Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Hio ya nagasaki na hiroshima ni vita waliokua nayo dhidi ya marekani. Na kati ya Japan na Iran au Afghanistan ipi imepigana vita zaidi? Na zipi ni nchi za kidini? Kuhusu mambo ya matsunami ni kwasababu ya geographical location ya japan ilipo. Iko prone to earthquakes. Na kwa sasa wameadopt kwa kujenga miundombinu imara zaidi... na uko likely kufa (kwa kuuliwa ofcourse) ukiwa atheist Pakistan kuliko kufa Japan kutokana na natural disasters
 
Arguments zako zime base kwenye uongo kuliko facts.
Ukiambiwa utuletee Muislam hata mmoja anaeabudu Mwezi, utaweza?!


Kama unataka kujadili usiingize uongo,... Kujadili kuhusu uzushi binafsi naona kama ni kupoteza muda tu mkuu.
Hio ni tease tu ya Surah 41:37...

Hayo mengine mbn unaruka...
 

Mungu alipoumba mwanadamu au malaika aliweka utashi na uhuru wa kuchagua, jiulize kuhusu tunda la kujua mema na mabaya kwa nini aliliumba maana uwezo wa kutoliumba alikuwa nao na angeweza kufanya hivyo kama angeliamua.

Lakini liliwekwa kama kipimo cha utii ambayo ndo ibada anayotaka kwetu. Kutii amri zake. Ndo maana aliweka na kupima utii wa wanadamu juu ya amri ya kutokula tunda

Likewise kwa shetani, Mungu anauwezo wa kumwangamiza au angemwangamiza kabisa lakini amemuacha na kumwachia baadhi ya nguvu ili mimi na wewe tuwe na option ya either kutii maagizo yake au kufauata njia za shetani.

Kifupi shetani na matendo yake ndo tunda tuliloagizwa tusile katika mazingira yetu ya sasa

Na ndo maana vitu ambavyo ni dhambi vinavutia sana kwa macho just like Eva alivyovutiwa na tunda.
 
I'm not a scientist. Buh things Zina mwisho. Nyota hulipuka, vitu hugongana ulimwenguni. But mwisho wa Binadamu sio mwisho wa ulimwengu. Shida dini inamfanya binadamu katikati ya ulimwengu na kumpa umuhimu mkubwa wakati sisi ni kama bacteria ukilinganisha na ulimwengu mzima. So my answer to that. Vitu vinaweza kuwa na mwisho Ila sio ndo vitoweke kabisa but kuwa in another form.
 
Is it possible for a human being to be in another form in the future ? Or just for non-living thiings only
 
1. Kuhusu gharika ya Nuhu kwa watu walioasi ni kweli Qur'an inasema gharika ilitokea, lakini hakuna sehemu inasema ilitokea Dunia nzima.
"And We saved him from the people who denied Our signs. Indeed, they were a people of evil, so We drowned them, all together." (Quran 7:64)
2. Kuhusu mwezi ku_split katikati ni kweli Qur'an inasema mwezi ulipasuka na hili tukio hata Wanasayansi mbalimbali wame prove, ukitaka nenda YouTube video zipo:-
Al-Qamar 54:1
"The Hour has come near, and the moon has split [in two].[1]"

3. Kuhusu jua Qur'an haisemi kwamba Eti Jua linazama kwenye matope, bali Qur'an inasema hivi kuhusu Jua:-πŸ‘‡πŸ½
Qur'an 21:33 {"And it is He who created the night and the day and the sun and the moon; all [of them] swim along in an orbit."}

Hiyo Aya ya Surah Kahf uliyosema haihusiani na kuzama kwa jua bali yenyewe inazungumzia jinsi Dhul-Qarnayn alivyoona kadri ya upeo wa macho yake Al-Kahf 18:86 {Until, when he reached the setting of the sun [i.e., the west], he found it [as if] setting in a body of dark water,[1] and he found near it a people. We [i.e., Allāh] said, "O Dhul-Qarnayn, either you punish [them] or else adopt among them [a way of] goodness."}

Mkuu Nadhani nimejaribu kujibu madai yako dhidi ya Qur'an, ukiwa na doubts siku hizi elimu imerahisishwa unaipata kijanjani tu,..... Soma Qur'an mwenyewe apps zipo nyingi, Ingia kwenye online sources YouTube, ChatGPT ukiwa free thinker naamini utaelimika fresh tu.
 
Wanasanyansi hawaja prove kusplit kwa mwezi...
 
Nnavyo jua mimi iwe kisayansi au kiimani ya kikristo ambayo msingi wake ni biblia, enzi ya hapo zamani binadamu hawakuwa wamesambaa dunia nzima, it's like walikuwa ni wachache sana.


Mfano wa Kibiblia : Kipindi wanadamu wanajenga Mnara katika mji wa Babeli (Iraq ya leo) alafu Mungu alivoshuka na kuuangusha huo mnara na akavuruga lugha yao na kuwatawanya duniani kote, Biblia inaendelea kusema kuwa hapo ndipo mwanzo wa lugha nyingi kuzaliwa duniani na wanadamu kutawanywa sehemu zingine za dunia.

So, kwa mujibu wa Bible huo ni ushahidi tosha kuwa kipindi wanadamu walikuwa wamekusanyika hapo Babeli na kuujenga huo mji, walikuwa hawajatapakaa sehemu zingine za dunia bado mpaka Mungu alivyoamua kuwatawanya kwa kuangusha mnara wao na kuvuruga lugha yao ili wasielewane wasiwe na umoja tena.

Mfano mwingine hapa ni kuwa, kwa mujibu
wa wanathiolojia kipindi cha gharika ya NUHU dunia ilikuwa na watu almost laki sita tu, na baada ya gharika walibaki watu 8 tu alafu badae dunia ikaja kujazwa kwa hao watu 8.

So, kama mpaka kipindi cha gharika dunia ilikuwa na watu laki 6, sidhani kama watu hawa walikuwa wametapakaa dunia nzima, nadhani walikuwa katika eneo flani tu wakiishi kama jamii flani yenye utamaduni mmoja.

Na ushahidi wa hilo wanasema, kabla ya gharika NUHU alihubiri kuhusu hiyo gharika kwa miaka 40 kabla ya gharika akiwaonya wanadamu kuhusu Mungu atakavyoleta gharika iwapo hawatatubu, so unataka kunambia NUHU alizunguka dunia nzima kuwahubiria watu kuhusu hiyo gharika ? Hapo nadhani wanadamu walikuwa wako eneo flani tu la dunia, hasa MESOPOTAMIA (Iraq,Syria na uturuki ya leo).

Mfano wa kisayansi na kihistoria: Tafti zinaonesha Archeology zinaonesha kuwa ULAYA imeanza kukaliwa na watu miaka kama laki na nusu tu iliyopita, alafu Latin America ndiyo ilikuwa bara la mwisho duniani kukaliwa na watu (means chini ya miaka laki moja labda iliyopita), na muda huo huo inaonesha Africa ilishaanza kukaliwa na watu miaka zaidi ya milioni 3 iliyopita.

Ushahidi huu wa kuwa africa imeanza kukaliwa na watu kale zaidi upo Ethiopia,Sudan,Tanzania (olduvai Gorge) na South Africa, Zimbabwe pia.

So,.hizi ni ishara tosha kuwa hapo kale binadamu walikuwa hajatapakaa dunia nzima, na kama ni hivo sidhani kama GHARIKA YA kipindi cha NUHU iliifunika dunia nzima kwa maji.
 
Yap, upo sahihi Mkuu zama za Nuhu watu walikua hawajatapakaa dunia nzima...
Hao wanaopinga kuhusu gharika,, wao wanadai kwamba gharika haikufunika Dunia nzima ..... Ndiyo maana nikamjibu Kentsuhcy Wrudate kwamba Qur'an haisemi gharika ilienea Dunia nzima bali ilifunika Jamii nzima ya watu wa Nuhu.


Kimsingi upo sahihi πŸ’―βœŠπŸΌ
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…