hateeb10
JF-Expert Member
- Dec 8, 2022
- 2,920
- 1,223
Na Designer/Designers wa Bibi&Babu wa mwanzo huko ni nani mpaka kufikia leo kwa Baba na Mama yako?Sasa kama wewe mwenyewe sio designer wa mwili wako utasemaje kuna
Muumbaji (Kitu) usicho kifahamu kili ku design wewe?
Na ukiite hicho kitu(Muumbaji) sio Binadamu, Je ulithibitisha kweli huyo designer sio binadamu?
Mpaka una mwita huyo designer sio binadamu ina maana ulishawahi kumuona huyo Muumbaji uka mthibitisha kweli sio binadamu?
Labda niseme designer wako wewe ni wanadamu ambao ni wazazi wako baba na mama yako, Na wao wana designers wao ambao ni Bibi na Babu yako.
Au hakuna Designer yoyote?