Naanda mashtaka ya kumtimua Mh Lema Chamani.

Unajua Mheshimiwa Lema hajui yeye ni Mwanachama wa kawaida level ya Tawi,bado anafikiri ni mjumbe wa kamati kuu taifa.
Mkuu unaona cdm ni kama Republican nini? Yaani mtu kuwa mjumbe wa kamati ya cdm unaona kawa superior sana, au asipokuwa mjumbe wa kamati kuu anakuwa kapoteza nini?
 
You're too Naive.
 
Ww ndio unafanya Team Mbowe tuonekane hamnazo
 
Safi sana. Mtimueni kama Shinyanga walivyomgimua Ntobi.
 
Safi sana katibu, ni muda wa kukisafisha chama!!
 
Mchungaji Msigwa ndio msaidizi wake maalumu πŸ˜„
Umewahi kumwona Mch kasoma miezi miwili ?.
Msigwa hajawahi kubeba Bible au Msalaba na kutembea hadharani lakini vipande vya fedha vilimfanye abebe picha ya Mama Abdul.

Usisahau Msigwa alipewa nguo za misaada badala ya kugawa akafungua duka na kuanza kuuza.

Msigwa kaenda CCM kutafuta hela huo muda wa kurekodi atautoa wapi ?.
 
Acheni udikteta uchwara. Mnataka nyie muwe na mawazo sawa kama visahani?
Ni kweli Lema kakosa staha na kajiharibia mwenyewe. Kuna mambo ya kusema hadharani na kuna mambo ya kusema kwenye vikao. Pamoja na kwamba naunga mkono Mbowe apumzike lakini nasema Lema hana adabu!
 
Mkuu unaona cdm ni kama Republican nini? Yaani mtu kuwa mjumbe wa kamati ya cdm unaona kawa superior sana, au asipokuwa mjumbe wa kamati kuu anakuwa kapoteza nini?
Mikutano ya Tawi itamhusu.
 
Yaani wewe mfungulia maji machafu kwenye bwawa la Lemara ndo wa kumtoa uanachama Lema?! Aisee?
 
Hiyo njaa yako inakutoa akili kabisa kwani akitoka Chadema atakosa oxygen, eti nyie ndiyo washauri wa Sultan Mbowe, bure kabisa.
Hahahaaaa, mimi nadhani Ngongo ametumia aina ya uandishi unaitwa 'Satire'
 
Timu Dj wepesi kama pamba, kazi kulialia jf kila siku
 
Namfahamu mchungaji Msigwa tangu nikiwa The Highlands sec school na ametuuzia sana Cadet za Shule na Salim ASAS

Alijulukana kama " Wagada"

Mchungaji Msigwa ni fighter ndio sababu Mshauri mkuu wa CCM amemsajili πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…