Ishu ni kwamba kuna vitu Mimi, wewe, Wanasayansi na kadhalika hatuna elimu navyo,....... Na kitu Kingine ukweli wa jinsi ya Uumbaji ulivyokua ni lazima tuupate kwa Muumbaji mwenyewe na sio kutoka kwa Mwanasayansi ambae ni kama wewe tu tumezaliwa Dunia na kila kitu tumevikuta(How can you expect that Mtu amekuta Ulimwengu tayari una Operates maelfu kwa maelfu ya miaka eti aelezee facts 100% kuhusu existence ya Ulimwengu?)
Ngoja nikupe mfano huenda ukaelewa:- Let's say Bing bang imetokea kutoka kwenye Singularity kama Sayansi inavyosema, Then tumepata Galaxies na Sayari zote kwa ujumla...
1. Je, Sayansi inaweza kuelezea baada ya hapo viumbe wengine wote walitokea wapi?(au ndiyo kusema tume evolve kutoka kwa Ancestor mmoja?)
2. Je, Sayansi inaweza kuelezea baada ya hapo aina zote za mimea zilitokea wapi?
UKIANGALIA KILA KITU KIMEKAA KWENYE MPANGILIO, JE VITU VILIJIPANGA VYENYEWE?!,...
KUANZIA ULIMWENGU NA GRAVITY FORCE, YANI MPAKA MWILI WAKO NA ORGAN ZOTE MOYO,FIGO,UBONGO,UTUMBO MNENE, UTUMBO MWEMBAMBA, KORODANI, MPANGILIO WA MFUMO WA MENO(The human teeth system is designed to work together to efficiently break down food into smaller pieces, making it easier for the digestive system to extract nutrients from it) MPAKA NYUSI NA KOPE ZIPO KWENYE MPANGILIO.
Maelezo ya Uumbaji 100% tutapata kutoka kwa Muumbaji mwenyewe,sisi na Wanasayansi tutakua tunatoa suggestions tu!
Surah Al-Anbiya, verse 30:
"Have those who disbelieved not considered that the heavens and the earth were a joined entity, and We separated them and made from water every living thing? Then will they not believe?" (Quran 21:30)
Ukitizama hiyo Aya hapo juu ambayo imekua revealed zaidi ya miaka 1400 iliyopita, inaeleza kwamba earth & heavens zilikua zimeungana kabla ya kulipuliwa na kutenganishwa(ambapo unaweza uka relate na concept ya Bing Bang.)
kwa uelewa wako wewe, Ingekua Wanasayansi hawajasema kuhusu Bing Bang Theory basi ungesema Qur'an hapo kwenye hiyo Aya imedanganya mno Kwasababu kwa akili ya kawaida ukiambiwa mbingu na ardhi zilikua zimeungana utabisha!
NB:- "A designer is not only the creator, but also the knower of It's design, possessing a deep understanding of every detail and intention behind it."