Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Mfano sio sahihi huu ndugu. Mtoto mdogo hafundishiki hivo kumtolea bomu ni sahihi. Ila teenager anaefundishika ukimpa options kukubali au kukataa ni uamuzi wake na hakuna unachoweza kufanya labda nd wale wazazi anampeleka mtoto jeshini. Lakini pia ukija kweny uhalisia kuna mchangiaji alitoa jibu zuri sana kuwa wewe unaweza ukawa na vision kuwa unaenda kazini unamgonga mtoto mdogo so ukajipa option kuwa basi siendi kazini ili niepushe hiyo ajali na ukawa sahihi kwa wakati huo. Ila vipi ukajua possiblity zote kama Mungu anavojua kuwa labda huyo mtoto ambae ungemgonga atakuja kuua wazazi wako baadae na watanzania wenzio wengi tu. Je usingeendelea na maamuzi ya kwenda kazini. Watu wa hollywood nawakubali hata utengenezaji wao wa movie wanasoma knowledge nyingi sana ila hupendelea knowledge ilioko kweny bible maan ni fikirishi sana. Kwa mfano kwenye movie ya avengers infinity war ni kwamba doctor strange alikuwa na uwezo wa kuamisha fight ya thanos kwenda universe nyingine badala ya duniani. Ila katika vision yake aliona katika vita zisizo na idadi dhidi ya adui humanity imeshinda mara moja na kwa conditions fulani so alichokifanya akaruhusu humanity iwe defeated pale wakanda sababu kuna conditions hazijawa met bado kusave time ili atengeneze nafasi ya ushindi time inayokuja(endgame) kwa kuwa itakuwa salama zaidi.
 
Karibu uone tofauti Quran haina migongano hata kidogo na Quran imeruhusu kuhoji yaliyomo kwa kadri yako
Mpaka mseme kwanza chupi aliiba nani
 

Attachments

  • Screenshot_20230501-031504_Chrome.jpg
    221.5 KB · Views: 5
Wewe unajua cheo cha ufarao kilikuwa ni cha aina gani? Farao alikuwa kama Mungu kwa wa misri sio mfalme bali ni Mungu wao na alikuwa na mauchawi ya kutisha na ndo maan kwenye yale mapyramid kuna mali nyingi pia ambazo mummies walikuwa wanazikwa nazo sababu walikuwa wakijiona Miungu.
 
Unataka kusema hii sio quran hapa mkuu
 

Attachments

  • Screenshot_20230501-031504_Chrome.jpg
    221.5 KB · Views: 5
Acha uzushi wape watu uhuru kama watakuta uzushi wako kwenye Quran
Em tuambie mkuu kumueka mtoto wa miaka 6 ambae hata hajavunja ungo kwenye maudhuhi ya kingono ni sahihi au sio sahihi?
 
Tena walikuwa wanazikwa na baadhi ya watu wakiwa haii (mfano ma-house girl wao)
 
Sawa mkuu
 
Sure mkuu ile story ina ukakasi sana details nyingi haziko clear ngoj tuone kama itatokea hyo 2024 hawa jmaa wanadanganya ulimwengu kwa malengo mabaya sana watu hawajui tu.
Acheni wivu jamani... fuatilia historia ya cold war fuatilia historia ya space race ndo utaelewa. Wakati huku tunabwajabwaja, urusi na marekani walikuwa wanashindana kianga, kufikisha mtu angani na baadae mwezini. Wamarekani wameenda mwezini Mara Saba na mwishoni 1980s wakaacha coz haina faida Tena it's an expensive project. Sasa we ukitaka kulazimisha waende wape hela waende. Wazungu hawaishi kuaiminisha watu maskini na wasio na elimu. Unakaa mtandaoni unabisha watu hawakuenda mwezini lakini unakubali mtu alifufuka baada ya siku tatu na unajiona mtu mwenye akili. Wenzetu wametuzidi Hilo mnabidi mkubali instead of kukaa kukataa maendeleo ya watu. Hadi mwanamke kashaenda mwezini..kafuatilie historia ya space race usipende kusema kitu bila kuwa na facts
 
Fatilia history ya Egypt utaona kabisa hawakujenga watumwa Ila waajiriwa na walikuwa wanalipwa vizuri .ukifuatilua pyramids pembeni kulikuwa na vi mji vidogo ndo makazi Yao hao wajenzi. Wayahudi hawajawahi kuwa watumwa Misri hio story haina ukweli wa kihistoria
 
Sina Cha kujibu ..kwa huu mfano.
 
Kwanza unajua maana ya atheists? Kabla wazungu hawajaja afrika hatukua atheists. Na nchi kama Lebanon, Pakistan na India mapigano mengi yanasababishwa na dini, hasa uislamu.

Japan ni nchi yenye amani zaidi, hio ni fact. Japan unaweza kulala nyumba mlango wazi. Ila cheki nchi zenye hitakadi za kidini. Mwanamke akitoka tu nje kavaa kinamna flani anabakwa.
 
Nasa wametunga majibu ila hata wamarekani wenyewe hawabuy story za mwezini kuna msanii amewahi ondoka studio kutokana na hilo swali.
Conspiracy theorists. Unafkir watu wasio na akili wapo bongo tu pekee? Same people wanaopinga kutua mwezini ndio same wanaosema chanjo zina microchip na kila anaepata hizo chanjo anakua controlled na super computer iko somewhere na ndo same people wanaosema Pyramids zilijengwa na aliens... [emoji706]
 
Ndio nilichokisema. Japo wengine wanadai ni watumwa walijenga... ila yenye mashiko zaidi wanasema ni watu walipewa tenda kabisa... kama unavoona watu wanapewa tenda leo hii kujenga maghorofa..
Hao watu wanao dai kua ni anunaki sjui aliens hao ni wajinga tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…