Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Kwani kuamini kwamba Viumbe wote tumetokana na Ancestor mmoja., Huku ukiwa huna uthibitisho.

Sio kuchagua ujinga?
Kuamini dunia Saba na mbingu Saba na mwezi kugawanyika na majini na moto na farasi wanaopaa sio ujinga... Aaah poa basi
 
Hii ni chai, Yani viumbe wote hao tunaoishi nao... Then kujua kama ni homosexuals mpaka uingie Google?

Kumbuka hilo suala kuna watu wanalifanyia promo kubwa sana kwa maslahi yao,... Sasa jiulize wanashindwa kuweka uongo google Ili kuwapoteza watu kama wewe?
Bac bac Kama google ni uwongo siendelei kubishana na wewe.
 
Kama unalala na kondoo na duma chumbani kwako na unajua wanafanya Nini kila saa kuliko wanasayansi wanaowasomea na kuwatafiti...sawa umeshinda sheikh doctor wanyama..
 
Kuamini dunia Saba na mbingu Saba na mwezi kugawanyika na majini na moto na farasi wanaopaa sio ujinga... Aaah poa basi
Dunia Saba?!
Farasi wanaopaa!?

Hivyo ulivyotaja nani anaamini kuna Dunia saba na farasi wanaopaa.

Hivyo vingine ni vitu ambavyo kimsingi huna elimu navyo,... Lakini pia Mungu angetaka kuumba Dunia Saba asingeshindwa na angetaka kuumba farasi wanaopaa asingeshindwa, hata angeamua kutufanya binadamu tuwe na Uwezo wa kupaa asingeshindwa!,... Sasa Sijui ajabu ipo wapi hapo.
 
Bac bac Kama google ni uwongo siendelei kubishana na wewe.
Sio kama google ni uongo..hapana, ishu ni kwamba Google ni search engine tu ambayo mtu yoyote anaweza aka publish kitu anachotaka haijalishi ni kweli au uongo.
 
Kama unalala na kondoo na duma chumbani kwako na unajua wanafanya Nini kila saa kuliko wanasayansi wanaowasomea na kuwatafiti...sawa umeshinda sheikh doctor wanyama..
Shida yako unataka kila kitu wakufanyie Wanasayansi,.... Fanya utafiti mwenyewe laasivyo utaaminishwa mpaka vitu ambavyo havipo.
 
Dunia Saba?!
Farasi wanaopaa!?

Hivyo ulivyotaja nani anaamini kuna Dunia saba na farasi wanaopaa.

Hivyo vingine ni vitu ambavyo kimsingi huna elimu navyo,... Lakini pia Mungu angetaka kuumba Dunia Saba asingeshindwa na angetaka kuumba farasi wanaopaa asingeshindwa, hata angeamua kutufanya binadamu tuwe na Uwezo wa kupaa asingeshindwa!,... Sasa Sijui ajabu ipo wapi hapo.
Muhammad aliendaje mbinguni?
 
Sio kama google ni uongo..hapana, ishu ni kwamba Google ni search engine tu ambayo mtu yoyote anaweza aka publish kitu anachotaka haijalishi ni kweli au uongo.
Na wikipedia ni uwongo si ndio. Ukisearch Tanzania watakuambia ni nchi ya ulaya ambaye raisi wake ni xi jingping na mji mkuu ni Sydney na wanaongea kikorea watu wake, si ndio. If not so, why kila kitu kiwe Cha ukweli na ukubali afu kitu ambacho it's against ur beliefs ukatae as false. Hebu acha ubishi, homosexuality behaviour in animals is a fact. Kama hutaki kuamini sio tatizo langu. Lakini point yako ya wanyama imebuma.
 
Shida yako unataka kila kitu wakufanyie Wanasayansi,.... Fanya utafiti mwenyewe laasivyo utaaminishwa mpaka vitu ambavyo havipo.
Sasa si wamefanya ndo maana wameona na kupublish matokeo na yamekubalika. We mbongo ni mvivu ndo maana hata chanjo unaletewa na unatumia bila kufanya utafiti, kazi yetu kuamini story za watoto kulala na kujazana nyumba za dini wakati wenzetu wanavumbua vitu venye msaada zaidi katika jamii.
 
Na wikipedia ni uwongo si ndio. Ukisearch Tanzania watakuambia ni nchi ya ulaya ambaye raisi wake ni xi jingping na mji mkuu ni Sydney na wanaongea kikorea watu wake, si ndio. If not so, why kila kitu kiwe Cha ukweli na ukubali afu kitu ambacho it's against ur beliefs ukatae as false. Hebu acha ubishi, homosexuality behaviour in animals is a fact. Kama hutaki kuamini sio tatizo langu. Lakini point yako ya wanyama imebuma.
Homosexuality ya Wanyama kama inapatikana Google tu sawa... Lakini kwenye Jamii na mazingira tunayoishi hicho kitu hakuna.

Does it make sense to you, Mwanaume kumuingilia Mwanaume mwenzake?!!

Nikushauri tu,.. Rudi kwa Mola wako Yani kama ulikua Mkristo Rudi hata kwenye Ukristo wako una afadhali kuliko kubeba na kujiaminisha ajenda ambazo hujui motive behind it.

Tupac Shakur ashawahi kusema ⤵️
"Usiingie katika MOB ambayo hujui motives yao. Aendae mbele bila ufahamu ni sawa na hayawani mwituni aliekosa UTASHI . Daima tambua unachofanya kulingana na mifumo yako ya maisha ili mbeleni usije kujuta kama corner boyz ambao huinua miguu yao bila kujua inaenda wapi “
 
Nani kakuambia mi shoga wewe mbona heshima. Na kama kitu hakimake sense kwako ndo mtu mwingine asifanye au. Mi sio mkristo na sina mola mimi we mwenye mola fata sheria zake usiwaingilie maisha ya watu. Jamii unaishi we unafuga duma, duma wanaongoza kwa homosexual behavior kwa wanyamapori, unafuga kondoo? Umefanya research, if the answer is no then ka kimya, kuna videos hadi youtube za mpaka simba dume wanagongana au utasema hio ni acting. Kiufupi toa hoja ya msingi ya wanyama ishabuma
 
Na bora niwe na akili ya kufikiri kipi kizuri na kibaya kuliko kuambiwa story za uwongo na kulazimishwa kuamini kwa kutishiwa moto wa kufikirika. Haya mambo ya kumwambia mtoto sio mimi.
 
Niskie tena hamna wanyama mashoga.
images (31).jpeg
Screenshot_20230510-205549.png
 
Nani kakuambia mi shoga wewe mbona heshima. Na kama kitu hakimake sense kwako ndo mtu mwingine asifanye au. Mi sio mkristo na sina mola mimi we mwenye mola fata sheria zake usiwaingilie maisha ya watu. Jamii unaishi we unafuga duma, duma wanaongoza kwa homosexual behavior kwa wanyamapori, unafuga kondoo? Umefanya research, if the answer is no then ka kimya, kuna videos hadi youtube za mpaka simba dume wanagongana au utasema hio ni acting. Kiufupi toa hoja ya msingi ya wanyama ishabuma
Hao watafiti wako ndiyo wamekuambia Duma na Kondoo wanaongoza kwa Homosexuals?

Kama unaamini kila unachoambiwa sawa.
 
Back
Top Bottom