Chosen Rich
JF-Expert Member
- Jan 7, 2019
- 1,467
- 989
Kasome vizuri vitabu vya dini uelewe.Huwezi kuumba viumbe usitake wawe robots but wasipokuwa robots unakasirika. Huu Ni ukichaa. Ukimpa mtu maamuzi mpe, na mbona nchi zilizoendelea ambazo hazishikilii dini Zina amani kuliko nchi za dini. Ina maanisha hauhitaji kitabu kikuambie usiuwe, we mwenyewe unaakili ya kujua kwamba kumtoa maisha mwenzako Ni kosa. Lakini akili hio hio kwa sababu ya dini ndo inafanya mtu kujilipua na kuuwa watu, kupiga watu mawe na kuangusha watu magorofani. Sasa kosa Ni Nini hapa dini au akili ya binadamu.