Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama wanachemsha,wachekewe tuu!Safi Lema.Kumuunga mkono Lissu si kosa hata kidogo.Kukibagaza chama na viongozi wake wakuu ni kosa kubwa sana.
Mchungaji Msigwa ndio msaidizi wake maalumu 😄Tyson muda wote anasinzia atarekodi labda katika ndoto.
Mkuu unaona cdm ni kama Republican nini? Yaani mtu kuwa mjumbe wa kamati ya cdm unaona kawa superior sana, au asipokuwa mjumbe wa kamati kuu anakuwa kapoteza nini?Unajua Mheshimiwa Lema hajui yeye ni Mwanachama wa kawaida level ya Tawi,bado anafikiri ni mjumbe wa kamati kuu taifa.
You're too Naive.Heshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama.
Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema hakugombea nafasi hii kubwa na nyeti ambayo ilimwezesha kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.
Mheshimiwa Lema sasa ni Mwanachama wa kawaida sana mamlaka yake ya nidhamu ni Tawi ambalo Mimi ni Katibu wake.
Tumemwona Lema kupitia vyombo mbali mbali vya chama akikibagaza chama chetu na kuwabagaza Viongozi wakuu.
Shughuli ya kumtimua Lema ipo ngazi ya Tawi si wilaya,Mkoa,Kanda wala Taifa.
Ngongo kwasasa Lemara.
Ww ndio unafanya Team Mbowe tuonekane hamnazoHeshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama.
Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema hakugombea nafasi hii kubwa na nyeti ambayo ilimwezesha kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.
Mheshimiwa Lema sasa ni Mwanachama wa kawaida sana mamlaka yake ya nidhamu ni Tawi ambalo Mimi ni Katibu wake.
Tumemwona Lema kupitia vyombo mbali mbali vya chama akikibagaza chama chetu na kuwabagaza Viongozi wakuu.
Shughuli ya kumtimua Lema ipo ngazi ya Tawi si wilaya,Mkoa,Kanda wala Taifa.
Ngongo kwasasa Lemara.
Tyson muda wote anasinzia atarekodi labda katika ndoto.
Safi sana. Mtimueni kama Shinyanga walivyomgimua Ntobi.Heshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama.
Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema hakugombea nafasi hii kubwa na nyeti ambayo ilimwezesha kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.
Mheshimiwa Lema sasa ni Mwanachama wa kawaida sana mamlaka yake ya nidhamu ni Tawi ambalo Mimi ni Katibu wake.
Tumemwona Lema kupitia vyombo mbali mbali vya chama akikibagaza chama chetu na kuwabagaza Viongozi wakuu.
Shughuli ya kumtimua Lema ipo ngazi ya Tawi si wilaya,Mkoa,Kanda wala Taifa.
Ngongo kwasasa Lemara.
Umewahi kumwona Mch kasoma miezi miwili ?.Mchungaji Msigwa ndio msaidizi wake maalumu 😄
Ni kweli Lema kakosa staha na kajiharibia mwenyewe. Kuna mambo ya kusema hadharani na kuna mambo ya kusema kwenye vikao. Pamoja na kwamba naunga mkono Mbowe apumzike lakini nasema Lema hana adabu!Acheni udikteta uchwara. Mnataka nyie muwe na mawazo sawa kama visahani?
Yaani wewe mfungulia maji machafu kwenye bwawa la Lemara ndo wa kumtoa uanachama Lema?! Aisee?Heshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama.
Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema hakugombea nafasi hii kubwa na nyeti ambayo ilimwezesha kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.
Mheshimiwa Lema sasa ni Mwanachama wa kawaida sana mamlaka yake ya nidhamu ni Tawi ambalo Mimi ni Katibu wake.
Tumemwona Lema kupitia vyombo mbali mbali vya chama akikibagaza chama chetu na kuwabagaza Viongozi wakuu.
Shughuli ya kumtimua Lema ipo ngazi ya Tawi si wilaya,Mkoa,Kanda wala Taifa.
Ngongo kwasasa Lemara.
Hahahaaaa, mimi nadhani Ngongo ametumia aina ya uandishi unaitwa 'Satire'Hiyo njaa yako inakutoa akili kabisa kwani akitoka Chadema atakosa oxygen, eti nyie ndiyo washauri wa Sultan Mbowe, bure kabisa.
Mkuu NgongoMamlaka ya nidhamu ya Lema ni Tawi.
Timu Dj wepesi kama pamba, kazi kulialia jf kila sikuHeshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama.
Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema hakugombea nafasi hii kubwa na nyeti ambayo ilimwezesha kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.
Mheshimiwa Lema sasa ni Mwanachama wa kawaida sana mamlaka yake ya nidhamu ni Tawi ambalo Mimi ni Katibu wake.
Tumemwona Lema kupitia vyombo mbali mbali vya chama akikibagaza chama chetu na kuwabagaza Viongozi wakuu.
Shughuli ya kumtimua Lema ipo ngazi ya Tawi si wilaya,Mkoa,Kanda wala Taifa.
Ngongo kwasasa Lemara.
Namfahamu mchungaji Msigwa tangu nikiwa The Highlands sec school na ametuuzia sana Cadet za Shule na Salim ASASUmewahi kumwona Mch kasoma miezi miwili ?.
Msigwa hajawahi kubeba Bible au Msalaba na kutembea hadharani lakini vipande vya fedha vilimfanye abebe picha ya Mama Abdul.
Usisahau Msigwa alipewa nguo za misaada badala ya kugawa akafungua duka na kuanza kuuza.
Msigwa kaenda CCM kutafuta hela huo muda wa kurekodi atautoa wapi ?.
Kuna jipya lipi kwenye hiyo mikutano zaidi ya kupotezeana muda?Mikutano ya Tawi itamhusu.