MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,705
- 4,967
- Thread starter
-
- #241
Mimi ni mtu mcheshi sana na pia ni mkimya sana.Unashughulikaga na vitu vya ajabu sana
Hizo ni story baba yao alikua na uwezoSio kweli bhana. Nancy ana hela sana yule bi dada. Nimesikia anasema alienda Dar akiwa na 30k tu. Tena akasema...akawa anaweka dila kama pazia la dirisha.
Weee.. Aasubutu!...Nancy hawezi kamwe kumuacha Ndugu yake ateseke vile!
Aliamua kumsagia jamaa kunguni,jamaa ni mpambanaji sana anabiashara yake plus tender kma zotewewe utakuwa ulikuja mjini na gari ya mmkaa, alisema mwanaume aliezaa nae ni mwanaume anaependa kitonga a.k.a marioo anapenda kulelewa na wanawake anapenda kudangia mishangazi na sio kwamba anaitwa marioo huyu msanii kwanza wakati naakaya anapata huyo mtoto huyo marioo msanii alikuwa hata hana umaarufuu
kumbe maana alisema jamaa dizaini kama alikuwa anamchuna sio yeye tuu ni wanawake wote aliozaa naoAliamua kumsagia jamaa kunguni,jamaa ni mpambanaji sana anabiashara yake plus tender kma zote
Mbona kawa kifutu?Dah hivi hii story ya huyu Dada wa kuitwa NAKAAYA SUMARI ( Mr Politician Song) ni ya kweli? Au anaongeza na maudambwiudambwi.....
Namcheki hapa muda huu via Zamaradi tv
413
View attachment 2677599