Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Yap, wewe ndiyo umetoa hoja yako kwamba Kuna Geological records zinaonyesha kwamba Dunia haikuumbwa kwa siku 6.

Hivyo burden of proof ni yako,... Inabidi utuletee uthibitisho wa hizo Geological records zinazoonyesha Dunia haikuumbwa kwa siku 6!
Proof ni kwamba majani yanahitaji jua kukua so telling me majani yalikuwepo kabla ya jua ni uwongo.
 
Kuna cheetahs sheep ambao Ni shoga mpaka chimpanzees...unabisha ingia Google search. Afu that's a stupid logic so unataka tuishi Kama wanyama...tuibiane, tuuwane, tubakane au sio...toa point ya msingi ya wanyama imebuma
 
Ww Sudan hujui hata ndege haziruhusiwi kupita kwasababu hio? Au unakaza fuvu tu...

Hizo nchi gays walikuepo tokea miaka ile. Ile yea, woke culture imeharibu zaid pia. Nchi kama Lebanon na Pakistan zimekua worse baada ya utawala wa usilamu.
 
Sio imani sasa acha ubishi ww... ndiomaana inakua studied.
Evolution sio imani, ikifika point fulan unaweza ukasema kua "...it's believed that..." ila kwa vitu recent kuna ushahidi kabsa na unaweza kua tested.

Mfano wa Evolutions zenye uhakika ni kama nyoka. Tunajua kabsa ancestor wa nyoka alikua na miguu, pia tuna twiga. Tunajua kua ancestor wa twiga alikua na shingo fupi. Nyangumi na dolphins tunajua kua ancestor wao alikua ni mamalia alieishi nchi kavu... fossils ziko clear. Sasa speculations znakuja kwa vitu mfano kusema kua viumbe wote tumetokana na 'samaki flani' ndio unaweza kusema "tunadhania" kwasababu hio ni kitu cha long time sana na huwez kurely ktk fossils pekee. Kuna namna zingine nyingi zaidi zilizopelkea theory hio..
 
"Mbingu na ardhi zlikua zimeungana"
Make it make sense... afu usitake kutwist maneno ionekane kua quran iko sahihi kwakua inaendana na sayansi
 
Afu hii Haifanani na big bang hata kidogo acha kudanganya watu ambao hawajui kusoma kingereza. Hapo inasema heavens and earth were joined afu zikatenganeshwa. Big bang haihusu earth Wala heaven yako hio. Inahusu beginning as a spark. So the Quran once again is wrong kwa kuweka humans and the earth as the center of everything wakati scientists know dunia imekuja later in the universe. Na kwa akili yako heavens ni Nini asa. Coz kwa watu wa kale anga ilikuwa heavens ndo kwa Imani Yao ilikuwa nyota zote jua na mwezi. Haya Sasa so now unajua kwamba jua ni nyota na zote ni kubwa kuliko dunia na anga sio ceiling board yenye madirisha ya kumwaga mvua niambie heavens ni Nini sasa?
 
"Mbingu na ardhi zlikua zimeungana"
Make it make sense... afu usitake kutwist maneno ionekane kua quran iko sahihi kwakua inaendana na sayansi
Sija twist maneno, Bali yapo hivyo... Kuthibitisha inabidi ukubali kusoma mwenyewe.

Yes, Mbingu na ardhi zilikua zimeungana according to Qur'an

Pitia hapa⤵️
Surah Al-Anbiya, verse 30:{Do those who disbelieve not see that the heavens and the earth were joined together, then We splitted them apart, and We made every living thing from water? Will they not then believe?"}

The meaning of the word "fafataqnahuma" in this verse is "We separated them" or "We split them asunder." In this context, it refers to the separation of the heavens and the earth, which were initially joined together.

The verse describes the state of the heavens and the earth prior to their separation, indicating that they were once a single entity. This is consistent with the scientific theory of the Big Bang, which postulates that the universe began as a singularity and expanded rapidly, eventually forming the universe as we know it today.
 
Proof ni kwamba majani yanahitaji jua kukua so telling me majani yalikuwepo kabla ya jua ni uwongo.
Ili mtoto apatikane ilihitajika awepo Male & female,... Lakini kwa ujuzi wa Muumbaji Jesus was born without a Male parent!

Kwa uchache wako wa ujuzi majani yanahitaji Jua,... Lakini kwa Aliye initiate Ulimwengu na kila kitu hashindwi kuyafanya majani yakue bila Jua!

Yeye akitaka kitu anaamuru tu, kuwa then inakua.
 
Kuna cheetahs sheep ambao Ni shoga mpaka chimpanzees...unabisha ingia Google search. Afu that's a stupid logic so unataka tuishi Kama wanyama...tuibiane, tuuwane, tubakane au sio...toa point ya msingi ya wanyama imebuma
Unafeli, kwahiyo kuona Wanyama mashoga mpaka niingie google?

Mtaani hakuna Wanyama?

Google isn't a valid source. Hata wewe unaweza ukaamua ku publish then ukasingia Chimpanzee Shoga.

Tokea nizaliwe sijawahi kuona Mnyama Shoga!🚫
 
Ww Sudan hujui hata ndege haziruhusiwi kupita kwasababu hio? Au unakaza fuvu tu...

Hizo nchi gays walikuepo tokea miaka ile. Ile yea, woke culture imeharibu zaid pia. Nchi kama Lebanon na Pakistan zimekua worse baada ya utawala wa usilamu.
Kwahiyo Uislam unahusika vipi na Ndege kutoruhusiwa kupitia Sudan?

Daah, Mkuu ondoa mindset ya chuki.. Mimi siwezi nikakaa nakuamua kusingizia Wakristo,jews, Buddhists au atheists jambo ambalo hawahusiki kabisa nalo.
 
Hiyo ni Imani tena Imani yenyewe ya kitoto,....
Kama sio Imani ya Kitoto tuonyeshe fossils za:-
1. Ancestor wa Nyoka (Huyo ancestor mwenye Miguu)

2. Ancestor wa Twiga aliyekua na Shingo fupi.....(Mind you, ulete Ancestor!!!)

3. Ancestor aliyeishi nchi kavu, Nyangumi& Dolphins...
 
Maneno yapo, Bali umekataa kuyaamini
Una uhakika gani mtume hakuota na kuwaambia ni Mungu ili awacontrol..mtu yoyote anaweza akasema ametokewa na malaika, Yesu au Mungu. Hata Zumaridi anaweza shida Zumaridi kakosea mda, saa hivi watu wanaakili.
 
Jesus wasn't born out of a virgin . Mary was a young unmarried girl. Ikawa mistranslated to virgin. Pia many gods were born from virgins before Jesus wayahudi wakaamua waibe hio narrative na pia ukitaka u make sense story za Biblia lazma uweke miujiza kila sehemu, kitu kikionekana as false unasema hoo miujiza. Ndo maana hizi dini zitaendelea kukutawala coz zinamake extra ordinary unfalsifiable and unprovable claims and promises of threats and rewards after death coz no one can substantiate the claims.
 
Una uhakika gani mtume hakuota na kuwaambia ni Mungu ili awacontrol..mtu yoyote anaweza akasema ametokewa na malaika, Yesu au Mungu. Hata Zumaridi anaweza shida Zumaridi kakosea mda, saa hivi watu wanaakili.
Ndiyo maana nikasema Maneno yapo ila huyaamini...

Tumepewa akili za kupambanua kipi cha kweli na kipi cha uongo.... Kama umepambanua ukaona ni uongo it's okay
 
Unafeli, kwahiyo kuona Wanyama mashoga mpaka niingie google?

Mtaani hakuna Wanyama?

Google isn't a valid source. Hata wewe unaweza ukaamua ku publish then ukasingia Chimpanzee Shoga.

Tokea nizaliwe sijawahi kuona Mnyama Shoga!🚫
Tokea uzaliwe hujawahi ona Polar bears so hawapo. Skia tubishane kwa hoja sio hisia sawa. There is homosexuality in animals umeona wanyama asilimia 1% duniani huna good sample size to claim ur results. Acha kutetea point iliyofeli, na bado hujajibu so tubakane kuuwana na kuibiana Kama wanyama au? Maana ya kuwa binadamu ni Nini Kama unataka uwe Kama mnyama. And why ushoga tu do animals do blowjobs mbona hamkatazi na hio.
 
Mariam alimzaa Yesu bila kuguswa/kufanya tendo na Mwanaume.

Hiyo mistranslation ipo wapi hapo?
 
Ndiyo maana nikasema Maneno yapo ila huyaamini...

Tumepewa akili za kupambanua kipi cha kweli na kipi cha uongo.... Kama umepambanua ukaona ni uongo it's okay
We ungekuwa Mungu unayejali uumbaji wako ungempa ujumbe lijitu liarabu afu aeneze ujumbe kwa vitishio dunia nzima? This shows ni info yake...kila mtu anajikuta anakutana na Mungu sijui malaika na anasema sheria zake ndo za Mungu na mijitu mnakubali coz mnaogopa kifo. In short all religions are made up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…