Naangalia Al Hilal na TP Mazembe hapa itoshe kusema Depotivo de Utopolo (Yanga SC) jiandaeni kumaliza wa mwisho kwenye kundi

Kama kuna mtu aliwadanganya deportivo de utopolo (Yanga) kuwa Mazembe ameshuka kiwango basi mjiandae kushenyetwa nje ndani jamaa wanapeleka moto sio poa.
Ukweli ni kuwa Yanga ilifanya uzembe nyumbani kwenye ile game ya Al Hilal, ile game Yanga alikuwa na uwezo wa kushinda. Game ngumu kabisa ya away ni ya Usm Alger, inaibidi Yanga apate matokeo game zote mbili za Mazembe, amfunge Usm Alger nyumbani pamoja na kupata matokeo mechi ya marudiano na Al Hilal. Ukiachana na changamoto ya wachezaji, huyo kocha nae kama hajitambui bado.
 
Brother hao Al Hilal waliocheza Dsm sio wale wanaocheza wakiwa Maurtania yaan jamaa wako aggressive sio poa Mazembe walijikaza sana
 
Ukweli ni kuwa Yanga ilifanya uzembe nyumbani kwenye ile game ya Al Hilal, ile game Yanga alikuwa na uwezo wa kushinda. Game ngumu kabisa ya away ni ya Usm Alger, inaibidi Yanga apate matokeo game zote mbili za Mazembe, amfunge Usm Alger nyumbani pamoja na kupata matokeo mechi ya marudiano na Al Hilal. Ukiachana na changamoto ya wachezaji, huyo kocha nae kama hajitambui bado.
pale kocha sijui kama atauona mwaka
 
Kwa vichekesho kama hivi tubonyeze namba ngapi?
 
Back
Top Bottom