Searching for the truth
JF-Expert Member
- Mar 22, 2022
- 903
- 1,851
- Thread starter
- #541
Nimekwambiaje NASA hawawezi kusema ni gharama ili halu pesa ni white house inatoa siyo wao.NASA ni shirika la serikali, nalitambua hilo. Na nawafuatilia kwa ukaribu sana. Hivi unajua kua NASA haihusiki na mambo ya space pekee...? Kwa kias kikubwa imefocus ktk aeronautics na sio kwenda mwezini...
Ila anyway, tamko la recent kutoka NASA hawaja confirm kua watapeleka binadamu mwezini. Sababu kubwa ni gharama. Inagharimu pesa nyingi kupeleka watu mwezini wakat unaweza kupeleka vifaa tu na vikafanya kazi kubwa kuliko binadamu anavoweza kufanya, ni low cost na safer. Kwa ufupi hakuna umuhimu wa kupeleka binadamu mwezini!
White house ndiyo ikisema bajeti haitoshi ni haitoshi.
Nimekwambia hapa kuwa Marekani wameanza kufanya mpnago kumrudisha binadamu mwezini since 2018 chini Rais TRUMP.
Na trump alikadiria kuwa 2022 tayari NASA watakuwa washapeleka watu mwezini lakini bado walisogeza mbele kwa sababu vifaa (rocket na mavazi) bado hayajakamilika.
But wamesema saivi wanatazamia kwenda 2024 na tayari timu ya kwenda majina yao yashatajwa na mzabuni aliyeingia ubia na NASA ni kampuni ya Elon Mask (space X) ndiyo inayo tengezea rocket itakayowabeba wanasayansi hao ambayo inaitwa Artems -1 na sasahivi tayari inafanyiwa majaribio ili ikae sawa kwa ajili ya safari hiyo ya mwakani.
Sasa wewe unabisha endelea kushikilia data zako sijui za mwaka gani