Naangalia haya makabidhiano ya mateka sema Hawa Qasam brigade sio poa

hapana hao wakipaya two states solution hawatafanya vita na israeli
Na watakuwa so independently maana wana skill hadi kwenye missle production na wakipewa na kaujuzi kidogo na iran watakuwa na self safient jihad
 
Wakati wa mapigano wanavaa kiraia, hawaonekani kabisa mtaani na hsyo magwanda, wakati wa maonyesho wanatinga Combat mpya kabisa na buti zake
Ndio ivo tatizo kuu awana Jesh rasmi linalotambuliwa na UN manake bado sio Nchi
na ndio Waisrael awataki Palestina iwe Nchi ili wawe mgambo ili waweze danganya watu Wajinga wajinga kama walokole kuwa awa magaid

lkn Wakiwa Nchi Watakuwa na JESH na Uniform inayotambuliwa watapigana Kama Nchi sio kundi!!! propaganda ya awa Magaid itawaisha!!!
 
Israeli ilianzisha vita October,2023 akiahidi kuwamaliza cha kushangaza kwenye makabidhiano wanaonekqna wako wengi na bunduki zao
Wao si walikuwa wanatumia wake zao, watoto na wagonjwa kama ngao Sasa wangeishaje?
 
Hamas wanakomboa magaidi wenzao kuwapeleka kwenye uwanja wa vita ili wauawe
 
Wapalestina akina HAMAS wakiwa backed up na Iran ndiyo hawataki two state solution. Msimamo wao ni kuifuta Israel.
 
Ukitaka hamas wavae gwanda, basi na wao waruhusiwe kupata silaha kutoka popote wanapotaka.

Israel tangu vita ianze inapata msaada wa silaha kutoka nch mbali mbali. Ila hamas hawapati silaha

Kwahiyo kila mtu anatumia mbinu yake kujilinda. Uwanja wa vita hauko sawa
 
Duh yaan ndivyo uelewa wako ulivyo kuwa Hamas hawapati misaada ya silaha? kwa hiyo zile wanazopewa na Iran siyo silaha?
 
Jamaa ni jeshi kamili siku wakipata hiyo two state solution wakaanzisha vita Israel anaweza asichomoke ni Bora aendelee kukaza 😂
Mimi ni muisrael kwa Imani,navutiwa sana na mosad, secret Service ya israel, ila hawa wajomba wa Hamas, wapo vzr, nimeamin unaweza kuua watu lakini huwezi kuua idea, na ideology, Israel na ndugu zake wameua Hamas wengi, lakini wajomba wapo tu! Kama karne ya 20 alikuwepo Che guivara, na Fidel Castro, basi karne hii wapo Hamas military wing, Qasam brigade, ipo siku mbinu zao zitasndikwa ili zitumike kufundisha, jinsi, ya kupigana Querilla war fare
 
Inabidi Mosad waangalie upya mbinu wanazotumia kukabiliana na Hawa jamaa ila wasiweke two state solution kwa Sasa maana hao jamaa wakiwa nchi watakuwa na madhara makubwa kwa Israel
 
Resistance ni Idiology .. unaweza ukawaua viongozi wote wa Hamas lakini Idiology itaendelea kuwepo kizazi na kizazi .. the only way kuimaliza hii vita ni njia ya mazungumzo tu !!
 
Israeli ilianzisha vita October,2023 akiahidi kuwamaliza cha kushangaza kwenye makabidhiano wanaonekqna wako wengi na bunduki zao
Ni ngumu sana kupambana na mtu aliyekata tamaa. Hana la.kupoteza.

Hao wamechoka utumwa wa waisrael na sasa wameamua liwalo na liwe. Pia ugopa sana watu wanaopigana kwa mgongo wa dini.

Hawaishi hao. Wapo akina Ritz na Malaria 2 kikosini pia.
 
Au ndo msemo ule "nilikutana na watu 20 na wamasai watatu" samahani sana rafiki sangu maasai.
 
Hizo silaha wanazotumia na magari wametengeneza wao? Nyie mnawasifia kuvaa sare wakati kipindi vita inaendelea walioshia mashimoni wakaacha wanawake na watoto juu wengine wakageuka kuwa wanawake na watoto.

Vita imesimama ndo wanajifanya kuvaa magwanda na kupiga picha huku wakilazimisha mateka wapunge mikono.

Kama kweli ni wanaume na wameshinda vita kama mnavyowasifia awamu ya kwanza hii iishe vita iendelee kama mtaziona tena hizo gwanda na mbwembwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…