Chief Mwigendya
Senior Member
- Nov 28, 2024
- 172
- 136
Utakuwa umetumwa wewe sio bure.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuchukua hatu ni lazima uje huku?Heshima kwenu Wanajamvi,
Mimi kama Katibu wa Tawi la Lemara CDM,Wilaya ya Arusha.
Naandaa mashtaka ya kumtimua Lema katika Chama chetu kwasababu ya kukiuka taratibu,kanuni na miongozo ya chama.
Mh Lema alikuwa mjumbe wa kamati kuu kupitia nafasi yake ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini.Mh Lema hakugombea nafasi hii kubwa na nyeti ambayo ilimwezesha kuwa mjumbe wa Kamati Kuu.
Mheshimiwa Lema sasa ni Mwanachama wa kawaida sana mamlaka yake ya nidhamu ni Tawi ambalo Mimi ni Katibu wake.
Tumemwona Lema kupitia vyombo mbali mbali vya chama akikibagaza chama chetu na kuwabagaza Viongozi wakuu.
Shughuli ya kumtimua Lema ipo ngazi ya Tawi si wilaya,Mkoa,Kanda wala Taifa.
Ngongo kwasasa Lemara.
Chama chenu hakina nidhamu kabisa.Unajua Mheshimiwa Lema hajui yeye ni Mwanachama wa kawaida level ya Tawi,bado anafikiri ni mjumbe wa kamati kuu taifa.
nidhamu ipo, ila chama bado kichanga, kikikua wataacha hayo. Wafanye tu uchaguzi wao waingie next level of disciplineHakuna chama bila nidhamu.