu Imani za watu kadhaa zienee dunia nzima. Just because billions of people wanaamini kitu doesn't mean Ni Cha ukweli. We mtu anakuambia nimetokewa na Mungu pangoni na anakupa sheria zake na wewe unakubali. Mwisho wa siku kila mtu anakuja na zake na ana sheria zake na dini zinakuwa maelfu. Na watu walivyokuwa waoga na wajinga wanakubali kisa wameambiwa Kuna mbinguni na motoni. Hamna mtu kaenda huko, na kwa sababu wanajua kifo ndo mwisho ndo maana wanakuambia utamwona ukifa, mwishowe utapoteza maisha yako kumfaidisha mtu au taasisi na ukifa huendi popote na hutajua chochote lakini maisha yako umekuwa mtumwa kwa vitu vya uwongo na vya kufikirika. Tafuteni ukweli kuhusu dini zenu, historia zenu na maana zake. Mwisho wa siku wote Ni binadamu. Bora tupambane dunia iendelee kuwa na maisha Bora kuliko kukazana kuishi Kama wafuga mbuzi na kondoo miaka 3000 iliyopita. Kipindi ambacho watu walijua magonjwa Ni mapepo, kipindi ambacho wanawake walikuwa kazi Yao Ni kuzaa tu na kipindi ambacho kuuwana ilikuwa kitu Cha kawaida. In short humanity is growing up, it's time to leave out childish things.
Shida yako unadhani zamani watu walikua completely backward, kitu ambacho sio kweli

Zile Pyramids pale Misri zimejengwa zamani lakini mpaka leo hii na Teknolojia iliyopo bado haijajulikana Teknolojia gani ilitumika kujenga zile Pyramids.

Lakini, pia Wanawake zamani hawakua tu kazi yao kuzaa.... Jaribu kusoma zaidi utaona zamani kulikua na Wanawake Wanasayansi, Wafanyabiashara, Wanasiasa n.k

Inaonekana unatafuta vitu negative tu.... Teknolojia tuliyo nayo leo ni matunda ya tafiti zilizofanywa na watu wa zamani, watu walianzisha idea na projects ambazo mpaka leo zinaishi... Hata mifumo ya elimu na Siasa tunayotumia leo ni idea za watu hao unaosema eti ni wa zamani.

Zamani magenius walikua wengi compared na zama zetu hizi za TikTok.

#wape heshima Yao.
 
Kuhusu magenius wengi..huna hizi statistics so huwezi prove hilo. Kingine huwezi fananisha maisha ya mwanamke wa dunia ya saa hivi na zama za kale, walikuwa viumbe duni ndo maana dini zote zinasema wawe dhaifu kwa wanaume kwa sababu ndo utamaduni ulivyokuwa kipindi kile. Sawa Kuna technology za hapa na pale lakini hazijaletwa na dini. Pyramids hazizajengwa na dini, wagiriki waliogundua vitu vingi walikuwa hawaamini mingu ndo maana waliweza kuwaza vitu na kufikiri. Dini Inampa binadamu majibu na inamwambia asiulize maswali. Wakati Sayansi unauliza maswali na unatafuta majibu yaliyosahihi na yanayopimika kila Mara.
 
Hujajibu swali langu Mkuu,. Mimi nimeuliza hivi[emoji3593]
Mtu pamoja na designed systems zote zilizopo kwenye mwili wake kwa ufahamu wako, zina Designer au hazina?
Designer anaweza kuwa ni Mtu (Binadamu) huyo huyo mwenyewe wa mwanzo Kuishi ulimwenguni.

Alijiunda na kujiwekea systems na mifumo yake mwenyewe mwilini mwake.

Huwezi kuamini na kusema kwamba kuna Muumbaji usiyemjua na wala Hajulikani anaitwa "Mungu" kwamba aliumba mtu(Binadamu) halafu useme huyo Muumbaji alijiumba mwenyewe na yeye sio Binadamu.

Kama kuna Muumbaji alijiumba mwenyewe basi huyo Muumbaji ni Binadamu aliumba wanadamu...
 
Kwenye dini ya kweli Mwanamke ana thamani ya juu sana tokea zamani mpaka leo..,(labda, kuvaa nusu uchi ndiyo kitu ambacho Mwanamke wa zama hizi anaweza kumzidi Mwanamke wa zamani) Mwanamke wa zamani alikua daktari, Kiongozi wa Nchi, mfanyabiashara, Lecturer n.k Usidanganywe na propaganda Civilization haijaanza leo zamani pia watu walikua civilized sana tu.

Dini ya kweli, Haisemi eti Mwanamke awe mdhaifu kwa Mwanaume... Bali Mwanamke anapaswa kuwa support kwa Mwanaume kitu ambacho wala sio kibaya(usiamini propaganda za feminists)

Lakini pia Dini ya kweli, inahamasisha kutumia akili na kuuliza maswali ya msingi.
 
I love this. Best thing ever.
 
Bado hujajibu swali bado, nimeuliza hivi ⤵️

Mtu pamoja na designed systems zote zilizopo kwenye mwili wake kwa ufahamu wako, zina Designer au hazina?

Zingatia kwenye bold hapo wakati unajibu swali... i.e zina Designer au hazina?
 
Dini ya kweli Ni ipi. Afu ndo nianze kukanusha claims zako kuhusu hio dini ya kweli unazoipa.
 
I love this. Best thing ever.
FtYxb4vXsAIvV5N.jpeg
 
Bado hujajibu swali bado, nimeuliza hivi [emoji3593]

Mtu pamoja na designed systems zote zilizopo kwenye mwili wake kwa ufahamu wako, zina Designer au hazina?

Zingatia kwenye bold hapo wakati unajibu swali... i.e zina Designer au hazina?
Designer ndio mtu mwenyewe.

Naona unalazimisha kwamba designer awe Mungu ambaye humjui na Hayupo.
 
Dini ya kweli Ni ipi. Afu ndo nianze kukanusha claims zako kuhusu hio dini ya kweli unazoipa.
Dini ya kweli ni Dini ya Mungu Mmoja, Aliyeumba Ulimwengu na Viumbe wote kwenye design inayovutia kabisa.
Ambae ameumba kila kitu kisha akakiongoza.
Na ambae amejaalia Kutokana na maji kila kitu kuwa Hai.

So, ukiona dini Yenye Mungu mwenye sifa hizo ujue ni Dini ya kweli.
 
Designer ndio mtu mwenyewe.

Naona unalazimisha kwamba designer awe Mungu ambaye humjui na Hayupo.
Sijasema Designer awe Mungu, hapo umenisingizia.....
Mimi nimeuliza hivi, Mtu pamoja na designed Systems zote zilizopo kwenye mwili wake, Je zina Designer au hazina?

Unaposema Designer ni mtu mwenyewe, na wakati huo wewe ni miongoni mwa watu na nikikuuliza uli design vipi hujui,... Hiyo inaonyesha moja kwa moja kwamba wewe Sio Designer wa Systems zilizopo kwenye mwili wa Mtu.

Sasa kama wewe mwenyewe sio designer wa mwili wako utasemaje kuna
Muumbaji (Kitu) usicho kifahamu kili ku design wewe?

Na ukiite hicho kitu(Muumbaji) sio Binadamu, Je ulithibitisha kweli huyo designer sio binadamu?

Mpaka una mwita huyo designer sio binadamu ina maana ulishawahi kumuona huyo Muumbaji uka mthibitisha kweli sio binadamu?

Labda niseme designer wako wewe ni wanadamu ambao ni wazazi wako baba na mama yako, Na wao wana designers wao ambao ni Bibi na Babu yako.
 
Dini ya kweli ni Dini ya Mungu Mmoja, Aliyeumba Ulimwengu na Viumbe wote kwenye design inayovutia kabisa.
Ambae ameumba kila kitu kisha akakiongoza.
Na ambae amejaalia Kutokana na maji kila kitu kuwa Hai.

So, ukiona dini Yenye Mungu mwenye sifa hizo ujue ni Dini ya kweli.
Basi hamna hii dini. Kwa sababu sio kitu kilichoumbwa kinavutia. Cancer haivutii magonjwa hayavutii mavi hayavutii mauaji hayavutii matetemeko hayavuti. Ina maanisha huyu designer ametengeneza vitu vizuri na vibaya. Sasa Kuna tofauti gani ya vitu kutengenezewa na designer mwenye uwezo na akili na kutokutengenezwa na huyo designer. Kwa sababu dunia ungebaki vilevile na vitu vizuri na vibaya, vinavyovutia na visivyovutia.
 
Back
Top Bottom