Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

Sijawahi sikia kuna watu wamefukiwa na kifusi bundi wakaja eneo hilo na kuanza kulia.

Mahospitalini wanapokufa watu daily yupo?

Vipi kwenye maeneo yenye vita na majanga ya asili yanaoua watu huko duniani?

Au ni bundi wa hapa kwetu tu ndo wamejaaliwa huo unusaji?
Morocco na Libya kungejaa Bundi kila sehemu
 
Sijawahi sikia kuna watu wamefukiwa na kifusi bundi wakaja eneo hilo na kuanza kulia.

Mahospitalini wanapokufa watu daily yupo?

Vipi kwenye maeneo yenye vita na majanga ya asili yanaoua watu huko duniani?

Au ni bundi wa hapa kwetu tu ndo wamejaaliwa huo unusaji?
Hawaendi kila mahali hasa penye kadamnasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia saa saba usiku. Hii ni tofauti na siku za nyuma hatukua tukisikia hizo kelele za bundi na hata baada ya mtoto kufa hatujasikia tena. Hii ni ajabu sana! Binafsi sikuwah kuamini hilo
Manigga Bundi a.k.a uchoro wa kifo
 
Hawaendi kila mahali hasa penye kadamnasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ilihali wanahisi mtu kufa anayekufa.

Na kwanini mtu? Wanyama pia si wanakufa? Au hawana seli zinazokufa kabla hawajafa? Au harufu zao zinatofauti na binadamu? Maana sijawahi sikia mtu akisema bundi alilia ng'ombe akafa.
 
Kuna ukweli bundi huwa anahisi Jambo na hasa akiwa analia usiku hatu mbwa ana hisi kifo kuna mlio flani mbwa huwa analia Kama mtu alafu wakati analia ananyanyua mguu mmoja juu hii niliamini kwa marehemu mama yangu kabla hajafariki kuna mbwa sijui alitoka wap na sijawai kumwona alikuja Kama siku mbili nyumbani alikuwa analia hivyo siku ya tatu mama yangu alifariki na ijapokuwa alikuwa anaumwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ni wiki 2 mfululizo maeneo nayoishi kuna jamaa alimleta mkewe kwao ambaye alitoka kujifungua mtoto wa kike. Ndani ya hizo wiki mbili katoto hako kachanga hakakua na afya nzuri usiku kalikua kanalia sana. Cha kushangaza Kanapolia au anamaliza tu bundi naye akawa analia sana hasa mida ya kuanzia saa saba usiku. Hii ni tofauti na siku za nyuma hatukua tukisikia hizo kelele za bundi na hata baada ya mtoto kufa hatujasikia tena. Hii ni ajabu sana! Binafsi sikuwah kuamini hilo
IPO kisayansi, sio uchawi, bundi anauwezo wa ku nusa harufu ya uozo kutoka kwenye mwili wa binadamu, kama kuna mgonjwa anaumwa sana,
Na kama viungo vimeanza kuoza, bundi anauwezo wa ku nusa hii harafu kutokea mbali kabisa.
 
Ni kweli kabisa, kiumbe kinapotaka kufa huanza na kufa Kwa sehemu mbali mbali za mwili Ile siku moyo unasimama sio kwamba ndio kiumbe kimekufa ila kama chanzo ugonjwa basi kilishaanza kufa,
Sasa bundi mungu amempa sense ya kusikia harufu ya zile cell zinazokufa na hutua eneo hilo ili kula ule mzoga kipindi hicho nyie ndani mnamuita mgonjwa, dad's wakati bundi akitafuta pa kupita ili akale ndio hupiga kelele na kuita wengine kuwa Kuna chakula eneo lile
Toka lini bundi wanakula mizoga? Bundi huwinda chakula hai
 
Back
Top Bottom