Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Unaweza ukatoa mfano wa hayo mateso?

Mtu kama anamtesa Mkewe,.. huyo ni ujinga wake mwenyewe Qur'an na Uislam kwa ujumla unakemea kutesa kiumbe chochote kile. Sio Mwanamke, Mwanamme, Mbwa, Mbuzi, Nguruwe na kadhalika viumbe wengine.

Uislam una discourage mpaka kukata mti ambao una manufaa kwa watu, either wanapata kivuli, matunda n.k
Maandishi kibao kwenye Quran na Hadith yanasema mwanamke awe submissive kwa mke wake. We unadhani haya Mambo ya kuonewa yanaanza wapi. Haya mambo ya kutunza bikra kulazimisha kuolewa kupigana mawe kisa kuzini au kucheat ni sheria za Quran hizo Saa hivi upo bongo huzioni Ila tafuta wenzako uarabuni mpaka wanahama nchi.
 
So umekuwa muislam ukiwa na umri gani mbona unakimbia swali just name the age... nilikuwa na miaka kadhaa Kama umenidanganya ni juu yako
Age kati ya 14 na 15 hivi.., na kadri nnavyoendelea kusoma Imani inaongezeka juu ya Uislam.
 
Maandishi kibao kwenye Quran na Hadith yanasema mwanamke awe submissive kwa mke wake. We unadhani haya Mambo ya kuonewa yanaanza wapi. Haya mambo ya kutunza bikra kulazimisha kuolewa kupigana mawe kisa kuzini au kucheat ni sheria za Quran hizo Saa hivi upo bongo huzioni Ila tafuta wenzako uarabuni mpaka wanahama nchi.
Kwahiyo Mwanamke kuwa submissive kwa Mme wake ni mateso?

Mwanamke mtiifu automatically atamtii Mme wake, na Mwanaume muadilifu automatically atampenda, atamjali na kumhifadhi mke wake,... Sasa Sijui ubaya upo wapi(Au una support Feminism agenda Mkuu?)

Ni Haram kulazimisha kuoa/kuolewa kwenye Uislam,.... Mtu akifanya hivyo ni ujinga wake tu
 
Age kati ya 14 na 15 hivi.., na kadri nnavyoendelea kusoma Imani inaongezeka juu ya Uislam.
Hahaha okay ..we mtoto mwenye age ya 14 au 15 anaweza kuingia mkataba. The answer is no. Secondly. Ulipewa other choices ukitoa dini ya wazazi wako no. Hence ni Kama kumuuliza mtoto unataka embe au jiwe akachagua embe afu baadae aje kusema aliamua kuchagua embe kisa ndo tunda Pekee tamu na lisilo na Sumu. It's illogical.
Hence indoctrination of faith. You can't reason someone out of something they didn't reason themselves into.
Case closed
 
Kwahiyo Mwanamke kuwa submissive kwa Mme wake ni mateso?

Mwanamke mtiifu automatically atamtii Mme wake, na Mwanaume muadilifu automatically atampenda, atamjali na kumhifadhi mke wake,... Sasa Sijui ubaya upo wapi(Au una support Feminism agenda Mkuu?)

Ni Haram kulazimisha kuoa/kuolewa kwenye Uislam,.... Mtu akifanya hivyo ni ujinga wake tu
Umeona tofauti apo...kumtii na kumpenda . It shows this is a male's made religion..case closed.
 
Ubishi sio mzuri, kubali kupokea ukweli anytime unapoupata.

Kama Charles Darwin, ameipinga hiyo theory,... Wewe Muumini wake inakuaje uendeleze ubishi?

Kuhusu Tembo, nishasema kwamba Genes ndyo zina transfer traits za viumbe na sio External features.
Sasa hio genes kutransfer traits flan, na kudeactivate genes flan ndio use and dissuse.
Charles Darwin mwenyew theory zake znabase kwenye use and dissuse. "Survival for the fittest" yenyew ni use and dissuse kimtindo flan...
 
Umeona tofauti apo...kumtii na kumpenda . It shows this is a male's made religion..case closed.
Uislamu ni dini ya wanaume. Dini nyingi infact, ni za wanaume walianzisha. Usilam initially ulianzishwa kama dini ya vita ndiomaana sheria zao nyingi zimekaa kimkakati ya vita eg. Kuoa wake wengi, kutokula nguruwe, pombe etc... Ushaskia dini nyingine yeyote ile ina kitu waislamu wanaita "jihad"
 
Ndo hivyo yaani wametumia dini na vitishio kueneza utamaduni wao ndo maana watu wengi ulaya na marekani wanawapinga
 
Watu wengi wakiulizwa kuhusu kutoa mimba wanasema hoo sijui unaua kiumbe Cha Mungu. Sasa Nina maswali.
1. Mtoto anaanza kuwa na mawazo na viungo muhimu na maumivu katika miezi mitatu ya mwisho.
2. Hamna mtu anakumbuka chochote kabla ya kuzaliwa this shows haukuwa unaishi ndo maana hatuhesabu umri tokea tumboni.
3. Kama mnasema sijui Hilo yai linaenda kuwa mtoto na hivyo unaua sijui angekuwa Waziri, Sasa mwanamke ana cycle ya kuua yai kila mwezi so Mungu anaua mtoto kila mwezi Ila hataki wewe uuwe.
4. Na Kama puchu pia ni kuuwa watoto mbona zinatoka zenyewe usipopiga kwa mda mrefu it shows ni natural hizo kutoka.
5. Hizi sperms zenyewe zipo billions Ila moja tu inazalisha inamaanisha Mungu anaua watoto billion kila sekunde.
6. Kwenye Bible Kuna story ya mwanamke ambae mme wake alisema kacheat ikabidi pasta amnyweshe kinywaji ambacho Kama amecheat mimba itaharibika na mtoto akafa na kweli ikawa hivyo. Inamaanisha kwenye Biblia inaruhusiwa kutoa mimba Kama ni nje ya ndoa?
7. Kama issue Ni kuua watoto wasio na hatia, Mungu kaua watoto kibao kwanzia story ya Nuhu, story ya Sodom na gomora, wamisri waliokufa(kila mtoto wa kwanza), sehemu ambazo waisraeli walitumwa kuua kila mtu isipokuwa wanawake bikra. Sasa Kama Mungu Ni muuwaji wa watoto wengi hivi kwa Nini mnasema anataka watoto waishi.
8. Dunia ya zamani mpaka kipindi Cha Yesu Kati ya watu 100 wanaokufa 50 walikuwa watoto Ila now ni watatu ndo watoto. Sasa kama shida ni kutoa mimba mbona kipindi ambacho dini ilikuwa inashikwa watoto walikufa Sana kuliko Sasa hivi.
9. Statistics zinaonyesha nchi ambazo zimekataza kutoa mimba ndo zinaongoza kutoa mimba kuliko zilizoruhusu na ndo Zina hasara kubwa kwenye mambo ya afya ya mama na watoto, ukimwi, vifo, watoto wa mtaani n.k wakati nchi zilizoruhusu Zina afya Bora.
Hitimisho: sio kila kitu mnakibeba Kama kilivyo na kukichukulia kama sheria vitu vingine angalieni.
 
Endelea kuwatoa mimba mkuu
 
Nakumbuka swali la gwiji mmoja je Mungu anaweza kutengeneza jiwe asiloweza kulibeba

Kama ndio anaweza kutengeneza hapo sawa lakini vipi kuhusu kutoweza kulibeba [emoji23], kwamba kuna vitu anashindwa

Some hard philosophical questions that God only knows the answers
 
Watu wengi wakiulizwa kuhusu kutoa mimba wanasema hoo sijui unaua kiumbe Cha Mungu. Sasa Nina maswali.
1. Mtoto anaanza kuwa na mawazo na viungo muhimu na maumivu katika miezi mitatu ya mwisho.
2. Hamna mtu anakumbuka chochote kabla ya kuzaliwa this shows haukuwa unaishi ndo maana hatuhesabu umri tokea tumboni.
3. Kama mnasema sijui Hilo yai linaenda kuwa mtoto na hivyo unaua sijui angekuwa Waziri, Sasa mwanamke ana cycle ya kuua yai kila mwezi so Mungu anaua mtoto kila mwezi Ila hataki wewe uuwe.
4. Na Kama puchu pia ni kuuwa watoto mbona zinatoka zenyewe usipopiga kwa mda mrefu it shows ni natural hizo kutoka.
5. Hizi sperms zenyewe zipo billions Ila moja tu inazalisha inamaanisha Mungu anaua watoto billion kila sekunde.
6. Kwenye Bible Kuna story ya mwanamke ambae mme wake alisema kacheat ikabidi pasta amnyweshe kinywaji ambacho Kama amecheat mimba itaharibika na mtoto akafa na kweli ikawa hivyo. Inamaanisha kwenye Biblia inaruhusiwa kutoa mimba Kama ni nje ya ndoa?
7. Kama issue Ni kuua watoto wasio na hatia, Mungu kaua watoto kibao kwanzia story ya Nuhu, story ya Sodom na gomora, wamisri waliokufa(kila mtoto wa kwanza), sehemu ambazo waisraeli walitumwa kuua kila mtu isipokuwa wanawake bikra. Sasa Kama Mungu Ni muuwaji wa watoto wengi hivi kwa Nini mnasema anataka watoto waishi.
8. Dunia ya zamani mpaka kipindi Cha Yesu Kati ya watu 100 wanaokufa 50 walikuwa watoto Ila now ni watatu ndo watoto. Sasa kama shida ni kutoa mimba mbona kipindi ambacho dini ilikuwa inashikwa watoto walikufa Sana kuliko Sasa hivi.
9. Statistics zinaonyesha nchi ambazo zimekataza kutoa mimba ndo zinaongoza kutoa mimba kuliko zilizoruhusu na ndo Zina hasara kubwa kwenye mambo ya afya ya mama na watoto, ukimwi, vifo, watoto wa mtaani n.k wakati nchi zilizoruhusu Zina afya Bora.
Hitimisho: sio kila kitu mnakibeba Kama kilivyo na kukichukulia kama sheria vitu vingine angalieni.
Waambie pia hao watu kua "mtoto sio baraka kutoka kwa mungu" bali mtoto ni majukumu. Mtoto hajaamua yeye azaliwe bali ww ndio umeamua kumzaa kwahyo wajibika.

Tukianzia hapa itasaidia kupunguza umaskini na wimbi la watoto wa mitaani. Mtaa hauzai watoto jaman, tuwajibike.
 
Hahaha okay ..we mtoto mwenye age ya 14 au 15 anaweza kuingia mkataba. The answer is no. Secondly. Ulipewa other choices ukitoa dini ya wazazi wako no. Hence ni Kama kumuuliza mtoto unataka embe au jiwe akachagua embe afu baadae aje kusema aliamua kuchagua embe kisa ndo tunda Pekee tamu na lisilo na Sumu. It's illogical.
Hence indoctrination of faith. You can't reason someone out of something they didn't reason themselves into.
Case closed
Tatizo umekariri sana mzee.... Ishu ya kupambanua mambo haihusiani na masuala ya mikataba.... Ukishajua kipi sahihi na kipi sio sahihi then tayari una freedom ya kuchagua.

Kuhusu choices sio lazima wakupe wazazi wako,... Vitu vingapi tumesoma na kujifunza away from vile ambavyo wazazi wanavijua/ wanataka?

Wewe ulivyokua Mdogo ulifundishwa kwamba Mtu asili yake ni Sokwe,... Now umekua mtu mzima bado unakubaliana na hiyo idea Kwamba mtu alikua Sokwe,..... Hutakiwi kulaumu waliokufundisha bali tunasema hayo ni maamuzi ya mtu mwenye akili timamu amejiamulia mwenyewe!
 
Umeona tofauti apo...kumtii na kumpenda . It shows this is a male's made religion..case closed.
Yap, kutokana na upeo wa fikra zako.

Lakini Kila Mwanaume anapenda Mwanamke msikivu na mtiifu,... Kama vile ambavyo kila Mwanamke anapenda Mwanaume anaemjali na kumzingatia kwenye hali zote🤝🏼

Sidhani kama kuna mateso yoyote hapo.
 
Sasa hio genes kutransfer traits flan, na kudeactivate genes flan ndio use and dissuse.
Charles Darwin mwenyew theory zake znabase kwenye use and dissuse. "Survival for the fittest" yenyew ni use and dissuse kimtindo flan...
Ndiyo hivyo sasa,.. Charles Darwin anasema Theory of Use & Disuse haiwezekaniki.... Yaani kiufupi ni uongo.
 
Uislamu ni dini ya wanaume. Dini nyingi infact, ni za wanaume walianzisha. Usilam initially ulianzishwa kama dini ya vita ndiomaana sheria zao nyingi zimekaa kimkakati ya vita eg. Kuoa wake wengi, kutokula nguruwe, pombe etc... Ushaskia dini nyingine yeyote ile ina kitu waislamu wanaita "jihad"
Ndugu yangu jaribu kujielimisha zaidi kuhusu Uislam.... Yaani unayoongea kuhusu Uislam hata mtoto mdogo hawezi kuwa na negativity kiasi hicho.
 
Ndo hivyo yaani wametumia dini na vitishio kueneza utamaduni wao ndo maana watu wengi ulaya na marekani wanawapinga
Huko Ulaya na Marekani wanapinga Uislam, kisha Wana support ishu za Transgender na Ushoga.... Sasa si Bora wangekubali Uislam tu!!
 
Watu wengi wakiulizwa kuhusu kutoa mimba wanasema hoo sijui unaua kiumbe Cha Mungu. Sasa Nina maswali.
1. Mtoto anaanza kuwa na mawazo na viungo muhimu na maumivu katika miezi mitatu ya mwisho.
2. Hamna mtu anakumbuka chochote kabla ya kuzaliwa this shows haukuwa unaishi ndo maana hatuhesabu umri tokea tumboni.
3. Kama mnasema sijui Hilo yai linaenda kuwa mtoto na hivyo unaua sijui angekuwa Waziri, Sasa mwanamke ana cycle ya kuua yai kila mwezi so Mungu anaua mtoto kila mwezi Ila hataki wewe uuwe.
4. Na Kama puchu pia ni kuuwa watoto mbona zinatoka zenyewe usipopiga kwa mda mrefu it shows ni natural hizo kutoka.
5. Hizi sperms zenyewe zipo billions Ila moja tu inazalisha inamaanisha Mungu anaua watoto billion kila sekunde.
6. Kwenye Bible Kuna story ya mwanamke ambae mme wake alisema kacheat ikabidi pasta amnyweshe kinywaji ambacho Kama amecheat mimba itaharibika na mtoto akafa na kweli ikawa hivyo. Inamaanisha kwenye Biblia inaruhusiwa kutoa mimba Kama ni nje ya ndoa?
7. Kama issue Ni kuua watoto wasio na hatia, Mungu kaua watoto kibao kwanzia story ya Nuhu, story ya Sodom na gomora, wamisri waliokufa(kila mtoto wa kwanza), sehemu ambazo waisraeli walitumwa kuua kila mtu isipokuwa wanawake bikra. Sasa Kama Mungu Ni muuwaji wa watoto wengi hivi kwa Nini mnasema anataka watoto waishi.
8. Dunia ya zamani mpaka kipindi Cha Yesu Kati ya watu 100 wanaokufa 50 walikuwa watoto Ila now ni watatu ndo watoto. Sasa kama shida ni kutoa mimba mbona kipindi ambacho dini ilikuwa inashikwa watoto walikufa Sana kuliko Sasa hivi.
9. Statistics zinaonyesha nchi ambazo zimekataza kutoa mimba ndo zinaongoza kutoa mimba kuliko zilizoruhusu na ndo Zina hasara kubwa kwenye mambo ya afya ya mama na watoto, ukimwi, vifo, watoto wa mtaani n.k wakati nchi zilizoruhusu Zina afya Bora.
Hitimisho: sio kila kitu mnakibeba Kama kilivyo na kukichukulia kama sheria vitu vingine angalieni.

Kumbuka....,a man's sperm and a woman's egg are essential in the creation of a child, they are not a child in and of themselves.

Hata mtu apige puchu kila siku hatuwezi kusema eti anaua watoto,.. Wala Mwanamke akiwa kwenye menstruation hatuwezi kusema anaua watoto.

NB: Haishauriwi kutoa mimba {Sio Sperms wala Ovum} bila sababu za msingi.., mfano sio vizuri kutoa mimba kisa eti huna kipato cha kumlisha mtoto.
 
Back
Top Bottom