Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Na Designer/Designers wa Bibi&Babu wa mwanzo huko ni nani mpaka kufikia leo kwa Baba na Mama yako?

Au hakuna Designer yoyote?
 
Na Designer/Designers wa Bibi&Babu wa mwanzo huko ni nani mpaka kufikia leo kwa Baba na Mama yako?

Au hakuna Designer yoyote?
Hatujui..Ila wewe ndo unalazimisha jibu liwe Mungu. Hapo unakuwa unaleta maswali ya huyo designer wa Mungu Ni nani? Na Kama alikuwepo tu, kwa Nini na ulimwengu usiweze kuwepo tu.
 
Bado hujajibu swali bado, nimeuliza hivi ⤵️

Mtu pamoja na designed systems zote zilizopo kwenye mwili wake kwa ufahamu wako, zina Designer au hazina?

Zingatia kwenye bold hapo wakati unajibu swali... i.e zina Designer au hazina?
Binadamu System design... uliziA watu wa Anatomy.... MUHAS + SUA watakupA maajabu ya Mungu
 
Yes, Ni maamuzi ya Designer kutengeneza vitu vizuri na vibaya.

Basi kama hujawahi kuvutiwa hata mara moja na jinsi Ulimwengu ulivyo, Viumbe walivyo(Na Systems zinazounda miili Yao), bahari zilivyo, milima ilivyo,Anga pamoja na galaxies &planets n.k basi Niseme tu tuishie hapa. UMESHINDA!
 
Attachments

  • ns4Gx7bKOR_UHZkC.mp4
    695 KB
Hatujui..Ila wewe ndo unalazimisha jibu liwe Mungu. Hapo unakuwa unaleta maswali ya huyo designer wa Mungu Ni nani? Na Kama alikuwepo tu, kwa Nini na ulimwengu usiweze kuwepo tu.
Mkuu, Mimi Sijasema jibu ni Mungu,...

Nimeuliza tu Mtu na designed systems zote zilizopo kwenye mwili wake, zina Designer au hazina.

Hakuna sehemu nimesema jibu ni Mungu.! 🚫
 
We unaangalia the positive side of things, Kuna vitu vingi kwenye nature ambavyo havivutii...mbona huviongelei
 
Mkuu, Mimi Sijasema jibu ni Mungu,...

Nimeuliza tu Mtu na designed systems zote zilizopo kwenye mwili wake, zina Designer au hazina.

Hakuna sehemu nimesema jibu ni Mungu.! 🚫
Basi kuwe na designer au designers, anaweza akawepo Ila asijihusishe Tena na uumbaji wake kwa sababu kashaweka natural laws zinazofunction bila kuingiliwa. Au asiwepo kabisa baada ya huo uumbaji. Na pia kwa ukubwa wa ulimwengu kwa Nini achague watu ambao Ni Kama punje ya mchanga baharini alafu ndo ategemee tumsifu na kufuata sheria zake. We ukienda kwa sisimizi ukawaambia wakuabudu watakusikiliza. Na hapo kumbuka wanakuona. Sasa jichukulie we ni sisimizi na sisimizi wenzako wanakuambia utoe sadaka na uende hekaluni la sivyo mtu aliyetengeneza hii nyumba atakuja kutuua wote ambao hatujamwamini. We utawasikiliza hao sisimizi wenzako.
 
Na Designer/Designers wa Bibi&Babu wa mwanzo huko ni nani mpaka kufikia leo kwa Baba na Mama yako?

Au hakuna Designer yoyote?
Mkuu nimesha kujibu designer wa binadamu ni Binadamu mwenyewe.

Walizaliana toka mwanzo hadi leo...
 
Let's agree to disagree..... Baki na Imani yako kwamba Ulimwengu & vyote vilivyomo havina Designer na Mimi nibaki na Imani yangu kwamba Ulimwengu & vyote vilivyomo Ina Designer.
 
Basi sawa, tukubaliane na uongo huu uliojibu. [emoji1755]
Una ui ita uongo kwa vile sivyo ulivyo taka usikie.

Unataka usikie designer ni Mungu ndipo uone kweli. Usikie designer usiyemjua...
 
Una ui ita uongo kwa vile sivyo ulivyo taka usikie.

Unataka usikie designer ni Mungu ndipo uone kweli. Usikie designer usiyemjua...
Hapana wala haipo hivyo, nimesema ni uongo kwasababu hata wewe unajua hilo sio jibu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…