Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Huwezi kupanda bangi,ukavuna mchicha,Wacha avune alichokipanda,nashangaa watu wanamuonea huruma,hivi tumesahau alichowafanya wale vijana wa shilawadu!!
He used to https://jamii.app/JFUserGuide people around,now it's time for him to be fucked over again and again
 
Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana !
Zamani nilikuwa napenda sana comments zako. Naona bado bado ukogo vile vile ni mwana democrasia haswa.

Nilivyoendelea kukuwa nikajua wapuuzi tunao wapigia kelele na kuwa pigani humu mitandaoni na mitaani kumbe wanakula sahani moja na upande wa pili. Staki tena haya mambo ni ya kujiumiza bure bora nibaki katikati.

Sisi tunapiga kelele wao wanajali matumbo yao na familiya yao.

Ukiendelea kukua kuna siku utajua hiki nilichokiandika.
 
You're absolutely right. Huyo jamaa hata mimi nimemuona hana tofauti na walamba viatu walioko UVCCM. Tofauti yao ni platforms wanazotumia tu. Ila wote wanafanya upuuzi mmoja tu
 
Karma is a bitch......
Kila mtenda hutendwa.
Nguvu na mamlaka ni vya Muumba pekee. Sisi binadamu huwa tunajidanganya tu.

Kiko wapi leo, mla raha kuliko yeyote Tanzania hii anajiliza mitandaoni. Kusahau kuna watu aliwatesa kisaikolojia mpaka wakapoteza uhai, achilia mbali aliowatesa physically kabisa.
 
Naona na wewe kati ya yale makundi alietaja makonda kama upo hivi
 

Akimbilie North Korea au China akapate asylum.
 
Mku huu ushauri ni mzuri sana.
Ila kubwa zaidi awaombe Watanzania Msamaha huu utamsaidia sana kwani tulio na huruma ni wengi.
Aombe msamaha kama aliowahi kuomba Rais Moi hili asipolifanya ninaamini atakuja kujutia wakati huo yuko Jela au la japokuwa simwombei hili limkute kabisa kwani ameshajifunza kuendana na mazingira au anayoyapitia aliyekuwa Mku wa Wilaya ya Hai
 
Hata mm nilikuwa najiuliza kwann Ids ni zilezile kwa mambo yale yale?...Toka 2016 nijiunge rasmi humu ndani. Watu wanalipwa kumpambania mtu mtandaoni
 
Hapo ndipo tulipofikia kama nchi Mkuu !! Na tabia hizi za kijuha zimeshamiri zaidi kuanzia awamu ya NNE !! Hapo ndipo Nchi ilipoanza kupoteza dira na maadili yaliyokuwepo !! Kutesa watu kisaikolojia ndio ikawa silaha yao kuu kwa wale waliotofautiana nao kisiasa !! Kwahiyo huu ni muendelezo tu na sijui utaishaje !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…