joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Vip bado mnataka kurudiana na Yanga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee amka ukajitawazeWadau hamjamboni nyote?
Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.
Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.
Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Utabiri umeota mabawa ukaruka !Wadau hamjamboni nyote?
Mimi bado naamini timu ya simba itachukua ubingwa wa ligi kuu ya NBC Tanzania
Najua wengi hamuamini lakini kumbukeni kuwa imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo na bayana ya mambo yasiyoonekana.
Kumbukeni pia kizazi cha miujiza bado hakijapotea hivyo yanga wanakwenda kupoteza mechi 3 na kusuluhu zilizobaki huku Simba wakishinda mechi zote zilizosalia.
Kila la kheri Wana Simba muwe na furaha, utulivu na amani
Muda umeongea wa wajinga, mwelevu upoo?Hahahahaha,Tanzania ina wajinga wengi sana ujue
Hahahahaha..umeona umbumbumbu na ujinga wao watanzania km wamleta mada...huwa nacheka nikisoma ujinga wa watanzaniaMuda umeongea na wajinga mwelevu upoo?
Hivi na wewe ulikuwa unaamini porojo za yule mvuta bangi Yericko?Kama TFF wakinyamazia makosa ya usajili na uchezeshaji wachezaji batili wa vyura itakuwa sahihi.
Hahahahaha..simba ni watu wakuamini tu..wafuatilie vzr humu hadi nje ya humuHivi na wewe ulikuwa unaamini porojo za yule mvuta bangi Yericko?
Umeshaongea tayari.Muda utaongea!
Apostle, naona muujiza ulikugomea.Wadau hamjamboni nyote?