Naanza kuwaona vijana South Africa baada ya bei ya Passport kushuka

Naanza kuwaona vijana South Africa baada ya bei ya Passport kushuka

Sikuwa na hiyo barua wala nini! Barua za Serikali za mitaa hua zinasaidia sana kama hujaajiriwa sehemu yoyote! Kama umeajiriwa, introduction letter inakubeba vizuri tu
Nice tip, Leo naamkia kwa mwenyekiti wangu Siyajali.
 
Hakikisha umejaza kwanza ile form yao ya online,umeilipia ile Tshs 20,000 kwanza,then attach picha kwenye ile form,then submit! Jinsi unavyojibu maswali yao kwenye ile online form yao,ndiyo unavyotengeneza maswali! Nenda kwa mwanasheria akuandalie affidavit kama wazazi hawapo hai,kama wapo hai andaa vyetu vyao vya kuzalia vya kwao,hapa hua Cheti cha kuzaliwa cha Baba

1. Unapoenda uhamiaji! Make sure una documents hizi!
a) Barua ya kutoka serikali za mitaa au kutoka ulikoajiriwa.
b) NIDA
c) Cheti chako chakuzaliwa
d) Affidavit au Cheti cha kuzaliwa cha Mshua
e) Tshs 130,000/= Cash uwe nazo mkononi,watakuambia ulipe pale kwao wana Bank ya NMB! Hii yakulipia kwao nazungumzia kama upo Dsm,kwa mkoani sijui
Huu ni usumbufu sana. NIDA walichukua taarifa hizo zote. Hadi habari ya mama na baba. Hata vyeti vya kuzaliwa. Washirikiane data base. We mtu uende na kitambulisho cha NIDA na hiyo pesa yao. Hayo mambo mengine ni urasimu na kukwamishana kusiko na msingi.
 
Back
Top Bottom