Na watakuwa so independently maana wana skill hadi kwenye missle production na wakipewa na kaujuzi kidogo na iran watakuwa na self safient jihadhapana hao wakipaya two states solution hawatafanya vita na israeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na watakuwa so independently maana wana skill hadi kwenye missle production na wakipewa na kaujuzi kidogo na iran watakuwa na self safient jihadhapana hao wakipaya two states solution hawatafanya vita na israeli
Ya kujificha katikati ya raia? Ona sasa Israel anavyoenda kuikalia vizuri Gaza na Hamas watabaki kuwa genge la wahuniVita ni mbinu ndugu bila mbinu utapotezwa ndani ya siku mbili
Unadhani walitoka kula uzazi kabisaKama wale wanajeshi wa kike ni kama walihidhiwa kwenye hotel ya nyota 5
Ndio ivo tatizo kuu awana Jesh rasmi linalotambuliwa na UN manake bado sio NchiWakati wa mapigano wanavaa kiraia, hawaonekani kabisa mtaani na hsyo magwanda, wakati wa maonyesho wanatinga Combat mpya kabisa na buti zake
Wao si walikuwa wanatumia wake zao, watoto na wagonjwa kama ngao Sasa wangeishaje?Israeli ilianzisha vita October,2023 akiahidi kuwamaliza cha kushangaza kwenye makabidhiano wanaonekqna wako wengi na bunduki zao
Hamas wanakomboa magaidi wenzao kuwapeleka kwenye uwanja wa vita ili wauaweSio anajali raia wake Israel ni Magaid Og wao ndio waliteka Wapalestina wengi zaid 10000+
Hamas wakichukua waisrael wachache tu lkn ao ao lengo liwe ivi kama Ubao unavyosoma Israel m1 Palestina 50 lengo la HAMAS kuwakomboa raia wao Palestina waliotekwa na Israel ambao wanateswa sana uko Israel kwa Magaid!!!
Wapalestina akina HAMAS wakiwa backed up na Iran ndiyo hawataki two state solution. Msimamo wao ni kuifuta Israel.Ndio ivo tatizo kuu awana Jesh rasmi linalotambuliwa na UN manake bado sio Nchi
na ndio Waisrael awataki Palestina iwe Nchi ili wawe mgambo ili waweze danganya watu Wajinga wajinga kama walokole kuwa awa magaid
lkn Wakiwa Nchi Watakuwa na JESH na Uniform inayotambuliwa watapigana Kama Nchi sio kundi!!! propaganda ya awa Magaid itawaisha!!!
Ukitaka hamas wavae gwanda, basi na wao waruhusiwe kupata silaha kutoka popote wanapotaka.😂😂
Maelezo mengi hayana maana yoyote.
Wanajeshi wa Israel wanapigana wamevaa magwanda kwanini hao ndugu zako mida wa vita wanavaa nguo za kiraia, na vita ikisitishwa wanavaa magwanda na kupiga picha.
Ukweli unaujua ambao ni kwamba unaowasifia hizo sifa hawana. Vita ikianza wanakuwa raia tena wanawake na watoto, ikisimamishwa eti ndo wanakuwa Hamas. Huo ni uoga uliopitiliza
Duh yaan ndivyo uelewa wako ulivyo kuwa Hamas hawapati misaada ya silaha? kwa hiyo zile wanazopewa na Iran siyo silaha?Ukitaka hamas wavae gwanda, basi na wao waruhusiwe kupata silaha kutoka popote wanapotaka.
Israel tangu vita ianze inapata msaada wa silaha kutoka nch mbali mbali. Ila hamas hawapati silaha
Kwahiyo kila mtu anatumia mbinu yake kujilinda. Uwanja wa vita hauko sawa
Mimi ni muisrael kwa Imani,navutiwa sana na mosad, secret Service ya israel, ila hawa wajomba wa Hamas, wapo vzr, nimeamin unaweza kuua watu lakini huwezi kuua idea, na ideology, Israel na ndugu zake wameua Hamas wengi, lakini wajomba wapo tu! Kama karne ya 20 alikuwepo Che guivara, na Fidel Castro, basi karne hii wapo Hamas military wing, Qasam brigade, ipo siku mbinu zao zitasndikwa ili zitumike kufundisha, jinsi, ya kupigana Querilla war fareJamaa ni jeshi kamili siku wakipata hiyo two state solution wakaanzisha vita Israel anaweza asichomoke ni Bora aendelee kukaza 😂
Inabidi Mosad waangalie upya mbinu wanazotumia kukabiliana na Hawa jamaa ila wasiweke two state solution kwa Sasa maana hao jamaa wakiwa nchi watakuwa na madhara makubwa kwa IsraelMimi ni muisrael kwa Imani,navutiwa sana na mosad, secret Service ya israel, ila hawa wajomba wa Hamas, wapo vzr, nimeamin unaweza kuua watu lakini huwezi kuua idea, na ideology, Israel na ndugu zake wameua Hamas wengi, lakini wajomba wapo tu! Kama karne ya 20 alikuwepo Che guivara, na Fidel Castro, basi karne hii wapo Hamas military wing, Qasam brigade, ipo siku mbinu zao zitasndikwa ili zitumike kufundisha, jinsi, ya kupigana Querilla war fare
kwa akili yako unadhani hivyo ila kwa ukweli hiyo haitatokeaYa kujificha katikati ya raia? Ona sasa Israel anavyoenda kuikalia vizuri Gaza na Hamas watabaki kuwa genge la wahuni
harakat al muqawama al islamiyaNenda youtube andika hamas live utawaona wamejaa tele
Ni ngumu sana kupambana na mtu aliyekata tamaa. Hana la.kupoteza.Israeli ilianzisha vita October,2023 akiahidi kuwamaliza cha kushangaza kwenye makabidhiano wanaonekqna wako wengi na bunduki zao
Au ndo msemo ule "nilikutana na watu 20 na wamasai watatu" samahani sana rafiki sangu maasai.Kama wapalestina ni 1900 halafu waisrael 50 yaani uwiano wa 38=1 hii ni kumaanisha Israel huwa inawadaka wapalestina kibao na kuwaweka ndani
na ni kumaanisha pia Israel inao uwezo mkubwa sana kupindukia kuwapita hao wapalestina.
Yaani wapalestina 38 ndo sawa=mwisraeli 1
Hizo silaha wanazotumia na magari wametengeneza wao? Nyie mnawasifia kuvaa sare wakati kipindi vita inaendelea walioshia mashimoni wakaacha wanawake na watoto juu wengine wakageuka kuwa wanawake na watoto.Ukitaka hamas wavae gwanda, basi na wao waruhusiwe kupata silaha kutoka popote wanapotaka.
Israel tangu vita ianze inapata msaada wa silaha kutoka nch mbali mbali. Ila hamas hawapati silaha
Kwahiyo kila mtu anatumia mbinu yake kujilinda. Uwanja wa vita hauko sawa
Pia ni msemo ule watu walikuwa wengi sana halafu kulikuwa na yule mmakonde...Au ndo msemo ule "nilikutana na watu 20 na wamasai watatu" samahani sana rafiki sangu maasai.