Vita vikipiganwa hamas hugeuka na kuwa wanawake na watotoHizo silaha wanazotumia na magari wametengeneza wao? Nyie mnawasifia kuvaa sare wakati kipindi vita inaendelea walioshia mashimoni wakaacha wanawake na watoto juu wengine wakageuka kuwa wanawake na watoto.
Vita imesimama ndo wanajifanya kuvaa magwanda na kupiga picha huku wakilazimisha mateka wapunge mikono.
Kama kweli ni wanaume na wameshinda vita kama mnavyowasifia awamu ya kwanza hii iishe vita iendelee kama mtaziona tena hizo gwanda na mbwembwe.