Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

Tatizo umekariri sana mzee.... Ishu ya kupambanua mambo haihusiani na masuala ya mikataba.... Ukishajua kipi sahihi na kipi sio sahihi then tayari una freedom ya kuchagua.

Kuhusu choices sio lazima wakupe wazazi wako,... Vitu vingapi tumesoma na kujifunza away from vile ambavyo wazazi wanavijua/ wanataka?

Wewe ulivyokua Mdogo ulifundishwa kwamba Mtu asili yake ni Sokwe,... Now umekua mtu mzima bado unakubaliana na hiyo idea Kwamba mtu alikua Sokwe,..... Hutakiwi kulaumu waliokufundisha bali tunasema hayo ni maamuzi ya mtu mwenye akili timamu amejiamulia mwenyewe!
Nilikuwa siamini mpaka nilivyofanya research mwenyewe. Wewe umebaki na ulichoamini tokea utotoni coz umeaminishwa ukiwa hujielewi
 
Yap, kutokana na upeo wa fikra zako.

Lakini Kila Mwanaume anapenda Mwanamke msikivu na mtiifu,... Kama vile ambavyo kila Mwanamke anapenda Mwanaume anaemjali na kumzingatia kwenye hali zote🤝🏼

Sidhani kama kuna mateso yoyote hapo.
Lakini kwa Nini mmoja anamtii na mwingine anampenda...je Mungu atatunga sheria za kubagua watu ....nitajie kiongozi yeyote wa kike katika nchi za kiislam. Hawaruhusiwi kidini kuongoza wanaume. Je Mungu ataumba viumbe ili vikandamizwe au ni sheria za tamaduni ya watu wa kale
 
Kumbuka....,a man's sperm and a woman's egg are essential in the creation of a child, they are not a child in and of themselves.

Hata mtu apige puchu kila siku hatuwezi kusema eti anaua watoto,.. Wala Mwanamke akiwa kwenye menstruation hatuwezi kusema anaua watoto.

NB: Haishauriwi kutoa mimba {Sio Sperms wala Ovum} bila sababu za msingi.., mfano sio vizuri kutoa mimba kisa eti huna kipato cha kumlisha mtoto.
Kwa Nini hairuhusiwi...kwani mwili wako.
 
Nilikuwa siamini mpaka nilivyofanya research mwenyewe. Wewe umebaki na ulichoamini tokea utotoni coz umeaminishwa ukiwa hujielewi
Hahhh, sasa kama umefanya research inakuaje mpaka leo humjui Ancestor wako ambae according to Evolution Theory, organisms wote tumetokana nae.

Hata fossils zake hujui hata kama zina exist au laa..... Itoshe kusema una Imani Kali sana Mkuu.
 
Lakini kwa Nini mmoja anamtii na mwingine anampenda...je Mungu atatunga sheria za kubagua watu ....nitajie kiongozi yeyote wa kike katika nchi za kiislam. Hawaruhusiwi kidini kuongoza wanaume. Je Mungu ataumba viumbe ili vikandamizwe au ni sheria za tamaduni ya watu wa kale
Mwanaume ana Sifa nyingi za kuwa Kiongozi kwa Mwanamke... Waswahili wanasema Mwanaume ni kichwa Cha familia.

Kwenye nyanja yoyote ile ya maisha,..mkishakua watu wawili na kuendelea basi inapendeza kumchagua Kiongozi kati yenu..... Hivyo kwa Sifa ambazo Wanaume tunazo sisi tumepewa mamlaka ya kuwa viongozi kwenye familia{Yaani, Mwanaume anapaswa kumuongoza Mke wake na Watoto wao kwa ujumla}
Hivyo, kwa akili ya kawaida Kiongozi inabidi atiiwe hususani akiwa anaongoza kwenye mambo yaliyo sawa...

Mwanamke hakandamizwi... Bali kila mtu anawekwa kwenye mahali anapostahili.
 
Kwani we mtu kuwa shoga na transgender unapungukiwa nini
Ushoga na Transgender ni uchafu ..... Yani swali lako ni sawa na kusema "Watu wakitupa uchafu barabarani au wakijisaidia barabarani unapungukiwa nini"

Ndiyo maana huko America& Europe licha ya hizo agenda kupewa support kubwa na Serikali zao pamoja na media lakini Watu wengi Ulaya na Marekani hawaungi mkono hayo masuala,.
 
Huko Ulaya na Marekani wanapinga Uislam, kisha Wana support ishu za Transgender na Ushoga.... Sasa si Bora wangekubali Uislam tu!!
Kule hawapingi uislamu tu. Wanachopinga wao ni matokeo yanayotokana na usilamu.

Waislamu wakivamia nchi yako watazaliana kama panya, watataka sheria za kiislamu ndio zitawale, mara watu wakujitoa muhanga mara kuongezeka kwa matendo ya ubakaji, watataka ardhi kwa lazima na kujenga majengo yao ya ibada na kufunga vipaza sauti vyenye kelele... ivo ndio vitu wao hawataki..

China wao walikaribisha waislamu ila walivoona wanaanza kuingilia tamaduni zao wakaona huo ni use*** sasa. Saiv kuna waislamu wamefungwa mateka.
 
Charles Darwin hajasema ivo bana acha uongo...
Unapingana na ukweli
Mimi na wewe nani anapingana na ukweli.
Lete ushahidi kama Charles Darwin ana support Theory ya Use & Disuse.

Huu ndiyo mtazamo wa Charles Darwin kuhusu Use& Disuse Theory ⤵️

Charles Darwin rejected the idea of the "Use and Disuse" theory, which proposed that the use or disuse of organs or body parts could lead to their inheritance or loss in future generations.
Darwin argued that the inheritance of acquired characteristics, as proposed by Lamarck, was not supported by evidence. Instead, Darwin proposed the theory of natural selection, which suggests that traits that provide an advantage in survival and reproduction are more likely to be passed on to future generations.
 
Hahhh, sasa kama umefanya research inakuaje mpaka leo humjui Ancestor wako ambae according to Evolution Theory, organisms wote tumetokana nae.

Hata fossils zake hujui hata kama zina exist au laa..... Itoshe kusema una Imani Kali sana Mkuu.
Kujua au kutojua doesn't mean the rest is false we usipomjua Babu yako ukamjua baba ako so baba wako naye haexist au...this is illogical we have many pieces of the puzzle. Nyie ndo hamna piece yoyote mnaconclude hoo sijui Adam na Eve haya evidence yenu iko wapi.
 
Ushoga na Transgender ni uchafu ..... Yani swali lako ni sawa na kusema "Watu wakitupa uchafu barabarani au wakijisaidia barabarani unapungukiwa nini"

Ndiyo maana huko America& Europe licha ya hizo agenda kupewa support kubwa na Serikali zao pamoja na media lakini Watu wengi Ulaya na Marekani hawaungi mkono hayo masuala,.
We ushawahi ona mashoga wanafanya mapenzi barabarani. If not ur example is irrelevant. Toa hoja nyingine
 
Mwanaume ana Sifa nyingi za kuwa Kiongozi kwa Mwanamke... Waswahili wanasema Mwanaume ni kichwa Cha familia.

Kwenye nyanja yoyote ile ya maisha,..mkishakua watu wawili na kuendelea basi inapendeza kumchagua Kiongozi kati yenu..... Hivyo kwa Sifa ambazo Wanaume tunazo sisi tumepewa mamlaka ya kuwa viongozi kwenye familia{Yaani, Mwanaume anapaswa kumuongoza Mke wake na Watoto wao kwa ujumla}
Hivyo, kwa akili ya kawaida Kiongozi inabidi atiiwe hususani akiwa anaongoza kwenye mambo yaliyo sawa...

Mwanamke hakandamizwi... Bali kila mtu anawekwa kwenye mahali anapostahili.
Sasa ulichoongea hapo si jamii imeamua hivyo. Na utamaduni wa watu wakale ndo umeweka hizo sheria katika dini zote. Hata ukristo na uyahudi.
 
Kule hawapingi uislamu tu. Wanachopinga wao ni matokeo yanayotokana na usilamu.

Waislamu wakivamia nchi yako watazaliana kama panya, watataka sheria za kiislamu ndio zitawale, mara watu wakujitoa muhanga mara kuongezeka kwa matendo ya ubakaji, watataka ardhi kwa lazima na kujenga majengo yao ya ibada na kufunga vipaza sauti vyenye kelele... ivo ndio vitu wao hawataki..

China wao walikaribisha waislamu ila walivoona wanaanza kuingilia tamaduni zao wakaona huo ni use*** sasa. Saiv kuna waislamu wamefungwa mateka.
Hizo zote ni tuhuma tu, zinazotokana na chuki.

Mfano, ungekua na utu usingefurahia hao Waislam Wenye asili ya kichina kufungwa kama mateka tena kwenye nchi yao kisa Imani Yao tu.

Maana ukiulizwa kosa lao la msingi ni nini,?Bila shaka hujui

NB:- Penda kutendea wenzako kile ambacho utafurahi ukitendewa wewe.
 
Waislamu ndo magaidi, watesaji wanawake na waanzisha mavita yaajabu. Coz dini yenu Ni ya kukandamiza kandamiza tu
 
Kujua au kutojua doesn't mean the rest is false we usipomjua Babu yako ukamjua baba ako so baba wako naye haexist au...this is illogical we have many pieces of the puzzle. Nyie ndo hamna piece yoyote mnaconclude hoo sijui Adam na Eve haya evidence yenu iko wapi.
Kwahiyo Research yako,... Ime conclude vipi kuhusu huyo Ancestor?

Alishawahi kuwepo? Evidence?...... Au ni Imani pofu tu?
 
Mi sijawahi kusema naamini katika ancestry moja. That's non of my concern. My concern is there's more evidence that we came from apes than the Adam n Eve story. Mambo ya first ancestor hayahusiani na haya mawili. Coz story ya Adam na Eve waislamu mmeiba from christians wakristo wameiba kutoka persia kwenye epic of Gilgamesh na wao inafanana na Greek Pandora's box. Ukisoma historia za dini na michango yake mbalimbali utaelewa.
 
Back
Top Bottom