Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Hata mimi sijasema zinazungushwa na Mungu bali nimesema zinakuwa controled na DESIGNER huyo designer mimi jina simjui
Same thing. Umebadili kutoa Mungu kuweka designer tu.
Hii ni anthropic bias tu, una assume kwamba simple systems cannot evolve and increase complexity and give the appearance of design to you, where there is no design.
Hiyo idea kwamba kila kilicho complex kina designer itakupa ulimwengu ambao designer atahitaji designer wake, na designer wake atahitaji designer wake, ad infinitum, ad nauseam.