Naanda mashtaka ya kumtimua Mh Lema Chamani.

Baadaye mumtimue na Wenje.
 
Unaanika ujinga wako tu hapa...

Maana hujui kuwa chama kipo kwenye kampeni za uchaguzi na hivyo kila mgombea anapigwa spana za kutosha...

Jana Hezekiah Wenje, alikwenda amelewa na kumwaga uharo wa kutosha dhidi ya viongozi haohao unaodhani unawatetea..

Nenda kwanza kajifukuze mwenyewe...
 
Mtu wa Canada huyo
 
Haya mtimueni maana wafuasi wa Yuda mmeshapoteana
 
Hujaeleza kosa lake liko wapi. Umeandika uchafu. Timu Mbowe utawajua tu, hawana hoja. Wanaweweseka
 
Hujaeleza kosa lake liko wapi. Umeandika uchafu. Timu Mbowe utawajua tu, hawana hoja. Wanaweweseka
1. Kukibagaza chama
2. Kuwachafua viongozi wakuu wa kitaifa.
3. Kuongea hovyo hovyo kama kiongozi mwandamizi wakati yeye ni mjumbe wa tawi tu.
 
1. Kukibagaza chama
2. Kuwachafua viongozi wakuu wa kitaifa.
3. Kuongea hovyo hovyo kama kiongozi mwandamizi wakati yeye ni mjumbe wa tawi tu.
Mbona huoni Ezekiel Wenje anachokifanya.? Ni sahihi? You are taking this personal!!
 
Mbona huoni Ezekiel Wenje anachokifanya.? Ni sahihi? You are taking this personal!!
Nimesema Wenje mamlaka yake ya nidhamu ipo Kanda ya Serengeti.

Chama chetu ni chama kinachofuata taratibu,kanuni na Sheria.
 
Wito wa kuhudhuria kikao cha mashtaka umemfikia mhusika.
 
Mtajuana Wenyewe sisi CCM tunarekodi Kila sentenso 😂😂
 
Hujaeleweka kumuunga mkono Lissu ni kosa!?Mtafukuzana Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…