Naangalia haya makabidhiano ya mateka sema Hawa Qasam brigade sio poa

Unadhani ni nchi yako ambayo haijali uhai wa raia wake? Ndo maana unaona ajabu kukomboa raia 50 kwa wafungwa 1900?

Unastajabisha sana

hakuna taifa liliowai kuuwa kikundi chote wanachopigana nacho maana kuna waliopo mafichoni na waliopo mbele kwenye vita na kuna waliokua wamejificha kwenye makazi ya watu
 
Israeli ilianzisha vita October,2023 akiahidi kuwamaliza cha kushangaza kwenye makabidhiano wanaonekqna wako wengi na bunduki zao
Wale wakazi wa Gaza ndiyo HAMAS wenyewe...Hao wengi watoto wa juzi miaka ya 2000's ukiachana na viongozi wao .
 
Wazee wa propaganda hao, wengi wamelambishwa vumbi ila wameokota okota raia wakawavisha gwanda na kuwashikisha silaha Ili waonekane wapo.
Unadhani kuokota okota ni rahisi eeh. Hiyo Gaza yote imejaa wapiganaji hapo Israeli akitaka afanikiwe auwe nchi nzima
 
Shida ya hawa hawana open fight battle, unaweza kuokoa raia kumbe umeokoa Gaidi
Ili Wapigane na Uniform vile ww ungependa Shida ipo Israel kwann anazuiya nchi huru ya Palestina wawe na JESH lao rasmi linalotambulika na ulimwengu
apo ndio Utajua kumbe PALESTINA sio magaid!! lkn tatizo Israel anazuiya Palestina isiwe nchi iwe kama ivi unavyoona ili awaite Magaid na wenye Akili ndogo nao uwamini ivyo!!!!
pia HAMAS Kwasasa wanaficha Uso wakiwa kwenye seem za wazi lkn wakiwa Nchi akuna kuficha Uso.
 
Waingie vitani wakiwa na magwanda yao hivyo hivyo halafu tuone
 
DRC Usiwalaumu mkuu. Kule misitu na mito ...maji mengi hivyo rain boots lazima🤣🤣😂😂😂
 
kipindi cha mapigano Hamas huvaa kama raia wa Gaza vita vikiisha huvaa kombati zao kufanyia maonyesha
 
Wazee wa propaganda hao, wengi wamelambishwa vumbi ila wameokota okota raia wakawavisha gwanda na kuwashikisha silaha Ili waonekane wapo.
Hamas walikuwa bado wapo wengi mno, walikuwa kwenye tunnels ambazo zimetambaa Gaza yote, humo ndimo mateka walikuwamo, na msosi walikuwa nao wa kutosha.
 
Sio anajali raia wake Israel ni Magaid Og wao ndio waliteka Wapalestina wengi zaid 10000+
Hamas wakichukua waisrael wachache tu lkn ao ao lengo liwe ivi kama Ubao unavyosoma Israel m1 Palestina 50 lengo la HAMAS kuwakomboa raia wao Palestina waliotekwa na Israel ambao wanateswa sana uko Israel kwa Magaid!!!
 
Israel haina namna zaidi ya kukubali matakwa, hawawezi kuacha wananchi 50 watekwe na Hamas kisa kuwafunga Palestinians hao 1900.

Tofauti na hapo ni maandamano nchi nzima kuisukuma Israel kuwakomboa mateka.
 
Jamaa ni jeshi kamili siku wakipata hiyo two state solution wakaanzisha vita Israel anaweza asichomoke ni Bora aendelee kukaza 😂
Hawa jamaa wanaonekana kwenye uniform pale mapigano yanapositishwa tu.
Mapigano yakianza wote wanageuka kuwa wanawake na watoto.

Mnawakuza sana kwa sababu hata mateka wenyewe walikuwa wanahifadhiwa kwenye nyumba za Raia ndo maana ilikuwa ngumu kuwaokoa.
 
Hao waliwafundisha wapigania uhuru wa Afrika Kusini, Msumbiji, Angola na sehemu nyingine nyingine.

Hiyo ni wrong number. Wanaunda silaha wenyewe tena chini ya ardhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…