Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Mfano sio sahihi huu ndugu. Mtoto mdogo hafundishiki hivo kumtolea bomu ni sahihi. Ila teenager anaefundishika ukimpa options kukubali au kukataa ni uamuzi wake na hakuna unachoweza kufanya labda nd wale wazazi anampeleka mtoto jeshini. Lakini pia ukija kweny uhalisia kuna mchangiaji alitoa jibu zuri sana kuwa wewe unaweza ukawa na vision kuwa unaenda kazini unamgonga mtoto mdogo so ukajipa option kuwa basi siendi kazini ili niepushe hiyo ajali na ukawa sahihi kwa wakati huo. Ila vipi ukajua possiblity zote kama Mungu anavojua kuwa labda huyo mtoto ambae ungemgonga atakuja kuua wazazi wako baadae na watanzania wenzio wengi tu. Je usingeendelea na maamuzi ya kwenda kazini. Watu wa hollywood nawakubali hata utengenezaji wao wa movie wanasoma knowledge nyingi sana ila hupendelea knowledge ilioko kweny bible maan ni fikirishi sana. Kwa mfano kwenye movie ya avengers infinity war ni kwamba doctor strange alikuwa na uwezo wa kuamisha fight ya thanos kwenda universe nyingine badala ya duniani. Ila katika vision yake aliona katika vita zisizo na idadi dhidi ya adui humanity imeshinda mara moja na kwa conditions fulani so alichokifanya akaruhusu humanity iwe defeated pale wakanda sababu kuna conditions hazijawa met bado kusave time ili atengeneze nafasi ya ushindi time inayokuja(endgame) kwa kuwa itakuwa salama zaidi.
Hebu skia...acha kufuatilia movie hizi soma vitabu hata viwili vitatu.. vitakusaidia kuboost ur critical thinking
 
Wakristo wengi wanaamini Biblia Ni maandiko takatifu na ndo yanawapa mwongozo watu katika maisha yenye maadili. Lakini mbona Biblia yenyewe Ina maandiko yasio na maadili na pia Mungu wa kwenye Biblia amekuwa ni mwenye mateso na kuonea watu bila sababu za msingi. Ni kweli Mungu yupo hivi au hizi zilikuwa story tu za mababu katika kutishia watu amani. Hebu tuone sehemu zifuatazo.

Kalaani binadamu na uumbaji wote kwa tendo la watu wawili(Mwanzo 3:16-23)

Kaua kwa mafuriko wajawazito, watoto wasio na hatia na wanyama(Mwanzo 7:20-23)

Kawapa magonjwa na mvua za mawe wamisri kisa farao kakataa kuwaachia wayahudi baada ya Mungu mwenyewe kuufanya moyo wake uwe mgumu(Kutoka 9:8-11,25)

Aliamuru waisraeli waue wanaume, wanawake wasio bikra na watoto wote wa mataifa Saba na waibe arhi Yao(kumbukumbu la torati 7:1-2)

Alimuua mtoto wa Daudi kisa alizini na Bathsheba (2 Samuel 12:13-18)

Alitaka mateso na kuuwawa kwa mtoto wake(Warumi 3:24-25)

Ameapa kuwatesa wasioamini kristo katika moto wa milele(Ufunuo 21:8)

Pia ameamuru kuuliwa mtu mwenye makosa ya kufanya kazi siku ya sabato(Kutoka 31:15), kumtukana mzazi(walawi 20:9), kuabudu miungu mingine(kumbukumbu la torati 17:2-5), kuwa mchawi(kutoka 22:18), Ushoga (Walawi 20:13), kutokuwa bikra siku ya ndoa(kumbukumbu la torati) 22:20-21

Hitimisho: Ukitoa sodom na gomora na story ya Nuhu. Mungu ameua watu 2,038,344 na Shetani ameua watu 10 tu. Tena hao kumi ni watoto wa Ayubu ambae Mungu alibet na shetani so Mungu alimuamuru shetani awaue. Shetani hajawahi danganya Wala kuiba Biblia nzima. So Nani yupo sawa Mungu au Shetani.

Mi Ni Simba mpole
 
Wakuu poleni kwa upambanaji.

Binafsi mimi kuna mda huwa nikitulizaga kichwa changu huwa naanza kujiuliza maswali mengi sana kuhusu mimi (binadamu) na ulimwengu kiujumla (Universe).

Maswali kama sisi (binadamu) ni kina nani,tumetoka wapi asili yetu, kwanini tupo (dhumuni la kuishi), mwisho wetu ama hatima yetu ni nini, Ulimwengu wa vitu je kama sayari, nyota, galaxies zimekuwepo vipi na nini hasa mwisho wake.

Hapo juu ni baadhi tu ya maswali ambayo huwa naiuliza sana akili yangu ikiwaga katika hali ya utulivu.

Lakini cha kusikitisha ni kwamba, katika maswali yote hayo ambayo huwa najiuliza, sijawahi kupata jibu la uhakika kuniridhisha kuhusu hayo maswali yangu.

Nimekuwa nikifanya bidii kubwa sana kupata majibu ya maswali yangu kupitia usomaji wa majarida au vitabu vihusuvyo historia,sayansi, dini na Falsafa lakini kote bado sijapata majibu ya kuniridhisha tofauti na kuambulia majibu ya kinadharia tu ambayo yana strength kiasi chake lakini pia yana weakness sehemu nyingi tu.

Na nikiri wazi tu kuwa katika usomaji wangu wa nadharia hizo zote (historia, sayansi, dini, falsafa) sehemu ambayo nimeanza kuiamini kunipa majibu ya maswali yangu ni kwenye DINI.

Nikiwa na maana nimeanza kuamini kwamba uwepo na sisi tuliohai na visivyo hai hapa ulimwenguni ni matokea ya Uumbaji ya nguvu kubwa sana inayoitwa MUNGU/ALLAH kama ambavyo dini nyingi zinaelezea nguvu hiyo.

Na leo maswali yangu yanajikita huko kwenye hiyo nguvu (Mungu) maana nimeanza kuiamini lakini pia kila nisomapo BIBLIA (mimi mkristo) inanipa maswali chungu nzima.

Sasa leo swali langu limejikita kwenye UKAMILIFU wa MUNGU.

Naombeni wasomaji mnielewe kuwa sina maana ya kukufuru (maana mara nyingi niulizapo maswali kuhusu MUNGU huwa naambiwa nakufuru) bali mimi nataka kujifunza zaidi kumuhusu huyu Mungu.

Dini nyingi (hasa Ukristo na uislamu) zimekuwa zikimwelezea Mungu kuwa ni Mkamilifu sana,mwenye nguvu nyingi sana, uwezo na akili zake hazichunguziki, hashindwi na chochote n.k.

Je hilo lina ukweli ? kupitia Biblia mimi nimeanza kudhani kwamba huenda kweli Mungu ana nguvu nyingi sana ila siyo zote, ana uwezo mkubwa sana ila siyo uwezo wote,ana maarifa mengi sana ila siyo maarifa yote, ana ukamilifu mwingi sana ila siyo ukamilifu wote n.k

Nasema haya ni kutokana na maswali yafuatayo :

1. Kama Mungu ana ukamilifu wote, kwanini sasa alimuumba malaika (Lucifer/shetani) alafu badae akaja kumuasi?
Kama Shetani/Lucifer aliasi maana yake ni kwamba Mungu alimuumba huyu kiumbe akiwa na madhaifu kadhaa na ndiyo maana alishindwa kuitii amri/mamlaka ya muumbaji wake.

Kama Mungu angelikuwa na ukamilifu wote, basi malaika wote wangelikuwa wameumbwa katika namna ya utii pekee, uasi usingetokea na huo uasi unadhihirisha kwamba Mungu aliwaumba hawa malaika wakiwa na udhaifu flani, hawakuwa na uimara wote.

2. Uumbaji wa Eva (Hawa) unaonesha kulikuwa na madhaifu pia.
Katika Biblia takatifu kwenye kitabu cha mwanzo, kuna mistari inaeleza kuwa "Mungu alimpa usingizi mzito Adam, alafu akabandua sehemu ya ubavu wake na kumfanya/kumuumba mwanamke (Hawa/Eva)".

Alafu Mungu akamwambia Adam kuwa huyu mwanamke atakuwa msaidizi wako

Lakini ni huyo huyo mwanamke ambae shetani (kwenye umbo la nyoka) alienda kumdanganya akachukua matunda ya mti walioambiwa asile yeye akala na akampelekea na mumewe (Adam) pia akala.

Lakini Mungu alivyomuuliza Adam kwanini umekula matunda ya mti ambao nilikwambia usile, Adam alijibu kuwa "Ni huyo mwanamke uliyenipa ndiye aliyeniletea nikala".

Tukio hili linadhihirisha kuwa Mungu alimpa Adam msaidizi (Hawa) ambae ni dhaifu sana na ndiyo maana alisababisha dhambi ikaenda hadi kwa Adam.

Na huenda kama Mungu angelikuwa amempa Adam msaidizi imara asiye na madhaifu basi ile dhambi ya kula tunda ingeepukika.

Uko wapi sasa ukamilifu wote wa Mungu ikiwa aliweza kuwaumba malaika dhaifu (ambao walikuja kumuasi) na pia bado akampa Adam msaidizi dhaifu kabisa ambaye alisababisha dhambi imwendee hadi Adam?

Kwa leo naombeni comment zenu zinifunze kuhusu hilo tu (La ukamilifu wa Mungu) alafu mengine nitauliza siku nyingine, na mengine nitakuwa nauliza humo humo kwenye comments zenu.

NB: Naamini Mungu yupo, kutokana na baadhi ya vitu ninavyoviona ulimwenguni (hasa uumbaji/creation) ambapo kuna baadhi ya vitu hasa sayansi inakosa majibu ya kuridhisha, ila shida yangu kubwa ni sifa za Mungu ambazo anapewa na wanadamu naona kama zinashindwa kujidhihirisha kwenye baadhi ya mambo.

Karibuni mnifunze.
Neno Roho ndiyo neno energy hivyo mungu yupo milele na vitu vyote vipo milele ...kisayanyansi hata matter ni energy tu. Hivyo wanasayansi walisema kweli uwezi kuiangamiza energy wala kuiunda
 
"Mungu yupo milele na vitu vyote viko milele"

Vitu gani hivyo unavyosema vitakuwepo milele ukitoa Mungu 😎
 
[emoji1787][emoji1787] mna angaika na maswali magumu wakati mimi nipo[emoji1787][emoji1787]
 
"Mungu yupo milele na vitu vyote viko milele"

Vitu gani hivyo unavyosema vitakuwepo milele ukitoa Mungu [emoji41]
Vitu vyote vipo ndani ya mungu ...vyote alivyo viumba ni energy tu na yeye ndiye mmiliki wa energy ...kumbuka mungu kwenye biblia alisema kuwa hata yeye ni roho maana yake pasipo roho hakuna mungu na mimi nime proof kuwa neno roho ndiyo energy
 
"Alivyoviumba Mungu vitabaki milele"
bado natafta kukuelewa 😎😎😎
 
Ndo hapo sasa...kutishiana tu...binadamu ulimwengu tumeukuta na tutauacha
Mkuu wewe ni mjenga hoja zenye logic, naomba nikuulize swali fupi.

Katika theory yeyote ya kisayansi ambayo umewahi kuisikia ama kuisoma, ushawahi kutana na theory inakubali ama kusema kwamba "Kili kitu kilichoanza lazime pia kije kuwa na ukomo"

alafu jibu lako linaweza kunifanya pia niulize tena ama nisiulize kutegemeana na utakavyonijibu
 
"Alivyoviumba Mungu vitabaki milele"
bado natafta kukuelewa [emoji41][emoji41][emoji41]
Hivi unajua maana ya vitu vyote ni energy kajifunze nini maana ya ilo neno binadamu ni energy hivyo vitu vyote vilikuwepo hata babla ya kuumba ila vilikuwa katika mfumo wa energy ambao kwa huo mungu anafanyiza kitu chochote atakavyo
 
"Vitu vyote vilikuwepo kabla hata ya Mungu kuumba ila vilikuwepo katika mfumo wa Energy" unajua kauli zako zinanichanganya muda mwingine.

Ebu labda tuanzie kwenye energy, elezea energy ni nini alafu u-link na uumbaji hapo nitaweza kukusoma dhana yako labda
 
Mbona umeweka Aya hiyo Tu,.. weka Aya zote tatu ulizosema,
Ili nizilete hapa, tuone kama Umesema kweli au Uongo
Ghalika; Surah 11 na surah 71 (kwanzia 71:3 nafkir)

Mtume kugawa mwezi; surah 54:1... na hadiths zinaelezea hii kua "mtume aligawa mwezi pasu". Hadith ziko nyingi, ziwezi kumbuka ni wapi nilisoma. Ila kama muislam utakua ushakutana nayo maana mnaabudu mwezi pia, sindio?
 
Chips zipo ndiyo na zaidi ya hizo chips kweny hayo machanjo we unadhani kwanini dhambi zinaongezeka zaidi duniani.
Huhu... kwahio chips ziko kama kimiminika? Halafu ukishawekwa chips watu wana kucontrol utende dhambi? Hivi unajua hata chips zinasize gani ww?

Screenshot_20230502-202138_Google.jpg

Na unajua kuzitumia microchip ni mpaka uwe na scanner yake ambayo unatumia ukiwa just centimeters close to it. Kumaanisha kwamba mtu hawezi kuisoma akiwa mbali sjui kwa kutumia super computer. Science sio magic kama miungu yenu hio bwana. What do you think powers microchips?
 
Sas story za kupikwa hollywood hazina reflection yoyote unataka nd tuziamini ila tusiamini dini ambayo imeandika mifumo ambayo inathibitika mpaka leo. Nitajie katika amri kumi za Mussa kipi hakina madhara mpake leo.
Sasa mkuu unabishia uhalisia? Urusi na marekani baada ya kuacha kushindana kivita walishindana katika mambo ya space. Mrusi alipeleka prob ktk sayari ya venus mmarekani akapeleka binadamu mwezini. Watu halisi wanaoishi mpaka leo. Hayo mambo ya Musa hayawezkua proved kwa vyovyote vile...
 
Sijazungumzia mababu walikuwa atheist sababu hawakumjua Mungu wa kweli mi nimewazungumzia hawa wa sahivi kama nyinyi. We unasema japan kuna amani unajua jamii ya kiyakuza japan inavofanya mambo ya kutisha kama mauaji usafirishaji wa madawa ya kulevya human trafficking halafu unakuja kusema watu wasio amini wana amani. Bro yani kwenye dhambi kuna mambo yataumbua tu nd kama hao mayakuza japan wapo na wanatambulika hata wajapana wenyewe wanawajua ni kama cartel za mexico tu sasa wewe kwako hiyo nd amani wakati watu wanakufa kama kawaida. Tena nchi yenyew unayoita ina amani majanga hayaishi sijui nagasaki na hiroshima mara tsunami mara mafuriko ya kila aina growth yenyew tu ya mwili ni tatizo. Wajapan ni moja ya watu wanaongoza kwa sex abuse na sex trafficking hasa za watoto wewe nd unaita amani hiyo pole.
Halafu linganisha na nchi, kama Pakistani, Iran, Lebanon. Unajua ni nn kinatokea Sudan wakati huu? Mambo ya kutisha yanatokea sehemu zilizo na dini. Ushawahi kusikia mtalii anapigwa au kuuawa akiwa Japan? Ila je vp kuhusu nchi kama Qatar au Saudi... dini, hasa usilamu, ni moja kati ya chanzo cha uchafuzi wa amani!
 
Ghalika; Surah 11 na surah 71 (kwanzia 71:3 nafkir)

Mtume kugawa mwezi; surah 54:1... na hadiths zinaelezea hii kua "mtume aligawa mwezi pasu". Hadith ziko nyingi, ziwezi kumbuka ni wapi nilisoma. Ila kama muislam utakua ushakutana nayo maana mnaabudu mwezi pia, sindio?
Arguments zako zime base kwenye uongo kuliko facts.
Ukiambiwa utuletee Muislam hata mmoja anaeabudu Mwezi, utaweza?!

Kama unataka kujadili usiingize uongo,... Kujadili kuhusu uzushi binafsi naona kama ni kupoteza muda tu mkuu.
 
Back
Top Bottom