Naandika haya kwa uchungu sana

Nilifikiri labda unauzoefu japo kidogo na ndoa kumbe ni zero. Nina miaka sio chini ya 16 kwenye ndoa, sasa umepewa ubalozi wa nyumba kumi hapa jf ndio uulete kwenye ndoa zetu? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kijana acha kabisa wewe hata bado hujaacha kunuka maziwa.
 
Kwani hao wanawake mnaowana ni hatari kwenu, magari yenyewe sio hatari? Maana watu wengi wamenunua magari na wamepata ajali wamekufa.
 
This is why situmii JF often, ukisema tu uko under 25 basi kila mtu atajiona anajua zaidi yako na kupotezea ulichoandika no matter how critical. Inavyoonekana humu kumejaa wazee waliopigika kila kona ya maisha. Toka humu nenda YouTube utakuta Black Pillers, Blue Pillers na Red Pillers na watu unaolingana nao umri dunia nzima. Anza na jamaa anaitwa Hamza.

Hii community ni for boomers na desperates. Get out.

Either way, kazi ni kupiga vitoto vya watu na kupotea, hakuna kitu kinaitwa mapenzi kama uko under 30.
 
Dogo mbona umepanic kwa shida wanazopitia wenzio. Tulia yakukute.
Uwe na first hand experience ndo uje ushauri watu.
Nnachoweza kukushauri ni uachane na wanawake unaowataka wewe, uwezo wa kuwa nao huna.
Tafuta binti wa kawaida ambae tayari anakupenda utulie nae, akizingua tafuta tena wa hivyo hivyo. Ukizaa zaa na wa hivyo hivyo hivyo na siku ukioa uoe wa hivyo hovyo.
 

Wazazi wako wangekataa ndoa usingekuwepo kuandika hii thread. Ndoa ni tombola, you either get a wrong and terrible wife hapo lazima utajuta kuoa lakini ukipata the right woman nawe ukawa ni mume sahihi kwake utaamini ya kuwa you're the happiest man on earth.
20yrs plus ndani ya ndoa na mpaka leo huwa nafurahia choice/bahati yangu.
 
Wee wasikudanganye wandu wa jf. Wanawake ni watamu sana ukijua kuwa mbususu zao huwezi kumiliki bali ni muda wako tuu wakuisasambua
 
Chukua mwanamke anayekupenda wala si UMPENDAYE.....
Ukikuwa utaelewa....
Na mwisho pole sana...WANAUME TUMEUMBIWA MATESO......
 
hayo ni mawazo ya kitoto ukikua utayaacha
 
Bado ujakomaaa ukikomaa utakuja na walaka mwingine 🀣🀣🀣🀣
 
Wewe na hao nduguzo unaowapenda mimba zenu zilibebwa na wanaume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…