Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi na ushabiki mandazi wangu kwa Israel nilidhani Hamas waliuawa wote....naangalia naona jamaa wapo na gari mpya, buti mpya, combat na mazagzaga mapya, snipers wamevalia nguo zao za kuwazuia wasionekane kirahisi mpyaaa!Jamaa ni jeshi kamili siku wakipata hiyo two state solution wakaanzisha vita Israel anaweza asichomoke ni Bora aendelee kukaza 😂
hapana hao wakipata two states solution hawatafanya vita na israeliJamaa ni jeshi kamili siku wakipata hiyo two state solution wakaanzisha vita Israel anaweza asichomoke ni Bora aendelee kukaza 😂
HaaHuu uzi bila iyo video ni batili
Kama uliwahi kupita japo katika paramilitary program kama ya JKT basi utagundua kwamba hao walioshika silaha sio mburula ni watu wa maana kabisa. Bunduki kwao ni kama ugali maharage tu Kwa huku BongoWazee wa propaganda hao, wengi wamelambishwa vumbi ila wameokota okota raia wakawavisha gwanda na kuwashikisha silaha Ili waonekane wapo.
Nenda youtube andika hamas live utawaona wamejaa teleHuu uzi bila iyo video ni batili
Kama ni watu wa maana kabisa wameshindwa nini kuitoa Israel sasa?Kama uliwahi kupita japo katika paramilitary program kama ya JKT basi utagundua kwamba hao walioshika silaha sio mburula ni watu wa maana kabisa. Bunduki kwao ni kama ugali maharage tu Kwa huku Bongo
Hujaelewa mantiki ya sentensi yangu nilikuwa nikimjibu mchangiaji aliyesema hao ni raia waliovalishwa uniform. Ishu kubwa ilikuwa kujaribu kumweleza hao ni watu wenye monekano wa kujiamini washikapo silaha na si raia kama ilivyoelezwa na mshua hapo juu.K
Kama ni watu wa maana kabisa wameshindwa nini kuitoa Israel sasa?
Kama wapalestina ni 1900 halafu waisrael 50 yaani uwiano wa 38=1 hii ni kumaanisha Israel huwa inawadaka wapalestina kibao na kuwaweka ndaniIsrael imeshindwa pia kuwamaliza Hamas coz dalili mojawapo ya kushindwa ni kitendo Cha Israel kukubali condition ya exchange ya wapalestina 1900 Kwa waisrel chini ya idadi ya mateka 50
Pointing nzuri! Pengine!Kama wapalestina ni 1900 halafu waisrael 50 yaani uwiano wa 38=1 hii ni kumaanisha Israel huwa inawadaka wapalestina kibao na kuwaweka ndani
na ni kumaanisha pia Israel inao uwezo mkubwa sana kupindukia kuwapita hao wapalestina.
Hao raia hamna wanajeshi hapo msitufunge kambaHujaelewa mantiki ya sentensi yangu nilikuwa nikimjibu mchangiaji aliyesema hao ni raia waliovalishwa uniform. Ishu kubwa ilikuwa kujaribu kumweleza hao ni watu wenye monekano wa kujiamini washikapo silaha na si raia kama ilivyoelezwa na mshua hapo juu.
Nb.
Israel imeshindwa pia kuwamaliza Hamas coz dalili mojawapo ya kushindwa ni kitendo Cha Israel kukubali condition ya exchange ya wapalestina 1900 Kwa waisrel chini ya idadi ya mateka 50