FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Kiko wapi hicho cha kukiangalia?Jamaa ni jeshi kamili siku wakipata hiyo two state solution wakaanzisha vita Israel anaweza asichomoke ni Bora aendelee kukaza 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiko wapi hicho cha kukiangalia?Jamaa ni jeshi kamili siku wakipata hiyo two state solution wakaanzisha vita Israel anaweza asichomoke ni Bora aendelee kukaza 😂
Myahudi wa TandaleWazee wa propaganda hao, wengi wamelambishwa vumbi ila wameokota okota raia wakawavisha gwanda na kuwashikisha silaha Ili waonekane wapo.
Kwahiyo aliyeshika namba 50 darasani ana akili kubwa kuliko number 1 kwa sababu 50 ni kubwa kuliko moja??..Kama wapalestina ni 1900 halafu waisrael 50 yaani uwiano wa 38=1 hii ni kumaanisha Israel huwa inawadaka wapalestina kibao na kuwaweka ndani
na ni kumaanisha pia Israel inao uwezo mkubwa sana kupindukia kuwapita hao wapalestina.
Yaani wapalestina 38 ndo sawa=mwisraeli 1
Jamaa wako modern vibaya hapa Jews ajipange na Wana vibe sio poaMimi na ushabiki mandazi wangu kwa Israel nilidhani Hamas waliuawa wote....naangalia naona jamaa wapo na gari mpya, buti mpya, combat na mazagzaga mapya, snipers wamevalia nguo zao za kuwazuia wasionekane kirahisi mpyaaa!
Wenzetu WA DRC wamevaa rain boot!
Wakati wa mapigano wanavaa kiraia, hawaonekani kabisa mtaani na hsyo magwanda, wakati wa maonyesho wanatinga Combat mpya kabisa na buti zakeJamaa ni jeshi kamili siku wakipata hiyo two state solution wakaanzisha vita Israel anaweza asichomoke ni Bora aendelee kukaza 😂
Hilo swali limeulizwa na Kila chombo ila wote Wanajibu ni Qasam peke YaoIla hapo wamechanganyikana na Islamic jihad pamoja na Quds kwa hiyo ni muunganiko wa vikundi vitatu na wote lengo lao ni moja kupigana na israel
Mkuu, mtu akipokonywa kila kitu chake na kujikuta kuwa "he has nothing left to loose", huyo mtu usipigane naye kwa maana wanakuwa na morali Kali sana..Jamaa wako modern vibaya hapa Jews ajipange na Wana vibe sio poa
Kichwa chako kina maviKama wapalestina ni 1900 halafu waisrael 50 yaani uwiano wa 38=1 hii ni kumaanisha Israel huwa inawadaka wapalestina kibao na kuwaweka ndani
na ni kumaanisha pia Israel inao uwezo mkubwa sana kupindukia kuwapita hao wapalestina.
Yaani wapalestina 38 ndo sawa=mwisraeli 1
Unaelewa nini kuhusu vita kiongozi?Mnawapa sifa tu, hao wengi ni waoga wa vita. Ndo maana kioindi cha vita walikuwa wanarusha maroketi wamevaa kiraia. Kudhihirisha uoga wao ndo maana pamoja na vita kusitishwa lakini bado wanaficha sura kuogopa kwamba watagundulika kirahisi kwa sababu Hamas ndo raia wenyewe.
Wee jamaa mbona unaongea kinyumenyume...unawalaumu wao kushindwa kuwatoa Israel au Israel kushindwa kuwatoa na kuwamaliza??K
Kama ni watu wa maana kabisa wameshindwa nini kuitoa Israel sasa?
😂😂Unaelewa nini kuhusu vita kiongozi?
Unachosema ni sawa na kusema Sniper anayejificha kwa mazingira anaogopa vita? Vipi US na IDF wanaoutumia drones nao pia wanaogopa vita?
Vita ina kila aina ya mbinu.
Hao Hamas unao waona wakiwekwa wapambane na IDF kwenye uwanja wa kivita pasipo msaada wa air force, IDF wanatapata taabu, hao wanapambana kufa.
Israel imesaidiwa hadi missiles, fedha, vifaru, ndege vita, intel, mifumo ya ulinzi wa anga n.k lakini wamefeli.
Vita ikianza juu ya ardhi wanabaki wanawakw na watoto hizo sare zote zinapoteaJamaa wako modern vibaya hapa Jews ajipange na Wana vibe sio poa
Sio anajali raia wake Israel ni Magaid Og wao ndio waliteka Wapalestina wengi zaid 10000+Unadhani ni nchi yako ambayo haijali uhai wa raia wake? Ndo maana unaona ajabu kukomboa raia 50 kwa wafungwa 1900?
Unastajabisha sana
hakuna taifa liliowai kuuwa kikundi chote wanachopigana nacho maana kuna waliopo mafichoni na waliopo mbele kwenye vita na kuna waliokua wamejificha kwenye makazi ya watu