Yani kupinga discrimination ndiyo kuweka Kwenye vitabu vya kufundishia watoto kwamba ni sawa kabisa kufanya ngono kati ya Male&Male, Female & female? HIYO SIO KUPINGA BALI NI KU PROMOTE!
Tukubaliane kwamba tunatofautiana mitazamo.
Mimi nnavyoona Homosexuals & Transgenders zinakua promoted na sio kwamba wanapinga discrimination....
Jiulize swali, kwanini Qatar walikataza Nchi zenye hiyo agenda kwenda na Bendera zao kwenye Kombe la Dunia..., Kwasababu Qatar wanajua wazi ile ni promotion inafanywa na ni agenda haswa.
Homosexuals & Transgender haiwezi kuwa sawa bali ni ushetani tu,hasa ukifikiria bila kushikiwa akili 🚫