Naangalia Al Hilal na TP Mazembe hapa itoshe kusema Depotivo de Utopolo (Yanga SC) jiandaeni kumaliza wa mwisho kwenye kundi

Naangalia Al Hilal na TP Mazembe hapa itoshe kusema Depotivo de Utopolo (Yanga SC) jiandaeni kumaliza wa mwisho kwenye kundi

Kaka Yanga Kumfunga Mazembe nje ndani Ndoto sana
Hilo linawezekana kwenye mchezo wa mpira wa miguu. Kuna kazi ya kufanya hasa kocha na wachezaji kwa ujumla. Mechi dhidi ya Al Hilal, Yanga ndiye aliyetawala mchezo na kuzichezea nafasi nyingi sana za magoli kuliko hao Al Hilal.

Mechi dhidi ya Mc Alger kile kipindi cha kwanza Yanga waliwaweza kuwamudu Mc Alger dakika za 25 za mwishoni za kipindi cha kwanza.
Kosa kubwa la Yanga ni kipindi cha pili na sio Yanga hata hao Simba ni hivyo hivyo, mechi ya Bravo ile Simba walikuwa wanapoteza mechi ila umakini wa Camara na kukosa utulivu wa wachezaji wa Bravo kukaipa Simba point 3. Yanga mechi zake mbili kafungiwa kipindi cha pili tena ni kwa uzembe wao wenyewe katika ulinzi.
 
Ungejiita Mngoni asiye jigjig ndiyo ningeshtuka na huu mtazamo wako. Ila gambe mko wengi. Wasalimie Bombi hii nyumbi hii, waambie Yanga ni Maji, usipoyanywa utayaoga tu.
 
Ungejiita Mngoni asiye jigjig ndiyo ningeshtuka na huu mtazamo wako. Ila gambe mko wengi. Wasalimie Bombi hii nyumbi hii, waambie Yanga ni Maji, usipoyanywa utayaoga tu.
Kwa sasa kazi yangu kutunza risit nitawarudia tarehe 14, hakikisha unatulia kwenye folen mpaka muda wako wa kuteseka ukifika.
 
Back
Top Bottom