Naanda mashtaka ya kumtimua Mh Lema Chamani.

🤣 🤣 🤣
 
We ni mpumbavu na hujitambui,
 
Unajua Mheshimiwa Lema hajui yeye ni Mwanachama wa kawaida level ya Tawi,bado anafikiri ni mjumbe wa kamati kuu taifa.
Nakubaliana nawe, timueni mpuuzi yule arudi tlp.
 
Nakuunga mkono, kama kuna mchango wa kikao ntachangia nauli za wajumbe wote na chakula
 
Democracy
Kufukuzwa kwa Lema au Lisu ni tofauti na kufukuzwa Ngongo. Lema na Lisu wakifukuzwa chama kinaweza kuwa kama TLP. Ukifukuzwa wewe haibidiriki chembe.
 
Tulia acha ushukunuku, chama bado kichanga kinajitafuta. Ukianza kutimuatimua wanachama utakibomoa chama, chama bado hakijakomaa mizizi yake kama ccm yenye wanachama wengi kiasi kwamba hata ufukuze mkoa mzima haipungukiwi
 
Hakuna chama bila nidhamu.
 
Kwahiyo unatuandikia sisi tukusaidie nini!? Peleka njaa zako huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…