SimbaMpole123
JF-Expert Member
- Apr 23, 2023
- 5,501
- 4,956
Nilikuwa siamini mpaka nilivyofanya research mwenyewe. Wewe umebaki na ulichoamini tokea utotoni coz umeaminishwa ukiwa hujielewiTatizo umekariri sana mzee.... Ishu ya kupambanua mambo haihusiani na masuala ya mikataba.... Ukishajua kipi sahihi na kipi sio sahihi then tayari una freedom ya kuchagua.
Kuhusu choices sio lazima wakupe wazazi wako,... Vitu vingapi tumesoma na kujifunza away from vile ambavyo wazazi wanavijua/ wanataka?
Wewe ulivyokua Mdogo ulifundishwa kwamba Mtu asili yake ni Sokwe,... Now umekua mtu mzima bado unakubaliana na hiyo idea Kwamba mtu alikua Sokwe,..... Hutakiwi kulaumu waliokufundisha bali tunasema hayo ni maamuzi ya mtu mwenye akili timamu amejiamulia mwenyewe!