MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
-
- #221
Unazifahamu "rhetorical questions" Ndugu? Au "rhetorical analysis"Ndiyo, apo ulipo unaweza kuta una cheo kikubwa tuu huko ccm lakini umeshindwa kuelewa interview simple tuu ya Nakaaya,
[emoji16][emoji16]Enzi hizo kuna picha alipiga amekaa kwenye kiti alijisahau akakaa vibaya alikuwa na kasketi kafupi ndani hajava kyupi. Ana bonge la kitumbua kimeumuka
kwa hiyo ulikuwa unafanya kusudi sio?Unazifahamu "rhetorical questions" Ndugu? Au "rhetorical analysis"
Si dadaake jaman ina maana miaka yote hiyo hujuiMr politician~ilimpeleka Town huyu mdada.....Naona alipotoka chadema na kuhamia ciciem akapotea kabisa.
Hivi Ana undugu na Nancy Sumari?
Niliwahi kusikia sikuwa na uhakikia.Si dadaake jaman ina maana miaka yote hiyo hujui
Mwezi wenu wa kumuabudu shetani umemalizikaWee tenaaa!! Walaa hunishughurishiiiii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] now tumemjua NAKAAYA SUMARI vizuri.kwa hiyo ulikuwa unafanya kusudi sio?
Umeshaishaaa!!! Now tunaanza upyaaa.Mwezi wenu wa kumuabudu shetani umemalizika
I am unavailableUmeshaishaaa!!! Now tunaanza upyaaa.
Alianika tumbua lakeAlimwagaga radhi uyu
Hivi umri wa Nakaaya si anafaa kabisa kua mamake Marioo? Au mradi inapita basi haina noma?Dah...MARIOO mtu mbad sana....sio poa kabisa asee!!!! Jamaa anaonekana mtata sana.....
Na lile domo....hazamagi kweli chumvini yule bwege?!!Dah ..dadeki wallah!! MARIOO[emoji3451]
XmateX wangu
Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]I am unavailable
Sawa kijana wanguWewe kaka nakupenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jamaa muongo sanaKasema , alikua anamnyanyasa kisaikolojia...kabla hajawa na Paula Kajala
Kichwa maji a.k.a ngumu kumeza kitu hta hujaelewa tayari ushaandika comment karibia ishirin ...anaezungumziwa sio marioo huyo unaemjua ni mwingine kabisaa tena kipindi icho hyu marioo wa sa iv kuna uwezekano alikuwa darasa la tatuDah...MARIOO mtu mbad sana....sio poa kabisa asee!!!! Jamaa anaonekana mtata sana.....
Na lile domo....hazamagi kweli chumvini yule bwege?!!Dah ..dadeki wallah!! MARIOO[emoji3451]
Marioo kwa maana jamaa anapenda kulelewa na wanawake sio marioo huyo msanii...ww jamaa mbona ni jinga sana kinachofanya uahindwe kuelewa hpo ni kipi?Kivipi bro? Ulimsikiliza jana kwenye kipindi? Alisema alikua ana nyanyaswa na mzazi mwenzake ...akamtaja jina ..akasema anaitwa MARIOO
Mwambie huyo fala...kipindi icho hyo marioo msanii alikuwa darasa la tatu au la nnewewe utakuwa ulikuja mjini na gari ya mmkaa, alisema mwanaume aliezaa nae ni mwanaume anaependa kitonga a.k.a marioo anapenda kulelewa na wanawake anapenda kudangia mishangazi na sio kwamba anaitwa marioo huyu msanii kwanza wakati naakaya anapata huyo mtoto huyo marioo msanii alikuwa hata hana umaarufuu
Unashughulikaga na vitu vya ajabu sanaAnaonekana smart sana. Nimempenda bure! Mwenye namba yake please!!!!
MARIOO kumbe sio mtu mzuri hata kidogo! Kuanzia leo sifuatilii tena miziki yake....kumbe jamaa ni boya sana....kamnyanyasa sana dada wa watu bila hata huruma!
Nimeshangaa mkuuYaani hili lishangazi linyanyaswe kisaikolojia na huyo dogo [emoji1]