Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

Morocco na Libya kungejaa Bundi kila sehemu
 
Hawaendi kila mahali hasa penye kadamnasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manigga Bundi a.k.a uchoro wa kifo
 
Hawaendi kila mahali hasa penye kadamnasi

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini ilihali wanahisi mtu kufa anayekufa.

Na kwanini mtu? Wanyama pia si wanakufa? Au hawana seli zinazokufa kabla hawajafa? Au harufu zao zinatofauti na binadamu? Maana sijawahi sikia mtu akisema bundi alilia ng'ombe akafa.
 
Kuna ukweli bundi huwa anahisi Jambo na hasa akiwa analia usiku hatu mbwa ana hisi kifo kuna mlio flani mbwa huwa analia Kama mtu alafu wakati analia ananyanyua mguu mmoja juu hii niliamini kwa marehemu mama yangu kabla hajafariki kuna mbwa sijui alitoka wap na sijawai kumwona alikuja Kama siku mbili nyumbani alikuwa analia hivyo siku ya tatu mama yangu alifariki na ijapokuwa alikuwa anaumwa

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
IPO kisayansi, sio uchawi, bundi anauwezo wa ku nusa harufu ya uozo kutoka kwenye mwili wa binadamu, kama kuna mgonjwa anaumwa sana,
Na kama viungo vimeanza kuoza, bundi anauwezo wa ku nusa hii harafu kutokea mbali kabisa.
 
Toka lini bundi wanakula mizoga? Bundi huwinda chakula hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…