Mngoni asiyepiga gambe
Senior Member
- May 4, 2017
- 151
- 318
- Thread starter
- #41
Kwan had sasa ana point ngap? tuanzie hapoTusisahau msimu uliopita Yanga hadi raundi hii walikuwa na point 1 tu na kila mtu aliikatia tamaa kufuzu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwan had sasa ana point ngap? tuanzie hapoTusisahau msimu uliopita Yanga hadi raundi hii walikuwa na point 1 tu na kila mtu aliikatia tamaa kufuzu
Kaka Yanga Kumfunga Mazembe nje ndani Ndoto sanaTusisahau msimu uliopita Yanga hadi raundi hii walikuwa na point 1 tu na kila mtu aliikatia tamaa kufuzu
Avic town de UtopoloKama kuna mtu aliwadanganya deportivo de utopolo kuwa Mazembe ameshuka kiwango basi mjiandae kushenyetwa nje ndani jamaa wanapeleka moto sio poa.
Hilo linawezekana kwenye mchezo wa mpira wa miguu. Kuna kazi ya kufanya hasa kocha na wachezaji kwa ujumla. Mechi dhidi ya Al Hilal, Yanga ndiye aliyetawala mchezo na kuzichezea nafasi nyingi sana za magoli kuliko hao Al Hilal.Kaka Yanga Kumfunga Mazembe nje ndani Ndoto sana
Chama false 9Utopolo siku hizi wanacheza mfumo wa 4-6
Kwa sasa kazi yangu kutunza risit nitawarudia tarehe 14, hakikisha unatulia kwenye folen mpaka muda wako wa kuteseka ukifika.Ungejiita Mngoni asiye jigjig ndiyo ningeshtuka na huu mtazamo wako. Ila gambe mko wengi. Wasalimie Bombi hii nyumbi hii, waambie Yanga ni Maji, usipoyanywa utayaoga tu.
Kijana bado una matumaini ya kwenda roboKwa vichekesho kama hivi tubonyeze namba ngapi?
So what???Tusisahau msimu uliopita Yanga hadi raundi hii walikuwa na point 1 tu na kila mtu aliikatia tamaa kufuzu
Al hilal na Mc alger wanafuzu kwenye hili kundi.