Kwa hiyo tukusaidie nini?Tuliza mshono Lema kwisha habari yake.
Chama kitabaki na wajinga tu na hakuna mtanzania anayeweza kuunga mkono kikundi cha wahuni mbowe na genge lake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo tukusaidie nini?Tuliza mshono Lema kwisha habari yake.
Kwani huyu ni "me"!!??Wanaume wengine ni wa hovyo sana.
Mfano Ngongo.
Sasa si akavute oxygen huko ulaya aachane na ya arusha iliyo chafuHiyo njaa yako inakutoa akili kabisa kwani akitoka Chadema atakosa oxygen, eti nyie ndiyo washauri wa Sultan Mbowe, bure kabisa.
TimuaaaMamlaka ya nidhamu ya Lema ni Tawi.
🤣 🤣 🤣Heshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama.
Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema hakugombea nafasi hii kubwa na nyeti ambayo ilimwezesha kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.
Mheshimiwa Lema sasa ni Mwanachama wa kawaida sana mamlaka yake ya nidhamu ni Tawi ambalo Mimi ni Katibu wake.
Tumemwona Lema kupitia vyombo mbali mbali vya chama akikibagaza chama chetu na kuwabagaza Viongozi wakuu.
Shughuli ya kumtimua Lema ipo ngazi ya Tawi si wilaya,Mkoa,Kanda wala Taifa.
Ngongo kwasasa Lemara.
🤣 🤣 🤣Mheshimiwa Lema atapatiwa mashtaka yake na atapewa nafasi ya kujitetea na ataruhusiwa kuambatana na mawakili wasiozidi 5.
We ni mpumbavu na hujitambui,Heshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama.
Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema hakugombea nafasi hii kubwa na nyeti ambayo ilimwezesha kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.
Mheshimiwa Lema sasa ni Mwanachama wa kawaida sana mamlaka yake ya nidhamu ni Tawi ambalo Mimi ni Katibu wake.
Tumemwona Lema kupitia vyombo mbali mbali vya chama akikibagaza chama chetu na kuwabagaza Viongozi wakuu.
Shughuli ya kumtimua Lema ipo ngazi ya Tawi si wilaya,Mkoa,Kanda wala Taifa.
Ngongo kwasasa Lemara.
Nakubaliana nawe, timueni mpuuzi yule arudi tlp.Unajua Mheshimiwa Lema hajui yeye ni Mwanachama wa kawaida level ya Tawi,bado anafikiri ni mjumbe wa kamati kuu taifa.
Safi sanaDawa ni kumtimua tu,lazima niitendee haki nafasi yangu ya Katibu wa Tawi.
DemocracyHeshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama.
Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema hakugombea nafasi hii kubwa na nyeti ambayo ilimwezesha kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.
Mheshimiwa Lema sasa ni Mwanachama wa kawaida sana mamlaka yake ya nidhamu ni Tawi ambalo Mimi ni Katibu wake.
Tumemwona Lema kupitia vyombo mbali mbali vya chama akikibagaza chama chetu na kuwabagaza Viongozi wakuu.
Shughuli ya kumtimua Lema ipo ngazi ya Tawi si wilaya,Mkoa,Kanda wala Taifa.
Ngongo kwasasa Lemara.
Failure of Tundu Lisu, makamu mwenyekiti ndio mamlaka ya nidhamu kikatiba Chadema.Kisa hana mawazo sawa na nyie?
Hakuna chama bila nidhamu.Tulia acha ushukunuku, chama bado kichanga kinajitafuta. Ukianza kutimuatimua wanachama utakibomoa chama, chama bado hakijakomaa mizizi yake kama ccm yenye wanachama wengi kiasi kwamba hata ufukuze mkoa mzima haipungukiwi
Kunywa maji baridi punguza munkari utapata magonjwa yasiyotibika bure dogo.Sasa si akavute oxygen huko ulaya aachane na ya arusha iliyo chafu
Naona chawa wa mbowe ulijitahidi kujificha lakini ushajiweka wazi Kwa sasaLengo la Waropokaji wengi ni hilo, Lakini Chadema haitoingia kwenye huo mtego
Kwahiyo unatuandikia sisi tukusaidie nini!? Peleka njaa zako huko.Heshima kwenu Wanajamvi,