Naanza kupata hofu na stress sana, nina miaka 32 na familia haitaki nioe mwanamke mwenye mtoto

Moja ya content isio vutia ni hii.
Yani hao singo maza mmewachafua sana kitaa harafu saivi unakuja na slogan yakwamba wazazi wamekuonya usiangukie pua kuoa singo maza wakati nyinyi wenyewe ndio chanzo kikubwa cha yote hayo.
NAKUULIZA UNATAKA HAO WAOLEWE NAWAKINA NANI SASA? 😎😎😎😎😎😎😎😎
Na walio wazalisha. Namjibia mtoa mada yy hakuzalisha hovyo hivyo hataki vya hovyohovyo
 
Kwanza kabisa, usikate tamaa. Kila mtu ana wakati wake hasa katika kupata mke ambaye ni sahihi. Usikate tamaa kwa sababu ya changamoto za nyuma au maoni ya familia yako.

Pili, usikate tamaa ya kuoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto. Watoto ni baraka na wanaweza kuongeza furaha katika maisha yako. Kila mtu ana historia yake na inaweza kuwa ni sehemu ya safari yako ya maisha.

Ni muhimu kufanya maamuzi yako mwenyewe na kutafuta mke ambaye unahisi ni sahihi kwako bila kujali maoni ya wengine.

Kumbuka, kila mtu ana haki ya kupata furaha na upendo katika haya maisha.
 
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee...

wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga.. kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani.. familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto..

yaani hapa sielewi kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Kijana kosea yote ila usioe singo maza utachukia ndoa bure.......hao wa singo maza wana kila aina ya visirani.
 
Kwanza kabisa, usikate tamaa. Kila mtu ana wakati wake hasa katika kupata mke ambaye ni sahihi. Usikate tamaa kwa sababu ya changamoto za nyuma au maoni ya familia yako.

Pili, usikate tamaa ya kuoa mwanamke ambaye tayari ana mtoto. Watoto ni baraka na wanaweza kuongeza furaha katika maisha yako. Kila mtu ana historia yake na inaweza kuwa ni sehemu ya safari yako ya maisha.

Ni muhimu kufanya maamuzi yako mwenyewe na kutafuta mke ambaye unahisi ni sahihi kwako bila kujali maoni ya wengine.

Kumbuka, kila mtu ana haki ya kupata furaha na upendo katika haya maisha.
kama ni hivo ungekuta nimeshaoa mda ndugu.. siko mother sio my family choice
 
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee...

wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga.. kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani.. familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto..

yaani hapa sielewi kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Sasa familia yako inahusika vipi na wewe mwanamke unayetaka kumuowa?

Ukimpeleka nyumbani mtoto wa Dr Mengi na amezaa watamkataa?

Anyway subiri msimu wa graduation ya vyuo uende ukatupe ndoano yako huko, maana sijui unaishi mji gani ambao wasichana wote wamezaa.
 
Mwaka huu nafikisha miaka 32 sina mke aisee...

wapenzi nilishakuwaga nao huko nyuma tulishaachanaga.. kwa changamoto za mahusiano kila nikitaka kuoa nakutana na mwanamke ana mtoto yaani.. familia yangu imeshanionya kuoa mwanamke mwenye mtoto..

yaani hapa sielewi kazi ninayo kipato cha kati ninacho..
Katika ex zako hakuna hata m,Moja unayemuona anafaa na umludie ??
 
Hao single mother mnawaharibu mwnyewe, kila mtu atapata wa kufafana nae.. Inawezekana umezalisha huko mtaani bila ya kujua.
 
Back
Top Bottom