Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Mbona unakamia ushoga na transgender. Hivi vitu havipunguzi maendeleo in fact it's coz of freedom ndo nchi Kama marekani na western zinaendelea. Ukitoa nchi zilizoendelea coz of kumiliki mafuta most Islamic countries r poor and less socially developed coz of problems za Vita, ubaguzi na unanyanyasaji wa minorities. Sasa we unasema ushoga ushoga mwenzako anatengeneza chanjo anatengeneza magari we unakaa unakazania ushoga na ndo anakupa misaada unakula.
 
Hahhh, sawa.... Kwahiyo tumekubaliana Evolution Theory ni Imani?
Gravity ni theory pia. Theory explains how something works sio kwamba ni Imani, jaribu kuelewa. It's not abt believing ndo maana Dawkins kasema hawezi debate na creationists coz hawana facts. We know now that they were dinosaurs na pia prehuman species coz of scientific evidence through Archaeology and carbon dating. We unajua by now kwamba the earth wasn't made in 6 days coz of geological records za scientists. Science works. Hamna sehemu ambayo dini na science zimeshindana afu dini ikashinda.
 
Basi Osama alikuwa Muhindu. Yaishe sheikh
 
Hiyo sio freedom bali ni upumbavu...., Sasa Waislam wakienda kwenye hizo Nchi wakizaliana kwa kasi msilalamike, maana homosexuals hawawezi kuzaliana so inapunguza population ya wazawa wa hizo Nchi.
 
Hapa hatuzungumzii Theory of gravity... Tunazungumzia Evolution Theory ambayo ime base kwenye Imani zaidi.

Ukiambiwa ulete hizo geological records za Scientists ambazo zinaonyesha kwamba Dunia haikuumbwa kwa siku 6,.. utaweza?!
 
Hiyo sio freedom bali ni upumbavu...., Sasa Waislam wakienda kwenye hizo Nchi wakizaliana kwa kasi msilalamike, maana homosexuals hawawezi kuzaliana so inapunguza population ya wazawa wa hizo Nchi.
Saudi na marekani ipi Ina watu wengi. Unakamia homosexuals wakati ni wachache kuliko hata vilema. They make 5% of the population. Na huko western countries hamna Sheria za kuoa watoto wa miaka 6 au wake wanne ndo maana huoni population inakuwa kuwa kijinga jinga. Toa hoja sio hisia zako za kihekaya
 
Hapa hatuzungumzii Theory of gravity... Tunazungumzia Evolution Theory ambayo ime base kwenye Imani zaidi.

Ukiambiwa ulete hizo geological records za Scientists ambazo zinaonyesha kwamba Dunia haikuumbwa kwa siku 6,.. utaweza?!
Jua, mwezi na nyota zimeumbwa baada ya dunia na vegetation. Hii story inaonyesha kabisa watu hawakujua hivi vitu ni Nini. Watu hawakujua dunia inazunguka jua, watu hawakujua Jua na nyota ni kubwa kuliko dunia. Na hawakujua mimea inahitaji photosynthesis kukua. Saa hivi tunajua hivyo so hatuwezi kuamini story Yenu Tena. Afu Kuna contradictions juu ya mda aliotumia, binadamu kuja kabla au baada ya wanyama, mwanamke kuumbwa siku sawa au tofauti na mwanaume na vinginevyo. Pia story imeibiwa kutoka dini za Persia, ugiriki na hata Hindu. So inaonekana sio original hata kwa dini za ki Abraham. In short ni tamaduni za kale na ndo maana wachungaji wa siku hizi wanakimbilia kusema ni mafumbo sijui ...hahaha yaani story za mwanzo ni Kama za mtoto kulala yaani...mtu mzima hawezi amini bila kuhadithiwa Akiwa mtoto na kulazimishwa kuamini au ataenda motoni. Kama mwanangu wewe wa kujua uislamu baada ya kubalehe ukajiona unajielewa kichizi kumbe hata maisha huyajui.
 
Hapa hatuzungumzii Theory of gravity... Tunazungumzia Evolution Theory ambayo ime base kwenye Imani zaidi.

Ukiambiwa ulete hizo geological records za Scientists ambazo zinaonyesha kwamba Dunia haikuumbwa kwa siku 6,.. utaweza?!
Afu the burden of proof ipo kwa mtoa hoja sio mpinga hoja. Me Nikisema nikilala malaika wa Jupiter wanakuja kuninyonya afu ukaniuliza nikupe ushahidi nikasema we unaushahidi gani Kama hawaji, mi nitaonekana mjinga. Just coz u can't disprove something doesn't make it true. Haya we unaushahidi Kama malaika hao hawaji, huna. So inamaanisha wanakuja ama No, same applies to the creation story ambayo waislamu wameiba afu mnamuita Adam muislam. Mngeanzisha dini yenu bila kuiba uyahudi, yaani mnaiba dini ya watu afu mnawachukia na kutaka kuwauwa wayahudi. Au ndo kuficha ushahidi. Ila waarabu bana
 
Tatizo umesoma biblia tu, huja angalia kwa upande wa Uislam. Mext time angalia na upande wa uislam unasemaje hata kama huuamini uislam bali soma tu Quran utapata japo kdg.

Majibu.
1.kwa mujib wa uislam poit yako ya kwanza ni kwamba Uyo Lucifer, hakuwa malaika, malaika kamwe hawa asi Muumba wao, wameumbwa wanamtii tu, mwanzo mwisho hawa asi kamwe.
Huyo alikua ni katika majin aliepandishw huko juu kipimd majin wana angamizw dunian kwa kufanya ufisadi, rejea ktk Quran sura ya pili, Mungu alivotaka kumuumba binadam malaika walimuuliza kwann unataka kuumba binadam nao wataend kumwaga damu na kufanya ufisadi ktk ardhi(wakimanisha kama mjin waliokuwepo kabla). Kwaio iblisi alikua kiumbe jini, kwaio yeye kuasi sio kitu cha kushangaa.

2. Uumbwaji wa Hawa.
Katik Uislam imeandikw lengo la kuumbwa binadamu ni kumuabudu Allah, hilo ndio lengo lake.
Baada ya wawili hawa Kuumbwa waliweka peponi.
Kwa mujib wa uislm pepon hamn kufany ibada ni sehem ya kufurah na kuinjoy tu.
Kwaio ilikua ni lazima washushwe duniani ili waje wabudu na watakaomuabud nd wawekw huko pepon ilo wafurahi na kula bata.
Kwaio Hawa Kuufanya alichofanya ilikua lazim itokee ili tuletw duniani.

Yote utayakuta ktk quran kama ungekua unaisoma nayo bas nahis ungekwisha pata majib zaman hata usingeuliza. Jitahid uipitie pitie nayo. Utpata mawili matatu.

N.B: binadamu tumeumbwa sio wakamilifu kwaio kukosea kama alivokosea hawa ni maumbile yetu, Nd Mungu ametuumba hivo. Same kwa majin wameumbw wamuabud Mungu kwaio nao wapo wanaomtii Mungu na wanaomkufuru na kiongoz wao nd huyo Lucifer.
 
Sorry wewe ni mkristo au muislamu?
 
Ishu ni kwamba kuna vitu Mimi, wewe, Wanasayansi na kadhalika hatuna elimu navyo,....... Na kitu Kingine ukweli wa jinsi ya Uumbaji ulivyokua ni lazima tuupate kwa Muumbaji mwenyewe na sio kutoka kwa Mwanasayansi ambae ni kama wewe tu tumezaliwa Dunia na kila kitu tumevikuta(How can you expect that Mtu amekuta Ulimwengu tayari una Operates maelfu kwa maelfu ya miaka eti aelezee facts 100% kuhusu existence ya Ulimwengu?)

Ngoja nikupe mfano huenda ukaelewa:- Let's say Bing bang imetokea kutoka kwenye Singularity kama Sayansi inavyosema, Then tumepata Galaxies na Sayari zote kwa ujumla...
1. Je, Sayansi inaweza kuelezea baada ya hapo viumbe wengine wote walitokea wapi?(au ndiyo kusema tume evolve kutoka kwa Ancestor mmoja?)
2. Je, Sayansi inaweza kuelezea baada ya hapo aina zote za mimea zilitokea wapi?


UKIANGALIA KILA KITU KIMEKAA KWENYE MPANGILIO, JE VITU VILIJIPANGA VYENYEWE?!,...
KUANZIA ULIMWENGU NA GRAVITY FORCE, YANI MPAKA MWILI WAKO NA ORGAN ZOTE MOYO,FIGO,UBONGO,UTUMBO MNENE, UTUMBO MWEMBAMBA, KORODANI, MPANGILIO WA MFUMO WA MENO(The human teeth system is designed to work together to efficiently break down food into smaller pieces, making it easier for the digestive system to extract nutrients from it) MPAKA NYUSI NA KOPE ZIPO KWENYE MPANGILIO.


Maelezo ya Uumbaji 100% tutapata kutoka kwa Muumbaji mwenyewe,sisi na Wanasayansi tutakua tunatoa suggestions tu!


Surah Al-Anbiya, verse 30:
"Have those who disbelieved not considered that the heavens and the earth were a joined entity, and We separated them and made from water every living thing? Then will they not believe?" (Quran 21:30)


Ukitizama hiyo Aya hapo juu ambayo imekua revealed zaidi ya miaka 1400 iliyopita, inaeleza kwamba earth & heavens zilikua zimeungana kabla ya kulipuliwa na kutenganishwa(ambapo unaweza uka relate na concept ya Bing Bang.)

kwa uelewa wako wewe, Ingekua Wanasayansi hawajasema kuhusu Bing Bang Theory basi ungesema Qur'an hapo kwenye hiyo Aya imedanganya mno Kwasababu kwa akili ya kawaida ukiambiwa mbingu na ardhi zilikua zimeungana utabisha!


NB:- "A designer is not only the creator, but also the knower of It's design, possessing a deep understanding of every detail and intention behind it."
 
Yap, wewe ndiyo umetoa hoja yako kwamba Kuna Geological records zinaonyesha kwamba Dunia haikuumbwa kwa siku 6.

Hivyo burden of proof ni yako,... Inabidi utuletee uthibitisho wa hizo Geological records zinazoonyesha Dunia haikuumbwa kwa siku 6!
 
Mimi sikamii mtu, labda kwa sababu Truth huwa inaongea sauti ya nguvu ndiyo maana unahisi nakamia.

Hivyo vitu havijawahi kuwa sawa, labda unionyeshe Beberu Shoga... Otherwise Utakua ni Mental issue &Evil


Shida nyingine Wana force na kushawishi mpaka watoto wabadili jinsia zao kama Sio ushetani ni Nini?

Surah An-Nisa (4:119)
Indeed, I will mislead them, and I will arouse in them [sinful] desires, and I will command them so they will [ultimately] slit the ears of cattle, and I will command them so they will change the creation of Allah."


Hiyo verse hapo juu inaonyesha kabisa mzee Baba Iblees yupo behind the scenes kwenye Woke agenda!!
 
Mungu anakwambia mimi ndie bwana Mungu wako usiabudu miungu mingne,anawivu sana unaambiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bac so far hatuna maneno ya huyo muumbaji. So tutulie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…