Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

Naandika nikijua hasa nini kinaendelea. Makonda fanya haya usidhurike

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
16,295
Reaction score
33,994
Ushauri kwako Makonda kunusuru maisha yako na familia yako!

Hama Nchi Kwa Muda watu uliowatesa ni wengi ila kwakuwa tumeambiwa samehe 7 mara 70 tumeshasamehe ila Kwa Usalama wako zaidi hamia Kwa Mkeo ukweni Rwanda Au Nenda Ulaya Kasome hata Miaka minne utarudi Tanzania hasira za wengi zikiwa zimetulia,


Kuna Mawili
- Kuna Kupoteza maisha kutoka Kwa hao watesi

- Au Kuna kufungwa Kabisa maana wapo wenye vielelezo vyote juu yako!

Najua a safari yako ya Kwenda ufaransa ilifeli Kwa kutokana na kigezo ulichoombea asylum haitafutwi hivyo!

Kuna mtu mmekaa wote kwenye gari Masaa 4 mbezi beach alitumwa Kwa kazi maalumu kukushauri baadhi ya mambo kuhusu wewe na Jamaa wa VX na wanachama wa mambo fulani ukaonekana kuogopa ila alivyoondoka ukashupaza shingo tena!

Mifumo Duniani kote ipo hata Kama Serikali ipo.

Nakusihi tena usisahau kufuatilia hayo mambo ama by December 2023 tutakuja kusema habari nyingine Mdogo wangu ! Anza maisha upya nchi yeyote

Ukifika huko wala usihangaike nao uwawezi tena kwakuwa huna cheo!

Pia salimisha ile bastora umiliki wake haujahakikiwa


Britanicca
 
We suffer more often in imagination than in reality - Seneca

Ifike mahali kama nchi tujaribu kukomaa na kuachana na hizi siasa mufilisi za kuviziana na kukomoana kama tuko Sicily au Colombia. Paul Makonda amefanya makosa mengi sana na ambayo yana ushahidi, hivyo apelekwe mahakamani ili liwe fundisho kwa wengine.

Kutishia kumuua au kumtesa kisaiokolojia bila kufuata sheria ni kutengeneza tatizo jingine kubwa zaidi siku za mbeleni. Serikali isitumie rasilimali zake katika kufanikisha michezo kama hii ambayo haina manufaa kwa nchi.
 
We suffer more often in imagination than in reality - Seneca

Ifike mahali kama nchi tujaribu kukomaa na kuachana na hizi siasa mufilisi za kuviziana na kukomoana kama tuko Sicily au Colombia. Paul Makonda amefanya makosa mengi sana na ambayo yana ushahidi...
Jamaa hawataki Kwenda Mahakama wanataka bargain ya vichochoroni Kama ile alomfanyia Yule Tajiri anayetweet sana
 
We suffer more often in imagination than in reality - Seneca

Ifike mahali kama nchi tujaribu kukomaa na kuachana na hizi siasa mufilisi za kuviziana na kukomoana kama tuko Sicily au Colombia. Paul Makonda amefanya makosa mengi sana na ambayo yana ushahidi, hivyo apelekwe mahakamani ili liwe fundisho kwa wengine. Kutishia kumuua au kumtesa kisaiokolojia bila kufuata sheria ni kutengeneza tatizo jingine kubwa zaidi siku za mbeleni. Serikali isitumie rasilimali zake katika kufanikisha michezo kama hii ambayo haina manufaa kwa nchi.
Nakuunga mkono
 
Jamaa hawataki Kwenda Mahakama wanataka bargain ya vichochoroni Kama ile alomfanyia Yule Tajiri anayetweet sana
Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important than being right.......

Miaka ya nyuma nikiwa na mawazo machanga nilikuwa navutiwa sana na hizi siasa za gizani, hila, fitna, visasi, propaganda na kuchafuana. Lakini siku zilivyoenda nikafahamu kwamba nchi huwa haindeshwi hivyo, hasa kwenye taifa la watu ambao wanatamani kupiga hatua kubwa kimaendeleo.

Unaweza ukamfanyia visa Paul Makonda kinyume kabisa na utaratibu wa kisheria, lakini fahamu kwamba mpaka tulipofika hapa ishathibitika kwamba hakuna mtanzania asiyegusika. Awamu ya tano iwe somo kubwa kwa kizazi hiki na kijacho....
 
Evaluate your battles carefully, sometimes peace is more important than being right.......

Miaka ya nyuma nikiwa na mawazo machanga nilikuwa navutiwa sana na hizi siasa za gizani, hila, fitna, visasi, propaganda na kuchafuana. Lakini siku zilivyoenda nikafahamu kwamba nchi huwa haindeshwi hivyo...
Kwanza mie naona wanamchelewesha hv hyo wa kula kichwa fasta kudadeki zake
 
Back
Top Bottom