SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Si ukweli lakini ..ndo maana Mungu wao anapenda harufu ya nyama chomaEti "Kabila la wafuga mbuzi na kondoo" 🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si ukweli lakini ..ndo maana Mungu wao anapenda harufu ya nyama chomaEti "Kabila la wafuga mbuzi na kondoo" 🤣🤣
Kitu kimoja ambacho nimejifunza kupitia hii maada ni kwamba : Kuna ulimwengu wa aina mbili ndani ya mmoja (yaani two in one).Issue sio kuona...mbona vitu vingi vya Sayansi sijawahi viona..lakini tafiti hazidanganyi. Ndo maana moja jumlisha moja ni mbili dunia nzima. Ila Kuna dini 45753378 na miungu 57863478 duniani. Ndo maana nasema Sayansi haidanganyi, Sayansi Ina make sense na Sayansi haimtishii mtu vitu vya kufikirika ili icontrol maisha yako. Ndo maana wenzetu wanaenda mwezini sisi tunajazana makanisani. Ndo maana wenzetu wanatengeneza Chanjo sisi tunaombea wagonjwa. Ndo maana wenzetu wanatengeneza magari sisi tunawachangia wachungaji. Ukielewa tofauti ya dini na Sayansi na effect zake zote mbili. Utajua we need science to socially and economically develop
Duuh...aisee mkuu uko na NONDO (reference)Story ya Yesu
Mathayo anataja vizazi 26 Kati ya Yesu na Daudi, Luka hutaja vizazi 41. Mathayo anaanza kwa mtoto wa Daudi Solomon, wakati Luka anaanza kwa mtoto wa Daudi Nathan. Mathayo anasema Babu yake Yesu anaitwa Yakobo wakati Luka anasema babu yake Yesu Ni Heli. Cha kushangaza zaidi wamefuatilia vizazi vya Yosefu wakati Hana uhusiano na Yesu Kama kweli kazaliwa kwa bikira Mariam.
Mathayo 2:13-15 inasema Yesu alipelekwa Misri baada ya kuzaliwa. Luka 2:22-40 inasema walibaki Bethlehem, wakaenda Jerusalem na kurudi Nazareth, bila kutaja kwenda Misri.
Kifo Cha Yuda kinasemwa na Mathayo 27:5 kuwa alijinyonga Ila Matendo ya Mitume 1:18 inasema alianguka shambani na akafa.
Yohana 19:17 inatuambia alibeba msalaba wake, Marko 15:21-23 inasema Simoni alimbebea msalaba.
Kila kitabu Cha injili kinasema maneno ya Yesu ya mwisho tofauti Kila injili inachanganya tukio la kufufuka kwa Yesu. Marko 16:2 inasema ilikuwa asubuhi, Yohana 20:1 inasema ilikuwa usiku.
Mathayo 28:2 inasema alionekana malaika mmoja, Yohana 20:11-12 inasema malaika wawili. Marko 16:5 inasema mwanaume mmoja Luka 24:4 inasema wanaume wawili.
Hitimisho: Story ya Yesu inasemekana imeibiwa kutoka dini za kihindi, kipersia, kimisri, kigiriki na kirumi. Miungu yao mingi ilizaliwa December 25, ilizaliwa kutoka kwa Bikira, ilifanya miujiza, ilikufa na kufufuka.
Ina maanisha story ya Yesu sio original na iliundwa na watu tofauti tofauti ndo maana hata vitabu vya dini kuhusu yeye vinajichanganya kuhusu maisha yake yalivyokuwa. Kama ukristo mzima unategemea story hii na Ina makosa kihivi, je Biblia litakuwa neno halisi kutoka kwa Mungu au utunzi wa Binadamu?
Spiritual world ndo ipi bana ..hamna hii kitu .kitu ambacho hakiwezekani kuonekana, kunuswa, kusikiwa, kuguswa au kuonjwa...kina tofauti gani na kitu ambacho hakipo. Hizi Ni propaganda tu. Ndo Kama Mimi niseme Nina dragon nyumbani kwangu asiyeonekana. Huwezi kubisha coz utajuaje hayupo ..ndo Mambo spiritual haya..kutishiana tu amani...look the world is very beautiful without this bullshit. Kama unabisha uliza nchi zilizoendelea wakuambia. Hawana mida ya kuondoana mapepo sijui waganga. Wanapata tatizo wanafanya kazi wanasolve..ndo maana wanaendelea.Kitu kimoja ambacho nimejifunza kupitia hii maada ni kwamba : Kuna ulimwengu wa aina mbili ndani ya mmoja (yaani two in one).
Kuna spiritual world hapa hapa ndani ya dunia na kuna physical world ambayo hii kila mtu anaiona.
Hizo ulimwengu mbili inaonekana zote zinaamini katika destiny tofauti 😅😅😅
Lakini mkuu tuende mbele turudi nyuma.Spiritual world ndo ipi bana ..hamna hii kitu .kitu ambacho hakiwezekani kuonekana, kunuswa, kusikiwa, kuguswa au kuonjwa...kina tofauti gani na kitu ambacho hakipo. Hizi Ni propaganda tu. Ndo Kama Mimi niseme Nina dragon nyumbani kwangu asiyeonekana. Huwezi kubisha coz utajuaje hayupo ..ndo Mambo spiritual haya..kutishiana tu amani...look the world is very beautiful without this bullshit. Kama unabisha uliza nchi zilizoendelea wakuambia. Hawana mida ya kuondoana mapepo sijui waganga. Wanapata tatizo wanafanya kazi wanasolve..ndo maana wanaendelea.
Coz kila utamaduni umetengeneza njia zake za kuabudu na kujibu maswali ambayo wanashindwa kujibu. Ila with time Sayansi na technology imekuwa to the point that nchi nyingi zilizoendelea hazibishani kuhusu Mungu wa kweli ni yupi coz wanajua wote ni zao la fikra za binadamu wa kale waliokosa maarifa juu ya ulimwengu unavyofanya kazi ndo maana zote Zina makosa ya kihistoria, kimaadili na kisayansi hapa na pale. So wameamua kufocus na vitu tulivyonavo Sasa na kujitahidi kuboresha maisha ya binadamuNa mimi naomba kuuliza ni kundi lipi linaabudu Mungu wa kweli kati ya wakristo na waslamu ama pia wachina,wahindu etc kwani kwa namna jinsi hizi dini zilivyo,historia zake,ibada zake na misingi yake haziabudu mungu mmoja kwa lugha rahisi Allah na Mungu wa wakristo ni wawili tofauti?!!
Kwanini iwe hivi?!!
Kwanini uamini Solar System ni kigezo cha uwepo wa Mungu mkuu?!!By the way dini inaweza isiwe suala la kubwa kwangu.
Lakini ni kwamba, nikisoma nadharia zingine hasa sayansi ya AUSTRONOMY inanifanya mimi kwa mawazo yangu mwenyewe ni conclude tu kusema Mungu yupo.
Mfano : katika sayansi ya anga za juu (Austronomy) ni kwamba kila kitu kilichoko angani kinazunguka (every object in the universe is moving or is in motion).
Ni kama na maana kwamba Dunia inazunguka,Mwezi unazunguka,Sayari zote zinazunguka,Jua linazunguka,Galaxy (mkusanyiko wa nyota) zinazunguka,Black holes zina zunguka n.k
Yaani kifupi ni kwamba hakuna kitu hata kimoja ambacho kimo hewani kimesimama wima tu hakizunguki,every object is in motion.
Lakini sasa kinachonishangaza, kwenye hii tasnia ni kwamba "ulimwengu unazunguka kwa kufata kanuni maalum".
Yaani unavyoviona angani vyote vinazunguka kwa kufata system/formula ama mfumo maalum na ndiyo maana huoni vikigongana hovyo wakati ukiangalia ni kama viko shaghala paghala (bila mpangailio).
Isingekuwa hivi vitu viko kwenye mfumo maalum basi dunia yetu hii ingeshagogwa na vitu vingine vikubwa sana angani na ingeshasambaratika muda tu.
Coz kwenye anga kuna vitu vikubwa sana ambavyo ukifananisha na Dunia, Dunia itaonekana kama kipande cha kokoto tu.
Hivyo basi, universe kuwa katika mpangalio maalum na kufata kanuni , ndiyo kunanifanya nipate wazo kuwa "Lazima kutakuwa na fundi aliyedizaini hivi vitu na kuviongoza (kama remote controller).
Trust me huu ulimwengu usingekuwa na fundi maalum wa kuungoza basi vitu angani vingekuwa vinagongana kila dakika hata dunia sasahivi isingekuwepo ingeshafanywa kifusi mda.
Sasa huyo fundi ndiye nimekuja kudhani kwamba ndiyo atakuwa huyo Mungu anaesemwa kwenye vitabu vya dini.
Lakini sasa nimeenda na kwenye vitabu vya dini, sifa anazopewa nikilinganisha na matukio ya baadhi ya vitu humo humo kwenye vitabu vya dini, naona kabisa vinakosa ushirikiano/haviendani.
Nimeamua nikupe mfano mmoja tu wa AUSTRONOMY, ila ukitaka mwingine pia nitakupa
Huyo Mungu mwenyewe huwezi kuthibitisha yupo.Haya sio majibu ya Logic, hakuna logic bila reasoning na endapo uta reason tu mambo ya Imani utagundua kuwa huwezi kutoa majibu ya maana
Ni kwenye issue moja tu ndio binadamu wote waga wanafanana Akili haijarishi wana level gani ya Elimu, wametokea wapi,wamekulia wapi ni kwenye issue za DINI
Uongee na ambae hajasoma kabisa formal education,awe ameishia st 7,awe ni form four,awe ni Advance awe ni chuo kikuu wote awe professor wote wanakuwa katika level moja ya uelewa
Uwezo wa Ku reason unakuwa sawa kwa sababu muda huo kinachowaendesha ni hisia za uoga na Tamaa ya ku satisfy Desire walizonazo katika Maisha
Kwa lugha nyepesi vile Mungu anatuona Sisi ni kama vile tuwaonavyo watoto wadogo ambao bado hawana utambuzi, mtoto ambae popote alipo kuna 80% akafanya kitu ambacho hatakiwi kufanya
Kwa maana hiyo Mungu alijua fika kuwa Adamu atakula tunda alilowakataza, ila akaacha tu wale kwakuwa aliwaambia wasile, Alafu ili iweje?
Yani mfano una mtoto mdogo sehemu anayocheza kuna Bomu la kuzikwa Ardhini, wewe kama mzazi unapaswa kumwambia usicheze hapo kuna mabomu yalizikwa yanaweza kukulipukia au unapswa kuondoa Bomu kabisa hapo ili uhakikishe mtoto anakuwa sehemu salama?
Ukiamucha aendelee kucheza sehemu ya hatari na Bomu likamlipukia, ukaja kuulizwa ilikuaje ukamuacha hapo utajibu kuwa nilimpa options either aendelee kucheza hapo au aondoke ila yeye akaamua kuendelea kucheza hapo, hilo ni jibu la Logic au utaonekana Akili haziko sawa?
Nimelitolea mfano tu ila viko vingi.Kwanini uamini Solar System ni kigezo cha uwepo wa Mungu mkuu?!!
Kwmba hakuna namna nyngne Mungu anaweza kujidhihirisha kiwa yupo?!
What if mimi nikisema iyo nguvu ni shetani sababu nae shetani km anavyotajwa kiwa ndp chanzo cha maovu anaonekana yuko na uwezo mkubwa pia na kashindikana
Na pia labda umesema sababu hufatilii ila kuna objects zina igonga dunia na jua kila siku huko,ko km Mungu ndo anasimamia utaalamu wa solar system bas basi hakuuwekea ukamilifu wa asilimia 100By the way dini inaweza isiwe suala la kubwa kwangu.
Lakini ni kwamba, nikisoma nadharia zingine hasa sayansi ya AUSTRONOMY inanifanya mimi kwa mawazo yangu mwenyewe ni conclude tu kusema Mungu yupo.
Mfano : katika sayansi ya anga za juu (Austronomy) ni kwamba kila kitu kilichoko angani kinazunguka (every object in the universe is moving or is in motion).
Ni kama na maana kwamba Dunia inazunguka,Mwezi unazunguka,Sayari zote zinazunguka,Jua linazunguka,Galaxy (mkusanyiko wa nyota) zinazunguka,Black holes zina zunguka n.k
Yaani kifupi ni kwamba hakuna kitu hata kimoja ambacho kimo hewani kimesimama wima tu hakizunguki,every object is in motion.
Lakini sasa kinachonishangaza, kwenye hii tasnia ni kwamba "ulimwengu unazunguka kwa kufata kanuni maalum".
Yaani unavyoviona angani vyote vinazunguka kwa kufata system/formula ama mfumo maalum na ndiyo maana huoni vikigongana hovyo wakati ukiangalia ni kama viko shaghala paghala (bila mpangailio).
Isingekuwa hivi vitu viko kwenye mfumo maalum basi dunia yetu hii ingeshagogwa na vitu vingine vikubwa sana angani na ingeshasambaratika muda tu.
Coz kwenye anga kuna vitu vikubwa sana ambavyo ukifananisha na Dunia, Dunia itaonekana kama kipande cha kokoto tu.
Hivyo basi, universe kuwa katika mpangalio maalum na kufata kanuni , ndiyo kunanifanya nipate wazo kuwa "Lazima kutakuwa na fundi aliyedizaini hivi vitu na kuviongoza (kama remote controller).
Trust me huu ulimwengu usingekuwa na fundi maalum wa kuungoza basi vitu angani vingekuwa vinagongana kila dakika hata dunia sasahivi isingekuwepo ingeshafanywa kifusi mda.
Sasa huyo fundi ndiye nimekuja kudhani kwamba ndiyo atakuwa huyo Mungu anaesemwa kwenye vitabu vya dini.
Lakini sasa nimeenda na kwenye vitabu vya dini, sifa anazopewa nikilinganisha na matukio ya baadhi ya vitu humo humo kwenye vitabu vya dini, naona kabisa vinakosa ushirikiano/haviendani.
Nimeamua nikupe mfano mmoja tu wa AUSTRONOMY, ila ukitaka mwingine pia nitakupa
Hii umeiweka vizuri sana,ila ninaomba ufafanuzi hapo uliposema hapo uliposema Majini waliumbwa katika ardhi hii...Hivi ulishawahi kusoma kitabu cha mwisho kutoka kwa MUNGU kuja kwa walimwengu kinachoitwa QURAN?
Maswali yako yote yamejibiwa humo.
Ngoja nikueleweshe kidogo tu.
Kila unachokiona katika ulimwengu huu asili yake inatoka kwa Mwenyezi Mungu /MUNGU.
Mungu ameumba viumbe na vitu vingi sana katika ulimwengu huu ,vipo ambavyo tunavijua na vipo vingine tusivyovijua.
Katika viumbe vyenye utashi/akili...vimeumbwa vya aina tatu.
Mosi, ni viumbe vinavyoitwa MALAIKA, hawa ni viumbe walioumbwa wakiwa na utashi na asili yao ni Nuru .Malaika hawana jinsia,sio wanaume na wala sio wanawake kiufupi ni kuwa hawana jinsia kama tulivyo mimi na wewe. Hawana matamanio, hawali wala hawanywi.
Pia wao wameumbwa kwa ajili ya kutii tu amri za Mungu hivyo hawana uwezo wa kuasi hata kidogo.
PILI, ni viumbe wanaoitwa MAJINI, hawa ni viumbe walioumbwa kabla ya ujio wa mwanadamu katika ardhi hii,asili yao ni Moto. Hawa wanashabihiana sana na wanadamu katika sifa, ..wana jinsia, wana matamanio, wanakula, wanakunywa, wana akili, wanazaana n.k kubwa zaidi ni kuwa wana utashi na uwezo wa kuchagua (free will) jema na baya. Wamepewa uhuru wa kumtii au kumuasi Mungu. Kiufupi ni watenda madhambi na vile vile ni watenda wema. Lengo kubwa la kuumbwa viumbe hawa si lingine bali ni kumuabudu MUNGU pekee.
Tatu, ni viumbe viitwavyo BINADAMU (MTU) , asili yake ni udongo, wana jinsia ,wanazaana,wanakula,wanakunywa,wana utashi na vile vile wamepewa uhuru wa kutenda mema na mabaya.Kama ilivyo kwa majini, lengo kubwa la kuumbwa mwanadamu ni kuja kumuabudu Mungu katika ardhi hii.
😅😅😅Ifike kipindi muelewe maarifa mengine yamewazidi akili?
Huyo jamaa mifano yake ya kitoto sana kwani hakuna mifano ya michezo yenye washindani mmoja mfano tennisKwanza nikuweke sawa kuwa, mimi simfikirii Mungu kuwa sawa na binadamu.
Nimesema kuwa Mungu ana uwezo mwingi,akili nyingi,maarifa.mengi,ukamilifu mwingi ila kati vyote hivyo anavyo katika hali ya wingi na siyo katika hali ya ukamilifu wote (100%) ama ya kutokuwa na kikomo
Nasema hayo sija- Qoute kokote ila nimesema ni kutokana na jinsi anavyojipambanua yeye ndani ya vitabu vyake vitakatifu (rejea mifano miwili ya maswali niliyatolea mfano kwenye uzi).
Mungu angelikuwa na sifa zote hizo za ukamilifu basi hizo kasoro zilizojitokeza (zikapelekea dhambi) zingeweza kuepukika iwapo uumbaji huo angeufanya katika ukamilifu.
Zingatia kwamba, sijaribu kumkosoa/kumsahihisha Mungu katika uumbaji wake bali nataka tu kujua kwanini itokee hivo wakati yeye ana ukamilifu wote na uwezo wake hauna kikomo ?
Labda mnambie kama hizo kasoro aliziumba kwa maksudi kwa sababu anazozijua mwenyewe hapo nitawaelewa ila mkiendelea kunambia aliumba katika ukamilifu wote, hapo nitaendelea kuwauliza maswali yasiyoisha.
Mfano wako wa mpira kuwa na wachezaji 22 na kushindana kuingiza goli kwa miguuu.
Huu mfano kumbuka ni wa kanuni (sheria za kibinadamu ambazo tumeziweka wenyewe) na mara kwa mara hufanyiwa marekebisho kulingana za uhitaji.
Mfano sasahivi wanafikiria kupunguza dakika za kucheza ziwe 40 kwa kila kipindi badala ya 45.
Kwa hiyo hizi ni kanuni ambazo tumweziweka na tunazibadilisha muda wowote tutakaotaka
Hapa umeunganisha logical non sequitur na argument from incredulity. Both are logical fallacies.By the way dini inaweza isiwe suala la kubwa kwangu.
Lakini ni kwamba, nikisoma nadharia zingine hasa sayansi ya AUSTRONOMY inanifanya mimi kwa mawazo yangu mwenyewe ni conclude tu kusema Mungu yupo.
Mfano : katika sayansi ya anga za juu (Austronomy) ni kwamba kila kitu kilichoko angani kinazunguka (every object in the universe is moving or is in motion).
Ni kama na maana kwamba Dunia inazunguka,Mwezi unazunguka,Sayari zote zinazunguka,Jua linazunguka,Galaxy (mkusanyiko wa nyota) zinazunguka,Black holes zina zunguka n.k
Yaani kifupi ni kwamba hakuna kitu hata kimoja ambacho kimo hewani kimesimama wima tu hakizunguki,every object is in motion.
Lakini sasa kinachonishangaza, kwenye hii tasnia ni kwamba "ulimwengu unazunguka kwa kufata kanuni maalum".
Yaani unavyoviona angani vyote vinazunguka kwa kufata system/formula ama mfumo maalum na ndiyo maana huoni vikigongana hovyo wakati ukiangalia ni kama viko shaghala paghala (bila mpangailio).
Isingekuwa hivi vitu viko kwenye mfumo maalum basi dunia yetu hii ingeshagogwa na vitu vingine vikubwa sana angani na ingeshasambaratika muda tu.
Coz kwenye anga kuna vitu vikubwa sana ambavyo ukifananisha na Dunia, Dunia itaonekana kama kipande cha kokoto tu.
Hivyo basi, universe kuwa katika mpangalio maalum na kufata kanuni , ndiyo kunanifanya nipate wazo kuwa "Lazima kutakuwa na fundi aliyedizaini hivi vitu na kuviongoza (kama remote controller).
Trust me huu ulimwengu usingekuwa na fundi maalum wa kuungoza basi vitu angani vingekuwa vinagongana kila dakika hata dunia sasahivi isingekuwepo ingeshafanywa kifusi mda.
Sasa huyo fundi ndiye nimekuja kudhani kwamba ndiyo atakuwa huyo Mungu anaesemwa kwenye vitabu vya dini.
Lakini sasa nimeenda na kwenye vitabu vya dini, sifa anazopewa nikilinganisha na matukio ya baadhi ya vitu humo humo kwenye vitabu vya dini, naona kabisa vinakosa ushirikiano/haviendani.
Nimeamua nikupe mfano mmoja tu wa AUSTRONOMY, ila ukitaka mwingine pia nitakupa
Hata mimi sijasema zinazungushwa na Mungu bali nimesema zinakuwa controled na DESIGNER huyo designer mimi jina simjui ila yupo katika dhana tuHapa umeunganisha logical non sequitur na argument from incredulity. Both are logical fallacies.
Yani unaona jambo ambalo hulielewi linafanyaje kazi, una conclude lazima itakuwa ni kazi ya Mungu.
Kama huelewi sayari na nyota zinazungukaje, hilo linamaanisha huelewi sayari na nyota zinazungukaje.
Hilo halimaanishi zinazungushwa na Mungu.
Skia nikwambieSimba
Lakini mkuu tuende mbele turudi nyuma.
Hata hapo kale sana kabla hata Yesu hajazaliwa, kipindi ambacho ulimwengu ulitawaliwa na ustaraabu wa kigiriki.
Kulikuwa na wasomi wa kigiriki ambao ulimwengu bado unawaheshimu mpaka leo.
Mfano kina Socrates,kina Aristotle na kina pilato.
Hawa jamaa kuna wapo walioamini kwenye MATERIALISM (kama hii yako) na kuna wapo walioamini kwenye IDEALISM (kama kina hateeb10 ).
Walioamini kwenye IDEALISM walikuwa wanasema THE SOURCE OF ALL KNOWLEDGE IS FROM GOD (hapa ndipo dini imejikita zaidi nadhani)
Na wale walioamini kwenye MATERIALISM walisema KITU CHOCHOTE AMBACHO HUWEZI KUKIONA,KUKIGUSA,KUKIHISI,KUKIONJA BASI HICHO KITU HAKIPO NA HAKIJAWAHI KUWEPO.
Swali langu kwako, ina maana hao wasomi wakigiriki wa kale ambao waliamini kwenye IDEALISM hizo stori nako kuna mahali walizitoa ? Maana ni kale sana kabla hata ya hivi vitabu vya dini kuwepo wala yesu hajaja duniani bado
Bro finally humu mtu anaelewa logical fallacies. Coz religions ndo zinatumia Sana hizi..kitu hukielewi Mungu kafanya ukija kuelewa kazi ya Mungu inapungua mpaka mwishowe inaisha. Ndo Mambo ya god of the Gaps...haya watu hawaoni kwamba gaps zimepungua na watu wanazidi kujua why vitu vipo jinsi vilivyoHapa umeunganisha logical non sequitur na argument from incredulity. Both are logical fallacies.
Yani unaona jambo ambalo hulielewi linafanyaje kazi, una conclude lazima itakuwa ni kazi ya Mungu.
Kama huelewi sayari na nyota zinazungukaje, hilo linamaanisha huelewi sayari na nyota zinazungukaje.
Hilo halimaanishi zinazungushwa na Mungu.
Kama huelewi, jifunze uelewe. Usiweke jibu la mkato kwamba hii ni kazi ya Mungu.