No icho ni kitu baadhi ya wanyama wameonekana kufanya na sio utan. Kwa wanyama wanaopatkana Tanzania sana simba wanasemekana kufanya ivo..
View attachment 2618313
Na kuna nchi ya Afrika (nimesahau jina, ila nafkir ni kluger national park) simba jike wanatabia ya kua na mapenzi ya jinsia moja. Hii inatokea baada ya kukosekana madume (sjui kama lifestyle ya 'lion prides' unazielewa). Simba jike wanakua wanaongezeka testosterone na wengine mpaka kuota manyoa kama dume na kisha wanafanya majukumu ya simba dume katika pride... wanyama wengine waliokua observed ni penguins, chimpanzees...
Halafu ukiongelea mapenz ya jinsia moja kwa wanyama inakua haifit. Maana wanyama wao hawana "mapenzi" wao ni kujamiiana tu basi...
NB: sisupport ushoga wala sikubalian na hili linafanyika kueneza na kushawishi mambo ya kishoga. Ila ni fact tu kwamba mashoga wapo, na naturally mtu "haamui" tu kua shoga... bali ni namna tu kazaliwa.