MfalmewaKiha
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 1,191
- 1,240
Kikubwa Bei mmepunguziwaIkushinde 100,000 ya Passport nauli utapata kweli?
Inaanza lini hiyo bei ya elf 50Habari zenu wadau kati ya jambo ambalo watu hasa wenye kiu ya kutoka au kwenda njee ya nchi walilo hitaji Ni pamoja na Bei ya passport kupungua,
Tangu serikali ianzishe mfumo wa passport za Ki Electronic Ni km miaka 3 imetimia ,HATI hyo ilipatikana kwa kiasi Cha shilling 150,000 Ila kwasasa itapatikana kwa sh Elfu 50,000 Tu
Mungu amjalie maisha marefu Rais wetu Samiah,
Vijana kazi kwenu.
Naanza kuona vijana mkienda South Africa.
Imeshushwa lini?Habari zenu wadau kati ya jambo ambalo watu hasa wenye kiu ya kutoka au kwenda njee ya nchi walilo hitaji Ni pamoja na Bei ya passport kupungua,
Tangu serikali ianzishe mfumo wa passport za Ki Electronic Ni km miaka 3 imetimia ,HATI hyo ilipatikana kwa kiasi Cha shilling 150,000 Ila kwasasa itapatikana kwa sh Elfu 50,000 Tu
Mungu amjalie maisha marefu Rais wetu Samiah,
Vijana kazi kwenu.
Naanza kuona vijana mkienda South Africa.
Yaani mtu anaongea utadhani nauli ya Sauzi ni kama kupanda Super Feo ya Mbinga au Buti la zungu Ntwara.Ikushinde 100,000 ya Passport nauli utapata kweli?
Jiongeze waambie unaenda Malawi kutalii. Hautadaiwa sijui barua ya safari sijui una sh ngapi na passport utapewa, yangu mi niliwaambia naenda Msumbiji, ile ya zamaniLogic yakukata passport mpaka uwe na safari hivi karibuni. mpaka leo huwa siielewi
Msafiri haogopi beiKikubwa Bei mmepunguziwa
Msafiri haogopi bei
Cheki hapo mkuuKwanza hata website yao haifanyi kazi...
#MaendeleoHayanaChama
NIDA hawana wataalamu wa kujua uraia wa mtu hapo ni hatari ya kutoa passport kwa wageniOk, jambo zuri sana. Walegeze masharti sasa. Taarifa zote walichukuwa wakati wa NIDA, nikiwaonyesha number ya NIDA na Hamsini elfu wanipe passport.