Naanza kuamini Bundi kulia usiku Mahali palipo na mgonjwa ni ishara mbaya

Kwanini ilihali wanahisi mtu kufa anayekufa.

Na kwanini mtu? Wanyama pia si wanakufa? Au hawana seli zinazokufa kabla hawajafa? Au harufu zao zinatofauti na binadamu? Maana sijawahi sikia mtu akisema bundi alilia ng'ombe akafa.
Hujawahi kusikia ama hujawahi kufuatilia? Huko maporini mbona haya yanatokea sana tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…