Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 5,214
- 10,276
Israeli ndie alienzisha vita?Israeli ilianzisha vita October,2023 akiahidi kuwamaliza cha kushangaza kwenye makabidhiano wanaonekqna wako wengi na bunduki zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Israeli ndie alienzisha vita?Israeli ilianzisha vita October,2023 akiahidi kuwamaliza cha kushangaza kwenye makabidhiano wanaonekqna wako wengi na bunduki zao
Sawa. Jibu zuri!Hao raia hamna wanajeshi hapo msitufunge kamba
SawaSawa. Jibu zuri!
Unadhani ni nchi yako ambayo haijali uhai wa raia wake? Ndo maana unaona ajabu kukomboa raia 50 kwa wafungwa 1900?Hujaelewa mantiki ya sentensi yangu nilikuwa nikimjibu mchangiaji aliyesema hao ni raia waliovalishwa uniform. Ishu kubwa ilikuwa kujaribu kumweleza hao ni watu wenye monekano wa kujiamini washikapo silaha na si raia kama ilivyoelezwa na mshua hapo juu.
Nb.
Israel imeshindwa pia kuwamaliza Hamas coz dalili mojawapo ya kushindwa ni kitendo Cha Israel kukubali condition ya exchange ya wapalestina 1900 Kwa waisrel chini ya idadi ya mateka 50
Unaweza shambulia magaidi kumbe unashambulia raia.Shida ya hawa hawana open fight battle, unaweza kuokoa raia kumbe umeokoa Gaidi
Wale wakazi wa Gaza ndiyo HAMAS wenyewe...Hao wengi watoto wa juzi miaka ya 2000's ukiachana na viongozi wao .Israeli ilianzisha vita October,2023 akiahidi kuwamaliza cha kushangaza kwenye makabidhiano wanaonekqna wako wengi na bunduki zao
Tetesi Kuna kundi kipya linakuja ..🤣Ila hapo wamechanganyikana na Islamic jihad pamoja na Quds kwa hiyo ni muunganiko wa vikundi vitatu na wote lengo lao ni moja kupigana na israel
Unadhani kuokota okota ni rahisi eeh. Hiyo Gaza yote imejaa wapiganaji hapo Israeli akitaka afanikiwe auwe nchi nzimaWazee wa propaganda hao, wengi wamelambishwa vumbi ila wameokota okota raia wakawavisha gwanda na kuwashikisha silaha Ili waonekane wapo.
Ili Wapigane na Uniform vile ww ungependa Shida ipo Israel kwann anazuiya nchi huru ya Palestina wawe na JESH lao rasmi linalotambulika na ulimwenguShida ya hawa hawana open fight battle, unaweza kuokoa raia kumbe umeokoa Gaidi
DRC Usiwalaumu mkuu. Kule misitu na mito ...maji mengi hivyo rain boots lazima🤣🤣😂😂😂Mimi na ushabiki mandazi wangu kwa Israel nilidhani Hamas waliuawa wote....naangalia naona jamaa wapo na gari mpya, buti mpya, combat na mazagzaga mapya, snipers wamevalia nguo zao za kuwazuia wasionekane kirahisi mpyaaa!
Wenzetu WA DRC wamevaa rain boot!
Walikua wanavaa ushungi, hizo sare wamezivaa kwa ajili ya picha tu.Jamaa ni jeshi kamili siku wakipata hiyo two state solution wakaanzisha vita Israel anaweza asichomoke ni Bora aendelee kukaza 😂
kipindi cha mapigano Hamas huvaa kama raia wa Gaza vita vikiisha huvaa kombati zao kufanyia maonyeshaMimi na ushabiki mandazi wangu kwa Israel nilidhani Hamas waliuawa wote....naangalia naona jamaa wapo na gari mpya, buti mpya, combat na mazagzaga mapya, snipers wamevalia nguo zao za kuwazuia wasionekane kirahisi mpyaaa!
Wenzetu WA DRC wamevaa rain boot!
Hamas walikuwa bado wapo wengi mno, walikuwa kwenye tunnels ambazo zimetambaa Gaza yote, humo ndimo mateka walikuwamo, na msosi walikuwa nao wa kutosha.Wazee wa propaganda hao, wengi wamelambishwa vumbi ila wameokota okota raia wakawavisha gwanda na kuwashikisha silaha Ili waonekane wapo.
Hao ni commandos kabisa.Kama uliwahi kupita japo katika paramilitary program kama ya JKT basi utagundua kwamba hao walioshika silaha sio mburula ni watu wa maana kabisa. Bunduki kwao ni kama ugali maharage tu Kwa huku Bongo
Sio anajali raia wake Israel ni Magaid Og wao ndio waliteka Wapalestina wengi zaid 10000+Unadhani ni nchi yako ambayo haijali uhai wa raia wake? Ndo maana unaona ajabu kukomboa raia 50 kwa wafungwa 1900?
Unastajabisha sana
hakuna taifa liliowai kuuwa kikundi chote wanachopigana nacho maana kuna waliopo mafichoni na waliopo mbele kwenye vita na kuna waliokua wamejificha kwenye makazi ya watu
Wapo wangapiIsraeli ilianzisha vita October,2023 akiahidi kuwamaliza cha kushangaza kwenye makabidhiano wanaonekqna wako wengi na bunduki zao
Israel haina namna zaidi ya kukubali matakwa, hawawezi kuacha wananchi 50 watekwe na Hamas kisa kuwafunga Palestinians hao 1900.Kama wapalestina ni 1900 halafu waisrael 50 yaani uwiano wa 38=1 hii ni kumaanisha Israel huwa inawadaka wapalestina kibao na kuwaweka ndani
na ni kumaanisha pia Israel inao uwezo mkubwa sana kupindukia kuwapita hao wapalestina.
Yaani wapalestina 38 ndo sawa=mwisraeli 1
Hawa jamaa wanaonekana kwenye uniform pale mapigano yanapositishwa tu.Jamaa ni jeshi kamili siku wakipata hiyo two state solution wakaanzisha vita Israel anaweza asichomoke ni Bora aendelee kukaza 😂