Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Ni mnafiki tayari. Kwanini umtetee muuaji eti kwa vile kuna wauaji wengine. Nitajie mwana CCM mwingine aliyeua na kudhulumu watu kama Makonda
Mwaka 1974 Mzee Nyerere aliwashughulikia kina Peter Siyovelwa, Emilio Mzee na Peter Kisumo ambao walikuwa ni maafisa waandamizi wa vyombo vya usalama kwasababu alikuwa na MORAL HIGH GROUND.

Mtu ambaye anafukuza maelfu ya watu kwenye makazi yao ambayo wamekaa zaidi ya miaka 300 na kuwapa waarabu wawinde sungura hawezi kumwajibisha dhulumati mwenzake. Acha mzaha wewe.

Hii hapa orodha fupi ya wauaji, watekaji na madhulumati ya kimataifa:
Nchimbi, Mwinyi, Samia, Jakaya, Mkapa, Kinana, Magufuli, Makamba, Chenge, Lowassa, Rostam, Dewji, Zungu, Nape, Membe, GSM (The List Goes On). Haya yameua, yameteka na kudhulumu watanzania mpaka leo hii nchi ni masikini.

Ukitaka nitaje mambanga yao binafsi, BE MY GUEST. Lakini fahamu lazima tutatafutana.​
 
Kazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…