Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo Makonda hachafuliwi, bali ni mchafu, Lowassa kwenda cdm haimaanishi alikuwa kiongozi msafi, bali ni ujinga wa uongozi wa cdm kumpokea kwa kujali kupata mgombea maarufu, na sio mgombea sahihi.Vyovyote itakavyokuwa...
Ninachotetea hapa tusichafue watu kwa chuki zetu bila hoja za msingi...
Kwamba baada ya 2030 nn kitatokea?
Mtampa sumu msingizie karma?
Mfumo wetu wa kutoa haki una udhaifu wa wazi. Huyo Makonda mwenyewe amekuwa akisema ni ngumu kupata haki kwenye hizi mahakama zetu.Sipendi UNAFIKI, huko CCM nani hana tuhuma za uuaji, dhuluma na utesaji ?
Halafu kiongozi akiwa muuaji, mdhulumaji na mtesaji si anapelekwa mahakamani ?
Makonda mwenyewe alikuwa anakiri hadharani kuwa huwezi kupata haki mahakamani, sasa uumpeleke ukitegemea kupata nini?Ulipeleka mahakamani hizi tuhuma?
Au ndiyo kawaida ya nyumbu kuimba kila aina ya wimbo anaoimba Dj
Hakuna nguvu ya umma Tanzania, maana kama ni nguvu ya umma, bado huyo Makonda alishiriki kuiondoa chini ya utawala wa Magufuli. Labda useme nguvu ya kikanda, lakini sio ya umma.Nyie wauza danga msituletee uhuni wenu. Makonda atapatikana tu salama. Msifikiri mtaweza kuteka dola milele. Makonda hana cha kuomba radhi kwa yeyote. Mkitoa damu yake ystawakuta yaleyale. Nguvu ya umma haishindwi kitu.
Unamshitaki vipi Makonda kwa uhalifu aliofanya kwa backup ya huyo Magufuli? Huyo Sabaya unayemtaja kwenye baadhi ya post zako, si hata huko mahakamani alisema wazi alichokuwa anafanya alitumwa na kiongozi aliyetangulia mbele ya haki?Ni mfumo upi unamlinda Makonda?
Kipindi Magufuli yupo mlisema yeye ndio anamlinda, sasa hivi nani anamlinda?
Kwamba mamlaka hazijaamua kukusanya ushahidi na kwanini?
Halafu una umri gani wa kuniita dogo?
Hizo sumu ndio karma zenyewe. Njia alizotumia kwa wengine, wahuni wenzake nao wanatumia hizo hizo.Acheni unafiki..
Mnaua watu kisa mnaogopa kuharibiwa ugali, hamna uzalendo wowote kwa taifa hili...
Kama mna uhakika alitenda ubaya sumu za nini?
Kwanini msisubiri karma ifanye kaz?
Duh...!Ushauri kwako Makonda kunusuru maisha yako na familia yako!
Hama Nchi Kwa Muda
Kuna Mawili
- Kuna Kupoteza maisha
Pia salimisha ile bastora umiliki wake haujahakikiwa
Britanicca
Karma ndo hii walimwengu wanataka kumdedishaAcheni unafiki..
Mnaua watu kisa mnaogopa kuharibiwa ugali, hamna uzalendo wowote kwa taifa hili...
Kama mna uhakika alitenda ubaya sumu za nini?
Kwanini msisubiri karma ifanye kaz?
Sioni kama kuna namna Makonda anaweza kubaki salamaDamu ya Manji inamtesa.
Mnafikiri Kikwete alijuwana na baba'ke manji bure bure? Mpaka afikie hatua ya "golo" kuwachiwa awe mlezi wake?
Ukoo wa Manji upo kwenye system zamani sana, Makonda na mwendazake hawakulijuwa hilo?
Doh sio nyinyi mnaosema kila siku Samia amekuja kuwaponya majereha ya utawala wa Magufuli...Unamshitaki vipi Makonda kwa uhalifu aliofanya kwa backup ya huyo Magufuli? Huyo Sabaya unayemtaja kwenye baadhi ya post zako, si hata huko mahakamani alisema wazi alichokuwa anafanya alitumwa na kiongozi aliyetangulia mbele ya haki?
Mamlaka sio ndio juzi zimesema alitumia madaraka vibaya, ama unajitoa ufahamu? Na hata hivyo hizo mamlaka bado hazijaamua kuchukua hatua vyema kwa kuhofia sehemu ya ushahidi wake kulenga moja kwa moja backup ya utawala uliopita. Yaani ikitokea utawala ukabadilika na kuaamua kupitia nini Makonda alifanya chini ya utawala wa Magufuli, ushahidi upo wazi.
lakin netanyahu anaenda ulaya marekani na uarabuni kwenyewe dunia haiko fair sanaHawezi kuingia nchi za ulaya marekani alipigwa marufuku kwa kudhurumu watu haki ya kuishi
Samia sio katili wala mlevi wa madaraka kama alivyokuwa Magufuli, huo ndio ukweli. Yeye ni laghai na tapeli kama walaghai wengine.Doh sio nyinyi mnaosema kila siku Samia amekuja kuwaponya majereha ya utawala wa Magufuli...
Kama Makonda alikua jeraha kwanini lisiponywe kwa yeye kushitakiwa?
Hueleweki mkuu...Samia sio katili wala mlevi wa madaraka kama alivyokuwa Magufuli, huo ndio ukweli. Yeye ni laghai na tapeli kama walaghai wengine.
Makonda atashitakiwa tu iwapo ccm itaacha mtindo wa kulindana, lakini uhalifu wake uko wazi.
Unadhani nikisema mama Samia sio katili ni ishara kuwa namkubali? Sina popote namkubali huyo mama kiutendaji, lakini sio dhalimu kama Magufuli. Huyo Makonda ni baadhi ya watu waliofaidika na siasa chafu za Magufuli, na kama kweli amelishwa sumu itakuwa ni jambo la kupongeza sana, kwani analipwa uhayawani aliokuwa anaona sifa kuwafanyia wakosoaji wa Magufuli. Kwahiyo kama unamkubali huyo Samia, mkubali kimpango wako.Hueleweki mkuu...
Hili ndio tatizo la kua compromised, utashindwa kuelewa hata adui yako nani!
.
Na hapa ndio hua namsifu Raisi Samia.
Hapana haja kushitakiwa kwa nini akajaze vyoo huko magerezani,kizazi cha uovu ni kukiangamiza mapema kabla hakilijaza taifa, Kama sio sasa amini ipo siku neno TANZIA litahusika na litabarikiwa kwa mikono miwili.Doh sio nyinyi mnaosema kila siku Samia amekuja kuwaponya majereha ya utawala wa Magufuli...
Kama Makonda alikua jeraha kwanini lisiponywe kwa yeye kushitakiwa?
Hahaha sawa sawa bwana TindoUnadhani nikisema mama Samia sio katili ni ishara kuwa namkubali? Sina popote namkubali huyo mama kiutendaji, lakini sio dhalimu kama Magufuli. Huyo Makonda ni baadhi ya watu waliofaidika na siasa chafu za Magufuli, na kama kweli amelishwa sumu itakuwa ni jambo la kupongeza sana, kwani analipwa uhayawani aliokuwa anaona sifa kuwafanyia wakosoaji wa Magufuli. Kwahiyo kama unamkubali huyo Samia, mkubali kimpango wako.