Naandika haya kwa uchungu sana

Naandika haya kwa uchungu sana

Unfortunately…

Hai guarantee hilo, Ndio maana kuna walioolewa wanatoka nje kwaajili ya hilo tu sababu ndani hawalipati.

Kila mtu ana sababu yake ya kupenda ndoa, yangu ni “companionship” na kujua “here is where i belong” na kuwekwa na mtu mmoja ikiwa “itawezekana”
Thank you.
 
Habari wakuu hope ni wazima wa afya, pasi na kupoteza muda ni ende kwenye mada.

Ewe kijana wa kiume kama unataka kuishi maisha ya furaha, Raha, amani, na maisha marefu Kaa mbali na viumbe wanaoitwa Wanawake.

Kama unataka mafanikio ewe mwanaume kataa ndoa, Wanawake ni matapel, wanawake hawafai, wanawake ni wabinafsi sana.

Ee Kijana wa kiume zingatia haya:

📌 Hakikisha unapenda wazazi wako na ndugu zako wa kuzaliwa

📌 Hakikisha una marafiki wachache wazuri

📌 Hakikisha una uhakika wa chakula mezani

Kwa kufanya hayo utaishi maisha marefu ya Raha na furaha.

Mm badi ni Kijana mdogo sana nipo below 24, lakini kwa jinsi watu wanavyo post nyuzo mbalimbali juu ya wanawake
Nimejifunza kama mwanauma anataka awe na furaha basi awe mbali na Hawa viumbe wanawake

😡😡 Kataa ndoa, chukua ndoa,😡😡
Ushapigwa tukio jipe muda akili itakaa sawa
 
24yrs maisha yameshakushinda? Mzee utatoboa 30 kweli?
 
24 ?
 
Yaani inaonekana Bado upo porini sana.wadada wazuri kiasi hiki wanaoipamba Dunia Kisha unatushauri tukaenao mbali,ushauri wapekee ni kuwa pambana sana upate pesa wanawake wazuri wasiokuwa na shaka wapo Kila eneo la nchi hii.
 
Back
Top Bottom